Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 1,106
- 1,678
Kwanza una hakika gani kwamba watu wanakula vipigo kweli? Na una hakika gani Kama wanaokula kipigo si wahusika? Wakati unasoma, kuliwahi tokea tukio la shule kuchomwa Moto? Unakumbuka/ kufahamu usumbufu walioupata wanafunzi kwa kukosa sehemu ya kulala? Tuwe wakweli, biashara ya kuchoma Moto mashule ni ushamba na ulimbukeni, dawa yake n kupitisha kisago kitakatifu( Wasiue tuu) ili iwe fundisho kwa wanafunzi wengine.Upelelezi huru ndo kutandika watoto vipigo,? Acha kushabikia ujinga we Guruguja..
Wanamlinda nani watu kila siku wanavamiwa na kushambuliwa na wapumbavu mitaani kwetu!Ndio wanaokulinda mpuuzi ww
Sa hivi Serikali ipo kwenye Kampeni, haiendi sana kule Kisarawe!Serikali Haipo Huko Kisarawe Kwa Bi Joketi
Umenena vzr mwovu huwa habembelezwiWaache polisi wafanye kazi yao. Wewe huenda huwezi hata kubaini mwizi uliyekaa nae kwenye gari. Unajua Kuna mbinu ngapi za kubaini wahalifu? Huko mahakamani utawapeleke watu bila ushahidi? Utawashitaki kwa kosa gani?
Mmmhh japo sitetei kilichofanyika ila zipo zilizowahi kuchomwa na bado zipo mpk leo.Mitoto ya siku hizi. Unachoma shule ili iweje. Hiyo shule alisoma Kighoma Malima na Makamba na mkuu wa mkoa fulani. Wangeichoma hao leo wangeikuta?
Kwa nini walitaka kuchoma shule?Nimeshuhudia hapa Kisarawe wanafunzi wa vidato vya tano na sita wa shule ya Minaki wanateswa na polisi ili wataje walioshiriki kuchoma moto shule hiyo siku ya Jumanne.
Kama una mtoto wako Minaki, chukua hatua haraka. Ni siri kubwa na watoto wanapigwa na kupewa mateso mengine.
Wanasheria wasaidieni hawa watoto.
Shule imejengwa kwa gharama halafu wajinga wachache tu wanaichoma..Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.
Njia ya kutesa ni mazoea ya kijinga tu.
Upelelezi kwa wanafunzi ni rahisi mno.
Hata hivyo nimesikitika kusikia shule yangu imechomwa.
Hiyo shule imepitia mengi na inanikumbusha mbali sana
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Umenena. Ziongezi neno. Labda nuktaShule imejengwa kwa gharama halafu wajinga wachache tu wanaichoma..
Unajua samaki mmoja akioza wote wameoza.
Acha watandikwe hadi waeleze ukweli
We nina uhakika tulikuwa wote kwenye mgomo ule.Duuh shule yangu hiyo wamekuwaje wakachoma tena kipindi chetu waalimu walizingua tukakiwasha ila tulijizuia kufanya uharibifu wa mabweni madarasa nk ila tukahamishia uharibifu kwenye nyumba za wale waalimu wakuda na maduka yao na polisi hawakufua dafu pamoja na kuwaleta FFU wa ukonga
Yaani wakitandikwa vizuri watasema ukweli.Umenena. Ziongezi neno. Labda nukta
Kazi ya polisi siyo kutesa. Kazi ya polisi siyo kutesa. Kazi ya polisi siyo kutesa! Una mawazo ya kijima sana. Polisi wa siku hizi wana maelfu ya mbinu za kufanya upelelezi na kupata majibu bila kutesa. Mtu anayefikiri kama wewe moja kwa moja anawekwa kwenye kundi la watu ambao hawajastaarabika aka washenzi! Wataalam wameshafanya utafiti mwingi na wa kina wakagundua kuwa kutumia mateso kama njia ya kupeleleza kwa polisi kuna hasara nyingi kuliko faida. Duniani kote nchi zenye wastaarabu wameshaachana na mambo ya polisi kutesa washukiwa.Waache polisi wafanye kazi yao. Wewe huenda huwezi hata kubaini mwizi uliyekaa nae kwenye gari. Unajua Kuna mbinu ngapi za kubaini wahalifu? Huko mahakamani utawapeleke watu bila ushahidi? Utawashitaki kwa kosa gani?
Ha ha ha mkuu nilishawasahau hadi majina umenikumbusha yule teacher mwenye duka mchaga sijui yule ndiyo alipata hasara sanaWe nina uhakika tulikuwa wote kwenye mgomo ule.
Mwl. Mlaki, Bambucha wote hao nina uhakika uwajua
Gonga like tu[emoji23]
Ukijua yaliyowapelekea kufanya hivyo unawezakuta hata wewe ungekuwa wao ungechoma pia usiwe mwepesi kuhukumuYaani wakitandikwa vizuri watasema ukweli.
Ukweli wanaujua ila hawataki kusema..ifike muda tuache kuwaonea huruma zisizostahili.
Yaani kwa upumbavu wao wachome shule halafu wasipigwe??
Wapigwe tu,hata angekuwepo mwanangu hapo naye angetandikwa tu kama asipotaka kueleza ukweli.
Ni ujinga kutatua tatizo kwa tatizo.Ukijua yaliyowapelekea kufanya hivyo unawezakuta hata wewe ungekuwa wao ungechoma pia usiwe mwepesi kuhukumu
Kama wanachoma mabweni wahojiwe kwanzaNi kuumiza watoto wa watu bila sababu za msingi