Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

View attachment 1729018

Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.

Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'

Wanafunzi waliombwa michango ili mwenzao (Pombe Magufuli) akafanyiwe upasuaji nchini Uingereza.

Nakala inayosambaa kupitia Mitandao ya Kijamii inadaiwa ni ya tangazo ambalo lilichapishwa Mwaka 1992
Haituhusu
 
Mwendo wake kaumaliza salama!
Apumzike mahala pema[emoji1431][emoji1431]...Mimi na wewe hatujui siku wala saa ya kuondoka kwetu duniani, hatujui tutawaacha wapendwa wetu katika hali gani, zaidi na zaidi tuombeane mema, tutende mema na Mwenyezi Mungu atakuwa upande wetu[emoji1431][emoji1241]
Unajuaje kaumaliza salama wakati moyo umekata moto hata hakuwa kajiandaa
 
Sijakuelewa.... umeandika mini boss??
Wewe ndio huna akili hii nchi ilishakuwa shamba LA bibi MTU anafanya kazi serikalini anajitapa Mimi kazi kufukuzwa ni ngumu Niko juu ya sheria mpaka huyo aliyeniajiri anifikie ntakuwa na kustaafu nimestaafu...kazi zinafanywa chini ya kiwango akaja simba wa vita kichaa mwanasayansi neno moja tu mstari unanyooka mlitaka awachekee kwa lipi majizi ninyi? Tena Mimi naona angeongezea huo ukichaa vzr ili tuheshimiane.....hivi kweli uko kazini unafanya kazi yako kwa usahihi siyo mpiga dili na mshahara wako unapokea vzr tu makufuli angekugusa wapi? Mnaolalamika wote mlikuwa majizi.
 
Inamaanisha nini walitunza siku zote hizo leo ndio watoe?

Viongozi wanapokua wanaongoza watu wajitafakari sana ....!
 
Kweli wewe zumbukuku, kabla yake barabara hazikuwepo au ametoa hela zake mfukoni?
Zilikuwepo,Ila naye kwanafasi yake amefanya kulingana na ilani inavosema,hivo na Rais mwingine baada ya Magufuli naye naye atafanya kwanafasi yake katika miundombinu kwa kutumia Kodi za wananchi kwa manufaa ya wananchi wake .
 
Daah mzee wetu kumbe alikuwa ana shida ya moyo halafu hakujari kujikinga na corona kabisa..... rip
Tatizo kubwa ni watu kumsifia ujinga mpaka mtu anafikia kujiona ni mtume.. eti maombi yameondoa corona.
 
Akigombea CCM mnadai ali sacrifice licha ya afya yake kutetea waTZ ila akigombea Lowassa/Lissu mnadai ni wagonjwa wanaotaka kufia Ikulu na kuingiza nchi kwenye gharama.

Huu unafiki ni kwa faida ya nani?
Sasa wewe si udai kinachokupendeza kuliko kuforce your narration to other peoples, ama demokrasia hamuielewi.
 
Mkuu alikuwa mbishi sana na tatizo lote hilo bado alikua anaichukulia Poa corona, aisee

Mungu amrehem
 
Tuna watu wengi ambao wana afya njema na wana qualify kuwa na iyo nafasi iyo sadaka vipi? Yeye hakua mzalendo anajua wazi hajakidhi matakwa ya kikatiba ya kuwa na afya njema na akakitaka kiti. Amekufa sasa kwani hakuna mtu ambae anakuja kuwa raisi?
Hakuna ajuaye kesho yetu,ata angeshika ambaye unamini ni mzima wa afya angeweza kufa hata ndani ya mwaka mmoja,
Kilakitu ni mipango ya Mungu,tujifunze kushukuru kwa kilajambo
 
Pamoja na kuchangiwa pesa na Watanzania kuokoa uhai wake lakini jamaa bado likawa katili likiua na kutesa raia wa nchi walio muhifadhi akitokea huko Burundi kwao.
Toka juzi raia wema tunakunywa n'a kula tukukimshukuru Mungu kwa wema wake kwetu
 
Hakuna evidence ya ayo yote unayo mu accuse marehemu, basi tu sababu alikuwa kiongozi, basi lawama zote lazima aangushiwe.
Rais kazi yake ni kulinda raia wake akiwa kama amiri jeshi mkuu. Kama alishindwa simamia justice kwa raia wale basi ni kazi bure na lawana zitaenda kwake mana yote yametokea yeye amechukua hatua gani?
 
Hakuna ajuaye kesho yetu,ata angeshika ambaye unamini ni mzima wa afya angeweza kufa hata ndani ya mwaka mmoja,
Kilakitu ni mipango ya Mungu,tujifunze kushukuru kwa kilajambo
Sawa, lakini at least ingia ukiwa na afya njema
 
Unajua wote tunaongea kitu kimoja?
Soma tena nilichoandika....

Tuko team moja na tunaongea kimoja ndugu....

RiP mwamba Magu
Wewe ndio huna akili hii nchi ilishakuwa shamba LA bibi MTU anafanya kazi serikalini anajitapa Mimi kazi kufukuzwa ni ngumu Niko juu ya sheria mpaka huyo aliyeniajiri anifikie ntakuwa na kustaafu nimestaafu...kazi zinafanywa chini ya kiwango akaja simba wa vita kichaa mwanasayansi neno moja tu mstari unanyooka mlitaka awachekee kwa lipi majizi ninyi? Tena Mimi naona angeongezea huo ukichaa vzr ili tuheshimiane.....hivi kweli uko kazini unafanya kazi yako kwa usahihi siyo mpiga dili na mshahara wako unapokea vzr tu makufuli angekugusa wapi? Mnaolalamika wote mlikuwa majizi.
 
Sawa, lakini at least ingia ukiwa na afya njema
MTAZAMO Mana sijui katiba inasemaje juu ya afya ya anayetaka kugombea Urais.
Niugonjwa ulomsumbua kwa mda mrefu Kama wasemavo,na tukumbuke alipitia jeshi na kuweza kuhimili mikiki yote,

Ivo nazan pia aliamini ataweza kuongoza vipindi vyake vyote vya uongozi nakusahau wakati unapanga Mungu alishapanga.
 
Back
Top Bottom