Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

View attachment 1729018

Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.

Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'

Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.

Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Kweli fasihi andishi haifi kizembe
 
Tutaona mengi, Mkapa wakati anatoka madarakani ndio tukaanza kuambiwa habari za Kiwira Coal Mine. Watch this space
 
Ukichaa wake umenufaisha wengi hasa barabara ambazo hata few out of rafiki na ukoo wako watapita...

Magu atadumu forever kwenye nafsi za watanzania...

Ila kwa washirikina it's ok kushangilia
Unapita hizo barabara uchwara ukiwa na njaa?
 
Ukifa bana ndio mambo yanaibuka na ndio itajulika kwa kina wewe ni nani
 
Pamoja na tatizo lake hilo kubwa bado Rais Magufuli aliji sacrifice kubeba jukumu zito la kuwahudumia watanzania

Apumzike kwa amani Rais John Pombe Magufuli🙏

Twinstar wangu💥💥
Naanza kumfananiaha Magufuli na mwigizaji WA Black Panther, Chard.Hakutaka ugonjwa umzuie yale aliyokusudia Kwa Hilo unastahili heshima.
 
Acheni unafiki mkuu..... Fedheha mlizotoa kwa Lowassa mnadhani tumesahau? Nashukuru mmeumbuka kumbe mlikuwa na ligonjwa zaidi yake!!
Nani alietoa fedheha, mbona una generalize, why do u want people to think like you. Aya ligonjwa limekufa, kasherehekee basi, as if anything will change, minyumbu bhana
 
Magu akulishe...
Magu akuchimbie choo..

Rest in paradise The JPM

Tuache na mabichwa yetu ya kijamaa
Uchumi gani huo? Wakati asilimia 85 wanakunya porini na vichakani zinapopita hizo barabara uchwara.

[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Unaelewa maana ya kujitoa sadaka?
Amefanya kilichompasa apumzike kwa amani
Sawa kabisa alijitoa sadaka sana sana mpaka mh. Fulani akasema kanisani " Mungu ndie anatakiwa amshukuru Rais JPM......"
 
Hapana kaka
Kazi ya serikali ni kutujengea miundo mbinu... sisi tuwe wabunifu na kujituma.

Labda serikali za Saudi huko ndio zinapesa za mafuta kugawia watu.

Serikali maskini zinatakiwa kujenga njia za biashara kisha ikusanye Kodi inunue dawa mahospitalini
Ndio ilibidi afanye hivyo siyo kushindilia maugali ya bure ikulu. R. I p Bensaa8
 
Back
Top Bottom