KERO Wanafunzi wa UDOM tukibaki hosteli wakati wa likizo tunalipishwa japo tumeshalipa hela ya makazi

KERO Wanafunzi wa UDOM tukibaki hosteli wakati wa likizo tunalipishwa japo tumeshalipa hela ya makazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
hii topic karibu kila mwaka huwa inajirudia, na jibu hua kama hutaki kulipa nenda likizo
dogo hawaelewi mmekubaliana na utaratibu miaka yote hiyo na mmeshindwa kuhoji hata kwa uongozi inakuaje hamuoni ni tatizo dogo kaona ni tatizo 🤣🤣,kaona sio sawa
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
dogo hawaelewi mmekubaliana na utaratibu miaka yote hiyo na mmeshindwa kuhoji hata kwa uongozi inakuaje hamuoni ni tatizo dogo kaona ni tatizo 🤣🤣,kaona sio sawa
hiyo ngoma anayopambana nayo hatoboi.

mwaka jana nyuzi hii ililetwa a mwenzake nadhani kwa sasa atakua ameelewa

 
Kwa wanaotaka Taarifa na Huduma za Scholarships mbalimbali katika nchi ya Marekani, Canada, UK, Germany, China, India, Japan, South Korea karibu katika WhatsApp group la Education Scholarship... Karibuni sana kupata fursa hizi...

 
Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.

Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye Ile hela yetu tunayoilipa Kwa mwaka?

View attachment 3559578
View attachment 3559579
Mahesabu ya accomodation fee ya mwaka haijumuishi muda wa likizo.
 
Back
Top Bottom