Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Elimu ya kutawadha sio?Arabuni ndiko elimu ilikotokea na huko itarudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ya kutawadha sio?Arabuni ndiko elimu ilikotokea na huko itarudi.
Unaijua Yemeni English medium iliyopo taifa!?Huna hata hoja, ndo umesoma huko Yemen? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wana halali kupakataa huko Yemen.
Hebu tutajie hao mapapa walioenda kusoma Madrassa 🤣🤣🤣🤣Mbona mapapa walikwenda kusoma madrasa tena kabla hiyo Marekani haijajulikana ilipo.
[emoji23][emoji23][emoji23] em tulizana kwan bhana, eti unasemaaa??Unaijua Yemeni English medium iliyopo taifa!?
Kuna walimu wayemeni pale,uliwahi kufundishwa na mwalimu mwenye asili ya Yemeni!?
HAKUNA MWALIMU HAPA AFRIKA ANAMFIKIA MWALIMU ASILI YA YEMENI KWA UFUNDISHAJI.
Shida yenu hamuna exposure mnakaririshwa tu vitu kichwani.
Kuweni na exposure.
Kama Yemeni isingekua na vita ingekua na wasomi bora sana.
Yemeni ina uwezo wa kuunda vitu vingi ambavyo TANZANIA yako haina uwezo wa kuunda.
Iran ndio usiiguse kabisa,Iran ina teknolojia toka enzi na enzi,hizo surgical blades unazochaniwa nazo hospitali pamoja na biceps kagundua Iran.
KUWENI NA EXPOSURE.
Exposure huna ndicho nachosema.[emoji23][emoji23][emoji23] em tulizana kwan bhana, eti unasemaaa??
Nchi za kiarabu zimeanza kuwa na exposure na external world.Waarabu walioko huko USA walienda huko bila mwaliko kwa sababu tu ya mbinyo mkali usioruhusu mawazo mbadala.
Serikali zao bado ziko vile vile ni za kidikteta na utawala wa ukoo mmoja.
Ndio moto uliokuunguza kwanza leo hii ukuambie ingia ndani yangu japo bado nawaka ila sikuunguzi?
Thubutu mwarabu aliyetoroka kwao kurudi nyuma.
Hakuna hata mmoja atakaechukua hii ofa uko sahihi.Hakuna mwanafunzi wa Marekani atakyechukua ofa hiyo. Hii nina uhakika 98%
Ndio akili yake na imani yake ya allah ilivyo,kweli MUNGU yupo na shetani yupo!ukiua wenzio unategemea pongez ?
waende wakajifunze unyama wajute.Yani Kwa Akili za Kawaida Utoke USA Uende Ukaishi na kusoma Yemen Au Iran Utakuwa Mzima Kweli za Kuambiwa changanya na Zako
kwamba huko kuna elimu nzuri ya jua kuzamia matopeni?Unawazimu Yemen mbona tuna wanafunzi wazuri zaidi kuliko wa kutoka Columbia university na Hovard? au umeanza kuvutiwa na ushoga
PumbaWametoka Russia na Belarus
Kwa mtu aliyeishi Marekani HAWEZI kuishi hata Russia.Vipi Russia?
Vipi kuhusu demokrasia na uhuru wa kufanya maaamuzi binafsi kama vile wadada kuvaa vipensi au suruali za jeans? Ahahahahaha!!!Yemen kwenda hapana maana nchi haijakaa vizuri kiuchumi njaa kali na amani bado haijakaa sawa pia kuna ubaguzi Yemen.
Ila IRAN IS FAR WAY BETTER THAN ANY AFRICAN NATION IN TERMS OF EDUCATION.
Na kwenda mbali zaidi IRAN kupitia BRI wameunga ushirikiano na CHINA katika sekta ya elimu hususan katika ngazi za teknolojia mbali mbali.
Hivyo ukisoma chuo Iran ni sawa umesoma China.
Kuweni na exposure ninyi watu.
Ndio mana hadi leo Israel hajatoboa kwa Yemenkwamba huko kuna elimu nzuri ya jua kuzamia matopeni?
sasa cha ajabu nini si mpambane kuliko kulialia au jino kwa jino,jihad,fatwa.. havijafua damu mbele ya wayahudi?Hao us na westerners demokrasia itawaponza unampuuziaje koboko aliyeingia ndani mwako!Nani alianza kuua wenzake kati ya Israel na Palestina!?
Au mnajitoa ufahamu kuwa August mlianza kuchoma mashamba ya wapalestina Jenin!?
Mlitaka Palestina wanyamaze kwa huo ukatili?
acha uongo Iran vitu vingi vyao vimetengenezwa undersupevision kutoka russia,china,south korea...kuna interview ya balozi wa Iran kipindi cha nyuma hapa nchini anasema wayahudi nchi kwao ndio wama hold biashara kubwa na kwenye sekta ya elimu pamoja na uchache wao,alikuwa akijibu swali kwanini wana uhasama na wayahudi.Exposure huna ndicho nachosema.
Au unataka ushahidi zaidi!?
Nikutajie shule za WaYemeni hapa Tanzania na mifumo yao ya elimu ukafuatilie zilivyo?
Pia nikutajie teknolojia waliyo nayo Yemeni na Iran na kipi wanaweza kufanya!?
Iran/Persia imevumbua vitu vingi ikiwemo SULPHURIC ACID uliyotumia katika titration form 3 chemistry.
Geopolitical issues ndio zimezidogosha hizi nchi maana external sovereignty yao imechafuliwa kwa vikwazo vya kiuchumi na vita.
Tanzania hata behewa huwezi kujenga wenzako Iran na Yemeni wanao uwezo wa kukuundia ENGINE YA TRENI.
Problem is ni wachache mno wana guts za kuhamia huko. Why? Package wanazo offer america kwenye elimu ni kubwa and they know once wakiondoka there is no turning back. Wanafunzi wengi hawawezi kutake hiyo riskVuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.
Maamuzi hayo yamekuja wakati polisi nchini Marekani wakiendelea kuwakamata wanafunzi hao na kutishia kuwafungulia mashtaka huku vyuo wanavyosoma navyo vikitishia kuwafukuza kutoka vyuo hivyo.
HUNA EXPOSURE WE JAMAA NARUDIA TENA HUNA EXPOSURE.acha uongo Iran vitu vingi vyao vimetengenezwa undersupevision kutoka russia,china,south korea...kuna interview ya balozi wa Iran kipindi cha nyuma hapa nchini anasema wayahudi nchi kwao ndio wama hold biashara kubwa na kwenye sekta ya elimu pamoja na uchache wao,alikuwa akijibu swali kwanini wana uhasama na wayahudi.