A
Kiafrika Afrika ni kawaida Sana hiiNi kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali wanafahamu matatizo yaliyopo kwenye idara hii.
Chuo kimekuwa kikidahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa kozi ya mifupa kwa wastani wa wanafunzi 17 mpaka 20, lakini wanaofanikiwa kumaliza kila mwaka hawafiki hata wanafunzi 8. Hii sio sifa nzuri kwa chuo.
Wengi wanaishia kuacha chuo, kuhamia vyuo vingine au kulazimika kusoma kwa miaka 4 mpaka 5.
Wanapokuwa masomoni wanatumia pesa nyingi kugharamia ada na mahitaji mengine, ambapo wanafunzi wanapofelishwa makusudi gharama zinaongezeka mara dufu. Mfano, mwanafunzi aliyerudishwa mwaka (retake) atatakiwa kulipa gharama ya shilingi milioni 1.6 ili afanye mtihani kwa somo moja. Fikiria ana masomo manne au zaidi. Fikiria Mtanzania wa kawaida upo masomoni, utawezaje kumudu hizi gharama?
Wanafunzi wanaojisomesha na serikali pia imewekeza pesa nyingi kusomesha hawa madaktari, na mwisho wa siku wanaishia kufeli na kuacha chuo. Tunapoteza madaktari bingwa wengi ambao wangeweza kusaidia Watanzania kwa wakati.
Kwa hali ya kawaida, ikiwa hata nusu ya darasa la wanafunzi hawana uhakika wa kumaliza masomo yao mpaka mwisho, kwa nini wanadahili wanafunzi wengi?
Hivyo ni vema serikali na TCU kufanya uchunguzi huru na wa kina kusaidia wanafunzi hawa wanaopitia mazingira magumu na kulazimika kuacha chuo wanapokuwa masomoni, kwa kuwa uongozi wa chuo umelifumbia macho jambo hili.
udaktari bingwa asilimia kubwa sio vijana mkuuunauhakika gani kwamba wanafelishwa kwa makusudi?
Vijana wasome kwa bidii
Ok,nimekupata vyema docudaktari bingwa asilimia kubwa sio vijana mkuu
Hakuna daktari bingwa fresh from form six..Maprofesa wa kiafrika ovyo sana wanapenda mno kuabudiwa.. Niulize swali, hao wanafunzi wa udaktari bingwa wa mifupa wanakuwa tayari na MD hapo amekuja tu ku specialize kwenye mifupa au ndio anakuwa fresh from form six?
Ahaa afadhali banaHakuna daktari bingwa fresh from form six..
daktari bingwa ni resident doctor yaani Daktari mkazi..yaani tayari ni daktari MD ambaye tayari amekwishafaya kazi zaidi ya miaka mitatu au minne ndo akaamua aende kuongeza elimu sehemu fulani yaani kwa mfano umefanuya kazi miaka 20 ukasema uende kuongeza uwezo kwenye upande ambao unaona umebobea sana
Stupid question.Maprofesa wa kiafrika ovyo sana wanapenda mno kuabudiwa.. Niulize swali, hao wanafunzi wa udaktari bingwa wa mifupa wanakuwa tayari na MD hapo amekuja tu ku specialize kwenye mifupa au ndio anakuwa fresh from form six?
POLENI, UMELIFIKISHA SWALA HILI UONGOZI WA CHUO, TUNATAMBUA KUNA DEANS, DIRECTORS, VC AND EVEN COUNCILLOR MWENYEWE NA KWA CHUO CHENU CHA KIKATORIKI NI RAIS WA TEC, PROF. KAMUGISHA MBONA NI MTU MUELEWA SANA AMESHINDWA KUSIMAMIA JAMBO HILI....MPAKA LINAVUKA NA LINAKUJA HUKU.Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali wanafahamu matatizo yaliyopo kwenye idara hii.
Chuo kimekuwa kikidahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa kozi ya mifupa kwa wastani wa wanafunzi 17 mpaka 20, lakini wanaofanikiwa kumaliza kila mwaka hawafiki hata wanafunzi 8. Hii sio sifa nzuri kwa chuo.
Wengi wanaishia kuacha chuo, kuhamia vyuo vingine au kulazimika kusoma kwa miaka 4 mpaka 5.
Wanapokuwa masomoni wanatumia pesa nyingi kugharamia ada na mahitaji mengine, ambapo wanafunzi wanapofelishwa makusudi gharama zinaongezeka mara dufu. Mfano, mwanafunzi aliyerudishwa mwaka (retake) atatakiwa kulipa gharama ya shilingi milioni 1.6 ili afanye mtihani kwa somo moja. Fikiria ana masomo manne au zaidi. Fikiria Mtanzania wa kawaida upo masomoni, utawezaje kumudu hizi gharama?
Wanafunzi wanaojisomesha na serikali pia imewekeza pesa nyingi kusomesha hawa madaktari, na mwisho wa siku wanaishia kufeli na kuacha chuo. Tunapoteza madaktari bingwa wengi ambao wangeweza kusaidia Watanzania kwa wakati.
Kwa hali ya kawaida, ikiwa hata nusu ya darasa la wanafunzi hawana uhakika wa kumaliza masomo yao mpaka mwisho, kwa nini wanadahili wanafunzi wengi?
Hivyo ni vema serikali na TCU kufanya uchunguzi huru na wa kina kusaidia wanafunzi hawa wanaopitia mazingira magumu na kulazimika kuacha chuo wanapokuwa masomoni, kwa kuwa uongozi wa chuo umelifumbia macho jambo hili.
Bora ungesema ubora ndio Hakuna kwa vyuo vya GVT 3 tu nchi nzima tutawezaje kupunguza uhitaji wa Wabobezi kwneye Fani yw Afya na kwa Taarufa tu Private/GvT. Upande wa Masters tofauti ya gharama ni kidgo sanaVyuo vya private ni takataka gharama kubwa mno