Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

Maisha ya Lissu yaliokolewa na hospital ya Dodoma iliyofanya stabilization ya kuweza kusaidia mgonjwa kusafiri. Katibu mkuu akiwa mmoja ya walioshiriki operation hiyo kama mtaalam sio kama Katibu Mkuu, Wangeshindwaje Muhimbili. Utaratibu, Katibu mkuu anaidhinisha matibabu nje baada ya kuletewa taarifa ya maandishi na daktari wa hospital ya rufaa. Rwaichi hakupelekwa nje vinginevyo ungetumika utaratibu huu.

..aliyetoa ndege ya serikali kwa Askofu Ruwaichi alishindwa nini kutoa ndege hiyo imuwahishe Tundu Lissu Nairobi?

..mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni anashambuliwa halafu serikali inashindwa kumpa msaada anaouhitaji?!

..Katibu Mkuu Wizara ya Afya hakuhitaji kuandikiwa taarifa ya mgonjwa, yeye mwenyewe alishuhudia na alimhudumia mgonjwa, na aliidhinisha mgonjwa akatibiwe nje ya nchi, yaani Nairobi Hospital.

NB:

..watu wa kwanza kumsaidia Tundu Lissu mara baada ya kushambuliwa ni wasaidizi wa nyumbani kwake, na dereva wake, ambao walihakikisha wanamuwahisha hospitali. Wengine ni Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Dodoma, pamoja na Katibu Mkuu wizara ya afya.

.
 
Ndege ya Rwaichi ilikuwa yaa kumleta muhimbili, kwa sheria na utaratibu wa matibabu ya umma, sio kumpeleka nje ya nchi ( Nairobi). Kwa sababu unataka kusimamia misimamo yako, sioni haja ya kuendelea na hili historia itaandika.
 
..lakini Ruwaichi siyo mtumishi wa serikali, wala mbunge. Ruwaichi hakuwa mahututi kulinganisha na Tundu Lissu tunayemzungumzia hapa. Ruwaichi hakuwa ameomba msaada kama walivyoomba familia ya Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom