Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

NNawE kua na shukran wenzako pale buguruni wanaliwa kwa elf 3
Wengine huku mtaani wanapigwa mande bure na Ma Niger



 
WADADA WA VYUONI wanauza sana pale kati, na vijana wa chuo wananunua sana pale kati, uchafu unaoendelea vyuoni hata shetani mwenyewe nadhani hukaa pembeni anashangaa hiki nini!

Ngono, madawa ya kulevya, kamari ndio mtindo mpya, kama hufanyi mojawapo ya hivyo unaonekana mshamba sana.
 
Ajipoze na iPhone.

Hizi iPhone za madada wa mjini huwa zinapatikana kwa taabu sana.

Kuna mchizi wangu mmoja anayauza hayo ma simu alinionyesha txt za mdada mmoja pisi kali ya mjini.

Demu anamwambia mchizi, wafanye mapenzi mfululizo siku nne, wakimaliza jamaa ampe demu iPhone.
 
Rinda haliko salama naiman, lakini pole bhana tangu nilipokua niliacha kuhukum watu maana maisha kuna muda yanachanganya sana.
Kama unammudu Dada Doreen usimwachie Mungu.
Ila ushauri wangu, Fanya madeal yote ila deal za Unga na Ngono acha huwa zina mwiso mbaya kuliganisha za faida.
Ebu fikiria hata kama ungefanywa kawaida tu kimoja chali, ukapewa hiyo iPhone16, na 3M yako bila mateso wala dhurma then ukaachiwa na HIV?
Hiyo ndo ingekua fair kwako?
 
Mbwa anakuwaje na hisia na mwanadam yaani mbwa anasimamisha na kufanya mapenzi na binadamu, really??
 
Dah nilishauri zamani tu chama cha majobless wafanye mpango wa kupata Rais mwingine, huyu kichwani mwake kuna kitu cha tofauti kimekaa sehemu ya ubongo.
hahah [emoji23]
Mkuu nadhani kwa sasa tujikite kwenye mada ujue mtu kaliwa na wanaume watano plus majibwa sio poa kinachomuuma sio kuliwa bali kuikosa 3m, tuache kumsema rais kwakuwa hayupo akija tutampa makavu na urais tutamvua, utapewa wewe bwashee.
 
Hovyo sana
 

Attachments

  • Screenshot_20250706-142936.jpg
    409.9 KB · Views: 21
hii ni chai. upewe iphone 16 na m3 juu, akili inakataa kukubali
Kuhusu simu wazungu ni kawaida, iPhone 16 likitoka toleo jipya unaweza kuirudisha dukani wanaithaminisha then unaongeza hela kidogo unachukua toleo jipya simu kwao sio kitu,
Kwenye swala Mil 3 kwao ni sawa na Dola 1,140 tu, sidhani kama ni big dili kwao ila kwetu m3 ndo kipengele
 
hii ni chai. upewe iphone 16 na m3 juu, akili inakataa kukubali
Inaweza kuwa chai (hii habari) lakini malaya wengi wameshakumbana na haya. Nasema kwa uhakika kabisa. Unajua kuna wazungu wenye fantacy mbalimbali za ngono na huwa wanakuja kwa kazi hiyo. Kuna dada mmoja aliingiliwa kinyume na maumbile mpaka ile sehemu ya ndani ya haja kubwa ikatoka na uume (imejiviringisha kwenye uume kama condom) na mpaka sasa hivi ana matatizo mkubwa ya ki-afya. Kuna mwingine alikwenda Uarabuni na kazi yake kubwa ilikuwa ni kulala na mbwa. Anasema alikuwa anapewa dawa analamishwa kumeza, na akishameza anajisikia raha na kuwa na hamu ya kufanya mapenzi muda wote. Kwa hiyo hata hiyo glass ya wine aliyosema walipewa ni jambo lipo. Ni dawa za kuongeza limbido.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…