Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

🀣🀣
Sawa mkuu, sijataka kusoma hii mada maana nimeogopa nitajenga mdure na sipo sehemu salama.
 
Stori ya uongo huwezi kufanyiwa hivyo kwa mara ya kwanza na ukayembea vizuri na ukafika nyumbani ukapiga usingizi saaafi
Kabisa mkuu, watu 5 tena et wanavotaka tena ndo mara ya 1 halafu poa tu.
 
Wazungu wenye tabia hizo ni warusi hakika wanakuwa na ukwasi mkubwa sana

Story hii ni ya kweli nimewahi sikia story kama hii zenji
 


Kumb 27:21

"Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yo yote. Na watu wote waseme, Amina"
 
Kijana kijana haha hivi bado unafanya stand up comedy na maigizo maana huwa sikuelewi mara unatafuta camera, mara unatafuta mahindi ya bisi.
πŸ˜€
Huwa nafanya mkuu, ila sifanyi vichekesho labda ikitokea show ya mtaani inataka comedy. Pia sifanyi stand up comedy kama hawa kina ndaro, mtandaoni nafanya sanaa flani ya ushairi na misemo mingii.. lakini ni kwa njia ya kuigiza. Hapo haijalishi mada italenga nini mapenzi biashara ulevi ama chochote.

Kuhusu popcorn ni biashara ambayo nimeifanya kitambo kidogo miaka kama minne hivi iliyopita, mashine na vifaa vyote vya kuifanya hii biashara ninavyo, nataka kurudi tena kuifanya ndiyo maana huwa natafuta taarifa Kuhusu mahindi ya popcorn. Pia niliuliza kuhusu kilimo chake kwasababu nikikiweza hiki na shamba likaitika naamini nitakuwa na safari nzuri.

Unaweza kuniuliza kama utabaki na swali kwenye hayo maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…