hizi ni chuki zako binafsi tu mkuu, udom akapange mtaani kwa makazi yapi? kwa idadi ipi? mtu anasoma CIVE apange wapi?Kwani mmelazimishwa mubaki? Si mrudi makwenu,
Yani mnapata boom mnakosa hata akili ya kupanga mitaani, nyny ndo mtakuja kutolewaga na Polisi kwenye makota huko makazini.
Acheni kupenda Vitonga
Sio wizi wewe lipa. Utaweza kusafisha na kudeki korido, vyoo, ngazi na sakafu? Hiyo hela inawalipa wafanyakazi wanaojitolea kubaki wakati wa likizo nao pia huwa wana likizo.Wizi huo
Upo sawa mkuu ๐ . Hela hiyo huwalipa wafanya usafi wa hostel wasioenda likizo.Siyo udom tu hata udsm miak hyo (sijui kwa sasa) lazima ulipe hyo pesa
Ile accomadation unayolipa kama direct costs payable to university, huwa ni wakati wa academic days yaani miez minne ya semister ya kwanza na miezi minne ya semister ya pili
-vacation yoyote kati ya semester na semister lazima ulipie kutokana na muda utakao kaa huko hapa hakuna wizi
Apange mjn mbona daladala zipo au apange ngh'ongh'ona kijjnhizi ni chuki zako binafsi tu mkuu, udom akapange mtaani kwa makazi yapi? kwa idadi ipi? mtu anasoma CIVE apange wapi?
sasa hapo ndo umeongea nini? kwahiyo kupanga ni kwa second year pekee. apange mjini, kodi kuanzia 80k kwa mwezi, bado kila siku achukue usafiri, kwani wanalipwa mshahara au? kuna vipindi vinaisha saa 3 usiku. sijui unafikiria kwa kutumia nini mkuu. anyway ngoja nikuache huna ulijualoApange mjn mbona daladala zipo au apange ngh'ongh'ona kijjn
Siyo chuki mkuu, huu muda si wakulilia nyumba za serikali...mabweni ni kwaajili ya first yr na third yr
Mkuu unatakiwa ku practice hustling usipende kuishi kimayaiyai, hizo hostel ni Mali ya serikali acheni kulilia.sasa hapo ndo umeongea nini? kwahiyo kupanga ni kwa second year pekee. apange mjini, kodi kuanzia 80k kwa mwezi, bado kila siku achukue usafiri, kwani wanalipwa mshahara au? kuna vipindi vinaisha saa 3 usiku. sijui unafikiria kwa kutumia nini mkuu. anyway ngoja nikuache huna ulijualo
kwa mwaka hostel ni 220k nadhani halafu ukapange mjini kodi, maji na umeme 100k kwa mwezi. bado hujasafiri, kuna test za saa 11 asubuhi sjui utapata usafiri gani. kupanga ni kuchagua
kwahiyo point yako ni kuwa first year akae hostel, second year akapange, then third year arudi tena hostel. nasikitika kusikia hizi akili ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Yani mleta mada analalamika wanalipishwa halafu hela yenyewe ni aftatuYaani nikajua sijui ni shingapi๐ซข
Nadhani kwa UDOM kupanga ni kazi kubwa kutokana na mazingira yalivyosasa hapo ndo umeongea nini? kwahiyo kupanga ni kwa second year pekee. apange mjini, kodi kuanzia 80k kwa mwezi, bado kila siku achukue usafiri, kwani wanalipwa mshahara au? kuna vipindi vinaisha saa 3 usiku. sijui unafikiria kwa kutumia nini mkuu. anyway ngoja nikuache huna ulijualo
kwa mwaka hostel ni 220k nadhani halafu ukapange mjini kodi, maji na umeme 100k kwa mwezi. bado hujasafiri, kuna test za saa 11 asubuhi sjui utapata usafiri gani. kupanga ni kuchagua
kwahiyo point yako ni kuwa first year akae hostel, second year akapange, then third year arudi tena hostel. nasikitika kusikia hizi akili ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Ndio lazima ulipee ,maana hela ya makazi uliyolipa wewe hakujumlisha siku za likizo inajumlisha siku za masomo tuu, so izo siku za likizo hazipo kwenye makubaliano ya hela ya makazi lazima uzilipieWanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.
Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye Ile hela yetu tunayoilipa Kwa mwaka?
View attachment 3559578
View attachment 3559579
wewe mkuu ndo unaelewa hali halisi, hakuna ambaye Hapendi kupanga, tena hata gharama zinapungua maana msosi unajipikia mwenyewe, tofauti na hostel kila siku lazima hela ya msosi ikutoke. kwa udom kupanga ni ngumu. hata ukitaka kupanga lazima uandike barua ya sababu ya kukaa nje na uambatanishe na vithibitisho.Nadhani kwa UDOM kupanga no kazi kubwa kutokana na mazingira yalivyo
Ila sisi wa MUST kupanga sio hustle kubwa hivyo, sawa chumba kizuri self ni 80K lakini chuo tunaenda kwa mguu, hata kipindi kikiwa zaa 2 za usiku muda wote tupo standby ๐
Ila kwa UDOM nakubali ni bora akae tu hostel
Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.
Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye Ile hela yetu tunayoilipa Kwa mwaka?
View attachment 3559578
View attachment 3559579
duh nashindwa hata kukusaidia mkuu maana unakuja na hoja dhaifu sana. unajua kuwa kuna masomo ya lazima mkuu? au una fikiri masomo yote ni elective ๐ฎ๐ฎ๐ฎMkuu unatakiwa ku practice hustling usipende kuishi kimayaiyai, hizo hostel ni Mali ya serikali acheni kulilia.
After all: ratiba imepangwa lakini wakuchagua uingie kipindi kipi ni ww, mfano labda somo ni FE300, Utakuta Kuna FE300 ASUBUHI, FE300 MCHANA, FE300 JIONI, FE300 USKU, kwahyo tunategemea utachagua kulingana na mazingira unayoishi, kwa walevi hawatachagua vipindi vya asubuhi kwasababu wanakuwa Bado wamelewa
Kwahyo hayo masomo ya lazima yameelekezwa kusomwa usku tu, we jamaa unafkri sikusoma chuo...acha ujinga wakoduh nashindwa hata kukusaidia mkuu maana unakuja na hoja dhaifu sana. unajua kuwa kuna masomo ya lazima mkuu? au una fikiri masomo yote ni elective ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
unachuki zako binafsi mkuu, unasema hizo hosteli ni mali za serikali waache kulilia, wewe unaenda kupanga kwenye nyumba yako au ya mtu mwingine.
anyway namaliza sehemu ya akili zangu bure tu, kwanza nijue umesoma chuo gani?
Kupanga ni life skills, mtu anayepanga ana possibility kubwa ya kujenga nyumba yakeduh nashindwa hata kukusaidia mkuu maana unakuja na hoja dhaifu sana. unajua kuwa kuna masomo ya lazima mkuu? au una fikiri masomo yote ni elective ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
unachuki zako binafsi mkuu, unasema hizo hosteli ni mali za serikali waache kulilia, wewe unaenda kupanga kwenye nyumba yako au ya mtu mwingine.
anyway namaliza sehemu ya akili zangu bure tu, kwanza nijue umesoma chuo gani?
Mm nimemaliza hapo 2020, na likizo nilibaki na sikulipa Hata Mia.Zile waga wanapiga kwenye Semester weeks wanaExclude likizo
Kaka tumetoka hapo 2017 na tulikuwa tunalipa vizuri tu so wewe lipa Pesa yao ubaki hapo
๐ฎ๐ฎ๐ฎKwahyo hayo masomo ya lazima yameelekezwa kusomwa usku tu, we jamaa unafkri sikusoma chuo...acha ujinga wako
nimekuuliza ulisoma chuo gani, maana huenda hata mfumo na mazingira ya udom yenyewe huyajui, we unajua ng'ong'ona tuKupanga ni life skills, mtu anayepanga ana possibility kubwa ya kujenga nyumba yake