Wanafunzi wa shule ya sekondari Minaki wanateswa na Polisi Kisarawe

Hapo Minaki adui mkubwa Ni mkuu wa shule anayeitwa Harold Chungu.Huyo hugombania mahouse girl dhidi ya wanafunzi.Walimu waliokuwa wakimkosoa wote walihamishwa na wengine kufukuzwa kazi kwa sababu ya chuku na uchonganishi wake.Alivunja ndoa ya secrtary wake mama Lugongo ambaye mume wake Lugongo Ni dereva halmashauri,huyu jamaa hafai kuendelea kuwa mkuu wa shule.
 
Wewe ndo yule albino wa Arusha?
 
We nina uhakika tulikuwa wote kwenye mgomo ule.
Mwl. Mlaki, Bambucha wote hao nina uhakika uwajua

Gonga like tu[emoji23]
Bambucha Ni yule mama wa Biology siyo,Mlaki likuwa fala Sana.Nyie ndo mlimpa ukuu Harold Chungu.
 
Aisee hii serikali ya wahuni
 
Shule tungeichoma enzi zetu,Leo wangesoma wapi?
 
Angelikuwa mtoto wako wala usingesema hivyo. Kutesa watu kama njia ya kupata ushahidi ni kosa kubwa. Mara nyingi unaumiza tu watu na wanaweza kutaja hata ambao hawamo ili kujiokoa
Na ndio hawatarudia tena ujinga
 
Angelikuwa mtoto wako wala usingesema hivyo. Kutesa watu kama njia ya kupata ushahidi ni kosa kubwa. Mara nyingi unaumiza tu watu na wanaweza kutaja hata ambao hawamo ili kujiokoa
Hata wewe ungekuwa na mtoto Kati ya wale 10 walioungua na Moto kule Kagera usingetetea ujinga.
 
Alshaabab wameshavamia Mtwara! Mkapambane kwenda kuwaondoa, badala ya kutumia nguvu kubwa kuwaonea hao watoto wadogo wa shule.
Kwa hiyo wewe unaomba Alshabaab wavamie nchi? Unadhani wewe au ndugu zako watabaki salama? Ni Ujinga wa kiwango Cha SGR na kukosa uzalendo, kuiombea nchi iingie kwenye majanga makubwa ya Vita. Anyway, unachokiomba hukijui au umevimbewa chakula unadhani kila habari ni ya kushadadia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…