A
Wizi huoWanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.
Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye Ile hela yetu tunayoilipa Kwa mwaka?
View attachment 3559578
View attachment 3559579
Sasa 10k ni pesa ya kulalamikia pia?
Yeye analalamika10k kwa wiki zote 2 mbona ni pesa ndogo sana kulalamika mkuu? Kulipia fee mwaka mzima huwa likizo zinakuwa zimetolewa kwahiyo ni sawa tuu. 750 kwa siku mmependelewa sana
Ukiwa chuo kuna lile wenge la kupinga kila kitu na mob psychology. 😁
Ukute hawa wasomi wamekaa wengi tuu wameona waanzishe uzi hili suala.
Kabisa, maana kwa akili za kawaida ukifikiria endapo angeenda kukaa nje kwa siku tu angetumia shilingi ngapi?Ukiwa chuo kuna lile wenge la kupinga kila kitu na mob psychology. 😁
Ukute hawa wasomi wamekaa wengi tuu wameona waanzishe uzi hili suala.