Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

Kuna mmoja nilisoma story yake anasema yeye hela zote alizokuwa anapata alikuwa anamalizia kwenye pombe na madawa ili kutoa stress

Na mbaya zaidi mwishoni alipata shida tu kwenye njia za haja kubwa na kubakia na uraibu wa madawa

Hela we hela
 
Anhaa mchapakazi kijana safi sana, mimi nalima katika vikundi tunalima okra,lettuce,beetroot, nyanya n.k kisha kuna kampuni tunaiuzia, vifaa vyote vipo, madawa, maji yapo, wiki mbili zilizopita ndio tumepanda naona mambo sio mabaya.
Baada ya mavuno pesa ya kujikimu ipo.

Pia niliomba kazi kampuni ya mazingira ndugu akafanya figisu wakaniacha, jana nimepata nyingine kesho naanza mkuu.
 
hii ni chai. upewe iphone 16 na m3 juu, akili inakataa kukubali


Sasa we unashangaa 3m and hiyo simu, kuna mwanamke aliahidiwa gari akitoa jicho lake na alikuwa mke wa mtu na akatoa na akaenda show room akachukua gari kali ila mwisho wake ulikuwa mchungu sana kwani alianza kuumwa waaenda kupima na mme wake akakutwa na maambukizo ya HIV na mme akakutwa salam NDOA ikafa hapo hapo na lile zee lilimuacha lilimwambia hafai kwa matumizi ......


haya Mambo ni ya kiroho mkuu watu wananunua nafsi za watu kwa pesa ili wapate pesa kwahiyo wapo tayari kutoa chochote ili wapate wanachohitaji kwani wanajua thamani ya hi hicho kitu i.e watavuna maradufu ila alieuza nafsi yake ataona Dunia ni chungu


Sex is not physical act is spiritual act.. that why kwa mtu anayejua na kufahamu falsafa ya sex hawezi kusogelea icho kitu kamwe na mfano mzuri ni yusufu kwa kwenye biblia 👉alilikimbia tunda......🏃🏃🏃🏃😁 Why alikimbia? b'se alikuwa anaelewa nadharia iliyo nyuma ya sex


Hivyo wanauza nafsi zao bila wao kujua.... Hakuna kiachoweza kufikia thamani ya nafsi ya mtu hakuna ni vile binadamu hawajui thamani yao..... "Usipojua thamani ya kitu huwezi kukitunza na kitapotea tu"
 
Walikuwa wanatengeneza content soon zitakuwa mtandaoni huko😃🤣 kama hii story niyakweli
 
Dua kiongozi mapambano yaendelee.
 
Jicho🤔?
 
Muramwaito unakubaliana na hii hadth, mtoto wa chuo mwaka 2 kuingiliwa na wanaume 5 watakavo usiku kucha na mbwa juu, kisha anatoka hapo anadunda fresh tu
 
Tafuta mganga mzuri. Kwenye hiyo laki 6 toa elf 50 umlipe mganga amroge baada ya hapo sikilizia matokeo.
 
👀
 
Da! Naskia uchungu Mimi dada zetu mnakuwaje nini shida, mnakubaliana tu na hali yako😢
 
Usioe mwanamke aliyefika chuo mwisho form four sasa nyie endeleeni kukaza fuvu.
 
Hela zitawaua, endeleeni kuzipenda kama mmezaliwa nazo, kisasa kama hilo likichoka linaanza kutaka mume liolewe, uolewe mtu umelala na ma mbwa?
Baada ya hapo utaanza kumsumbua mwanaume wa watu kila siku ni hospital mara ma P.I.D mara kizazi kipo mbali kumbe kila kiumbe kimesha kuingilia mnakuja kututesa sisi wanaume na mnatuita mbwa kenge nyie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…