DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
❤Halafu bado alikuwa anaizodoa Corona, ukiwa na maunderlying diseases lazima ujikinge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
❤Halafu bado alikuwa anaizodoa Corona, ukiwa na maunderlying diseases lazima ujikinge.
NakupendaSana.
Ukilijua hill, barabara sio hojaNa hajajenga mpya...
Hujakosea....[emoji3][emoji3][emoji3]
Ukilijua hill, barabara sio hoja
Ila pimbi waliozaliwa karne hii wanaona mwamba alicheza sana... kumbe hawajui zamani mababu walitengeneza barabara ili wapite punda kubeba mazao...
Kujenga barabara ni wajibu, sio credit... dont be stupid!
Sure... it takes a really genius to know who is the best genius. Stupidity is our profession... You are the best...Hata mama kukupikia ni wajibu.. ila kumpa credit ni uungwana...
Chukua kioo kiangalie utamuona really stupid[emoji3][emoji3][emoji3]
Angeweza kuamua kutofanya na usingemfanya kitu..
Thanks my boss coz u are da Senior stupidier..
Sure... it takes a really genius to know who is the best genius. Stupidity is our profession... You are the best...
Sina muda wa kuchukua kioo maana mimi ndo nakitengeneza...
Inafikirisha sana... no unafiki uliopitiliza kumwita mtu wa namna hiyo ni mwema. Mtu asiyekumbuka fadhila akizuga anamtanguliza Mungu mbele.....mtu aliyesaidiwa matibabu namna hii akaelekeza bunge limnyime Tundu Lissu stahiki zake za matibabu.
Kama alitumia fedha zake mfukoni, bila shaka tutamkumbukaZitatoka takwimu zitakazoonyesha km za barabara zilojengwa under his watch as a presdent, mdo mdo mtamuheshimu uyu mtu na mtamkumbuka
Halafu kama alikuwa na ugonjwa was moyo angekuwa anapunguza hasira na kufokafoka!Yuko Kilongawima Kunduchi Dar es salaam.
Kuwaita mabeberu, ni kukosa fadhila.Kumbe mabeberu walisaidia sana.
Hueleweki ww...Kama namwona alivyokuwa anakunywa Bupiji.Maana kila akiongelea Corona ilikuwa lazima aongelee dawa ya Bupiji.
Nop akiwa anakwenda kutafuta kaziUnapita hizo barabara uchwara ukiwa na njaa?
Kumbe hii pacemaket aliyowekewa inaontesha ilimaliza muda wake.nimesoma mahali life time yake ni 10-15 years.ijapo yeye amekaa muda zaidi ya huo.labda inafanyiwaga services.View attachment 1729018
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'
Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.
Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Mr.Mapush upSana.
Uko kwenye usingizi gani? Ndio tatizo la kulishwa tango pori. Mbowe na wapambe wake walikata TL kupanda kwenye ndege iliyoandaliwa kuletwa Muhimbili wakatafuta yao ya kwenda Nairobi kinyume cha kanuni maibabu na za matumizi ya pesa ya umma. Walionywa madhara yake. Mbowe kwa kauli yake aliomba wasamehewe kwa hilo sababu wangependa washughulikie kwa namna wapendayo wao...mbona Askofu alipewa ndege ya serikali toka Kcmc kumleta Muhimbili, lakini Tundu Lissu akanyimwa usafiri huku akiwa mahututi karibia kukata roho?
..Je, kuna kanuni na sheria za kutoa ndege ya serikali kwa Askofu, lakini kumnyima mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni?
..Pia kwanini jeshi la Polisi halifanyi uchunguzi kuwabaini waliotaka kumuua Tundu Lissu? Ni nani alizuia uchunguzi usifanyike? Ni nani alikataa maombi ya kushirikisha wachunguzi toka nje ya nchi?
Uko kwenye usingizi gani? Ndio tatizo la kulishwa tango pori. Mbowe na wapambe wake walikata TL kupanda kwenye ndege iliyoandaliwa kuletwa Muhimbili wakatafuta yao ya kwenda Nairobi kinyume cha kanuni maibabu na za matumizi ya pesa ya umma. Walionywa madhara yake. Mbowe kwa kauli yake aliomba wasamehewe kwa hilo sababu wangependa washughulikie kwa namna wapendayo wao.
Usiulize nani, sheria na kanuni za kumpeleka mgonjwa nje ya nchi ndizo zinazozingatiwa. Anapelekwa nje pale madaktari bingwa wa hosp yanrufaa wanaposema hawana uwezo wa kutibu na atapelekwa nje ktk hospital iliyoorodheshwa ki kanuni na Nairobi haimo...familia waliombwa mgonjwa apelekwe Nairobi, serikali ikakataa na kulazimisha apelekwe Muhimbili, labda baadae wangemhamishia Mzena.
..Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dr.Mpoki alikubaliana maoni ya familia kwamba hospitali sahihi ni Nairobi Hospital.
..Serikali ikaendelea kugoma kutoa ndege ndipo Mbowe na timu yake wakafanikisha kupatiwa msaada wa ndege na Mh.Turky mbunge wa ccm toka Zanzibar.
..Unajiuliza aliyekuwa akitoa maelekezo serikali isitoe ndege ni nani? Malengo yake yalikuwa nini? Je, aliyekatalia ndege ya serikali ndiye huyohuyo aliyetuma magaidi wamuue Tundu Lissu?
..mtoa ruhusu za wagonjwa kwenda nje kwa ajili ya matibabu ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye alikuwepo wakati Lissu anahudumiwa Dodoma, na aliridhia mgonjwa apelekwe Nairobi. hivi kwa akili zako unafikiri kwa kilichomtokea Tundu Lissu angeweza kutibiwa ktk hospitali ya Mzena na kutengemaa?Usiulize nani, sheria na kanuni za kumpeleka mgonjwa nje ya nchi ndizo zinazozingatiwa. Anapelekwa nje pale madaktari bingwa wa hosp yanrufaa wanaposema hawana uwezo wa kutibu na atapelekwa nje ktk hospital iliyoorodheshwa ki kanuni na Nairobi haimo.
Maisha ya Lissu yaliokolewa na hospital ya Dodoma iliyofanya stabilization ya kuweza kusaidia mgonjwa kusafiri. Katibu mkuu akiwa mmoja ya walioshiriki operation hiyo kama mtaalam sio kama Katibu Mkuu, Wangeshindwaje Muhimbili. Utaratibu, Katibu mkuu anaidhinisha matibabu nje baada ya kuletewa taarifa ya maandishi na daktari wa hospital ya rufaa. Rwaichi hakupelekwa nje vinginevyo ungetumika utaratibu huu...mtoa ruhusu za wagonjwa kwenda nje kwa ajili ya matibabu ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye alikuwepo wakati Lissu anahudumiwa Dodoma, na aliridhia mgonjwa apelekwe Nairobi. hivi kwa akili zako unafikiri kwa kilichomtokea Tundu Lissu angeweza kutibiwa ktk hospitali ya Mzena na kutengemaa?