Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huyo Profesa anatutaka Watanzania tumlipe hizo Fedha kwa Kiherehere chake au ndiyo anataka Kutengeneza Mazingira ili Rais mpya Samia Suluhu Hassan amkumbuke katika Teuzi zake?View attachment 1729018
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'
Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.
Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Hakuna evidence ya ayo yote unayo mu accuse marehemu, basi tu sababu alikuwa kiongozi, basi lawama zote lazima aangushiwe.Atakumbukwa kwa shambulio la Lissu na upoteaji wa Ben na Azory.
Barakoa hizi zinasaidia wapi? Watu wanavaa N95, face shield na isolation gowns na bado wanapata Corona mahospitalini, nini hivyo vibarakoa vilivyo na nafasi pembeni. CDC wenyewe wamesema barakoa hata mbili bado hazisaidii. Acheni kukariri.Alikuwa anamnanga paroko wa watu eti kakosa imani kwa kuvaa barako...
Unafikiri nani sasa anayeijua kweli kati ya Magu na Paroko?Paroko mpakwa mafuta akamwachia Mungu, wadudu wakashika hatamu...
Jeuri kiboko yake kusudi...
Unaelewa maana ya kujitoa sadaka?Uroho wa madaraka tu kwa hali yake ilibidi akatae kazi ya urahisi mana mwenyewe alishakiri kuwa ni ngumu sana
Kwahiyo huyo Profesa anatutaka Watanzania tumlipe hizo Fedha kwa Kiherehere chake au ndiyo anataka Kutengeneza Mazingira ili Rais mpya Samia Suluhu Hassan amkumbuke katika Teuzi zake?
Kama namwona alivyokuwa anakunywa Bupiji.Maana kila akiongelea Corona ilikuwa lazima aongelee dawa ya Bupiji.Alipuuza sayansi na kuendekeza mambo ya kienyeji.
Alikuwa anatukana akikuwa anawaambia ukweli?Waliomfanyia opereshen na kuweka hicho kifaa cha shoti ya umeme ni mabeberu haohao wanaotukanwa...
Huwezi jua labda mabeberu walizima mtambo wao juu kwa juu kwa rimoti...
Usitukane mamba kabla hujavuka mto...
Ukiwa kiongozi wa juu ukifumbia macho maovu kwa vyovyote vile utakuwa unanufaika na uovu huo.Hakuna evidence ya ayo yote unayo mu accuse marehemu, basi tu sababu alikuwa kiongozi, basi lawama zote lazima aangushiwe.
Usiseme kwa vyovyote vileUkiwa kiongozi wa juu ukifumbia macho maovu kwa vyovyote vile utakuwa unanufaika na uovu huo.
Khaaaa[emoji848]Badilisha hiyo I'd,boss wako hayupo
Wewe ndio huna akili hii nchi ilishakuwa shamba LA bibi MTU anafanya kazi serikalini anajitapa Mimi kazi kufukuzwa ni ngumu Niko juu ya sheria mpaka huyo aliyeniajiri anifikie ntakuwa na kustaafu nimestaafu...kazi zinafanywa chini ya kiwango akaja simba wa vita kichaa mwanasayansi neno moja tu mstari unanyooka mlitaka awachekee kwa lipi majizi ninyi? Tena Mimi naona angeongezea huo ukichaa vzr ili tuheshimiane.....hivi kweli uko kazini unafanya kazi yako kwa usahihi siyo mpiga dili na mshahara wako unapokea vzr tu makufuli angekugusa wapi? Mnaolalamika wote mlikuwa majizi.Ukichaa wake umenufaisha wengi hasa barabara ambazo hata few out of rafiki na ukoo wako watapita...
Magu atadumu forever kwenye nafsi za watanzania...
Ila kwa washirikina it's ok kushangilia
Ha ha ha eti Bupiji[emoji16][emoji16]Kama namwona alivyokuwa anakunywa Bupiji.Maana kila akiongelea Corona ilikuwa lazima aongelee dawa ya Bupiji.
Tuna watu wengi ambao wana afya njema na wana qualify kuwa na iyo nafasi iyo sadaka vipi? Yeye hakua mzalendo anajua wazi hajakidhi matakwa ya kikatiba ya kuwa na afya njema na akakitaka kiti. Amekufa sasa kwani hakuna mtu ambae anakuja kuwa raisi?Unaelewa maana ya kujitoa sadaka?
Amefanya kilichompasa apumzike kwa amani
Mimi siamini mitandao. Naamini maneno ya Mama Samia kua alikua akiugua since last 10 yearsView attachment 1729018
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'
Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.
Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Akigombea CCM mnadai ali sacrifice licha ya afya yake kutetea waTZ ila akigombea Lowassa/Lissu mnadai ni wagonjwa wanaotaka kufia Ikulu na kuingiza nchi kwenye gharama.Pamoja na tatizo lake hilo kubwa bado Rais Magufuli aliji sacrifice kubeba jukumu zito la kuwahudumia watanzania
Apumzike kwa amani Rais John Pombe Magufuli🙏
Twinstar wangu💥💥
Kweli wewe zumbukuku, kabla yake barabara hazikuwepo au ametoa hela zake mfukoni?