instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Unaakili ya kukariri na kulilia hostel za chuonimekuuliza ulisoma chuo gani, maana huenda hata mfumo na mazingira ya udom yenyewe huyajui, we unajua ng'ong'ona tu
🚮🚮🚮Unaakili ya kukariri na kulilia hostel za chuo
dogo hawaelewi mmekubaliana na utaratibu miaka yote hiyo na mmeshindwa kuhoji hata kwa uongozi inakuaje hamuoni ni tatizo dogo kaona ni tatizo 🤣🤣,kaona sio sawahii topic karibu kila mwaka huwa inajirudia, na jibu hua kama hutaki kulipa nenda likizo
hiyo ngoma anayopambana nayo hatoboi.dogo hawaelewi mmekubaliana na utaratibu miaka yote hiyo na mmeshindwa kuhoji hata kwa uongozi inakuaje hamuoni ni tatizo dogo kaona ni tatizo 🤣🤣,kaona sio sawa
Mahesabu ya accomodation fee ya mwaka haijumuishi muda wa likizo.Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.
Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye Ile hela yetu tunayoilipa Kwa mwaka?
View attachment 3559578
View attachment 3559579