Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

Huna hata hoja, ndo umesoma huko Yemen? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wana halali kupakataa huko Yemen.
Unaijua Yemeni English medium iliyopo taifa!?
Kuna walimu wayemeni pale,uliwahi kufundishwa na mwalimu mwenye asili ya Yemeni!?
HAKUNA MWALIMU HAPA AFRIKA ANAMFIKIA MWALIMU ASILI YA YEMENI KWA UFUNDISHAJI.
Shida yenu hamuna exposure mnakaririshwa tu vitu kichwani.
Kuweni na exposure.
Kama Yemeni isingekua na vita ingekua na wasomi bora sana.
Yemeni ina uwezo wa kuunda vitu vingi ambavyo TANZANIA yako haina uwezo wa kuunda.
Iran ndio usiiguse kabisa,Iran ina teknolojia toka enzi na enzi,hizo surgical blades unazochaniwa nazo hospitali pamoja na biceps kagundua Iran.

KUWENI NA EXPOSURE.
 
😁😁😁😁😅🥰

God Bless Israel
 
Mbona mapapa walikwenda kusoma madrasa tena kabla hiyo Marekani haijajulikana ilipo.
Hebu tutajie hao mapapa walioenda kusoma Madrassa 🤣🤣🤣🤣

Walisoma kwa lugha ipi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] em tulizana kwan bhana, eti unasemaaa??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] em tulizana kwan bhana, eti unasemaaa??
Exposure huna ndicho nachosema.
Au unataka ushahidi zaidi!?
Nikutajie shule za WaYemeni hapa Tanzania na mifumo yao ya elimu ukafuatilie zilivyo?
Pia nikutajie teknolojia waliyo nayo Yemeni na Iran na kipi wanaweza kufanya!?
Iran/Persia imevumbua vitu vingi ikiwemo SULPHURIC ACID uliyotumia katika titration form 3 chemistry.
Geopolitical issues ndio zimezidogosha hizi nchi maana external sovereignty yao imechafuliwa kwa vikwazo vya kiuchumi na vita.
Tanzania hata behewa huwezi kujenga wenzako Iran na Yemeni wanao uwezo wa kukuundia ENGINE YA TRENI.
 
Nchi za kiarabu zimeanza kuwa na exposure na external world.
Zinabadilika sasa hivi,ifuatilie Qatar na Bahrain utasadikisha nachokwambia.
Ndio maana hata wazungu wanaenda sana Qatar kutafuta ajira na wanafurahia kufanya ajira huko Qatar.
Shida hizi geopolitical issues zimechafua haya mataifa ya kiarabu na kuonekana ni unsafe.
 
Hakuna mwanafunzi wa Marekani atakyechukua ofa hiyo. Hii nina uhakika 98%
Hakuna hata mmoja atakaechukua hii ofa uko sahihi.
-Ukianza na Yemeni ni unsafe kwa minajili ya food security pia usalama ni mdogo kwa vuguvugu za mashariki ya kati zinazoendelea,si salama kwenda Yemen bado.
-Iran ni taifa ambalo lishachafuliwa kisiasa za kimataifa na ni hasimu wa USA na wamagharibi hata raia wao wamekua wakionywa kutokwenda kwa kusambaziwa ideology ya ISLAMAPHOBIA.
Angalau ingekua Dubai au Qatar wangeenda.
 
Wakienda watakua magaidi tu!! Hakuna namna.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Unawazimu Yemen mbona tuna wanafunzi wazuri zaidi kuliko wa kutoka Columbia university na Hovard? au umeanza kuvutiwa na ushoga
kwamba huko kuna elimu nzuri ya jua kuzamia matopeni?
 
Vipi kuhusu demokrasia na uhuru wa kufanya maaamuzi binafsi kama vile wadada kuvaa vipensi au suruali za jeans? Ahahahahaha!!!
 
Nani alianza kuua wenzake kati ya Israel na Palestina!?
Au mnajitoa ufahamu kuwa August mlianza kuchoma mashamba ya wapalestina Jenin!?
Mlitaka Palestina wanyamaze kwa huo ukatili?
sasa cha ajabu nini si mpambane kuliko kulialia au jino kwa jino,jihad,fatwa.. havijafua damu mbele ya wayahudi?Hao us na westerners demokrasia itawaponza unampuuziaje koboko aliyeingia ndani mwako!
 
acha uongo Iran vitu vingi vyao vimetengenezwa undersupevision kutoka russia,china,south korea...kuna interview ya balozi wa Iran kipindi cha nyuma hapa nchini anasema wayahudi nchi kwao ndio wama hold biashara kubwa na kwenye sekta ya elimu pamoja na uchache wao,alikuwa akijibu swali kwanini wana uhasama na wayahudi.
 
Problem is ni wachache mno wana guts za kuhamia huko. Why? Package wanazo offer america kwenye elimu ni kubwa and they know once wakiondoka there is no turning back. Wanafunzi wengi hawawezi kutake hiyo risk
 
HUNA EXPOSURE WE JAMAA NARUDIA TENA HUNA EXPOSURE.
Ninaifuatilia hiyo Iran kuliko unavyoifuatilia wewe.
Iran ina mifumo yake ya elimu ila ina recruit walimu ama maprofessa toka China na Russia.
Kiteknolojia ya silaha Russia ndio mshirika wake mkubwa wa kushare naye teknolojia na kielimu ya viwanda China ndio mshirika wake wa kushare naye teknolojia.
NA KWA SASA IRAN INAO UWEZO WA KUUNDA CHOCHOTE PASI NA MSAADA WOWOTE.
IRAN KITEKNOLOJIA IMEIMARIKA NA PIA IRAN IMEVUMBUA BAADHI YA VITU AMBAVYO WEWE UNATUMIA IKIWEMO VIFAA TIBA NA TINDIKALI YA SALFYURIK.
UNABISHA NINI!?
SASA HIVI IRAN KILA KITU WANAUNDA WAO,HUYO RUSSIA NA CHINA WANACHOKIFANYA NI TECHNOLOGICAL SHARING NA IRAN.
PIA UACHE UONGO SOUTH KOREA HANA URAFIKI NA IRAN BALI NI NORTH KOREA.
USITUDANGANYE HAPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…