Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

Kwa kumtaja Khadija Kopa na kutumia neno "shostito" umeshaonyesha ni mtu wa aina gani. Anyway, Katika vitu vyoote ulivyotaja ni kitu gani nchi za magharibi hazitengenezi?
Hakuna kitu wamagharibi hawatengenezi,vyote wanatengeneza tena kwa ubora zaidi.
Ila mie nimezungumzia upande wa Iran nini anaweza kufanya.
 
sasa mtu atoke Havard ama Columbia university akasome Yemen? atakuwa amepoteza pakubwa!
Huwa mnachekesha sana. Nyie hamna tofauti na wale washamba eti mtu aliyesoma UDSM na mwingine let say Mzumbe kozi moja yule wa UDSM anajiona amesoma chuo kikubwa zaidi ya mwenzake.

Wakati masomo ni yale yale na coursework ni zile zile as per TCU guidelines na kote lecturers ni wakuda.

Hakuna tofauti mtu aliyesoma Harvard na mwingine Tehran University as long as kozi ni ile ile.

Ondoa hizi nonsense mindsets mkuu.
 
Taja mwanafunzi mmoja toka Yemen au Iran aliyefanya kitu kikaleta impact duniani.
Unadhani hizo Hypersonic Missiles wanatengeneza wazungu pale Iran?

Nchi ya Iran ina wataalalmu wa sayansi iliyo juu kabisa ulimwenguni kuliko hata mabwana zako wazungu unaowaabudu.
 
Unadhani hizo Hypersonic Missiles wanatengeneza wazungu pale Iran?

Nchi ya Iran ina wataalalmu wa sayansi iliyo juu kabisa ulimwenguni kuliko hata mabwana zako wazungu unaowaabudu.
Iran sio wapuuzi na wazembe katika elimu kama ilivyo Saudia
 
Unadhani hizo Hypersonic Missiles wanatengeneza wazungu pale Iran?

Nchi ya Iran ina wataalalmu wa sayansi iliyo juu kabisa ulimwenguni kuliko hata mabwana zako wazungu unaowaa

Unadhani hizo Hypersonic Missiles wanatengeneza wazungu pale Iran?

Nchi ya Iran ina wataalalmu wa sayansi iliyo juu kabisa ulimwenguni kuliko hata mabwana zako wazungu unaowaabudu.
Lete ushahidi kwamba Iran wana hizo "hypersonic missiles" na zilitumika wapi. Acha stori za vijiweni.
 
Yanaongeleea mazingira, sio masomo, uwe unaelewa. Wanaosoma Iran watakuwa na uhuru wa "self expression" kama wanaopata huko waliko sasa? Iran itavumilia wakiandamana kupinga Serikali ya Ayatollas?
 
Yanaongeleea mazingira, sio masomo, uwe unaelewa. Wanaosoma Iran watakuwa na uhuru wa "self expression" kama wanaopata huko waliko sasa? Iran itavumilia wakiandamana kupinga Serikali ya Ayatollas?
Kwanini waandamane!?
Wao wanafunzi mambo ya sovereignty ya taifa la kigeni yanawahusu nini!?
Maana hao walioandamana USA ni kwasababu USA inaifadhili Israel ndiomaana wameandamana.
 
Shetani hajawahi kuwa Mbadala hata siku moja
 
Wao wangesema wakifukuzwa vyuo Yemen Na Iran itawalipia popote watakapopata vyuo, nje au ndani ya Marekani. Ila kusema waende Iran na Yemen naona kama haijakaa poa.

Wanaweza wekeza mizengwe kama wahaini au wakanyimwa visa, au wakawa treated kama wakimbizi huko kwao Marekani. Ni wazo tuu
 
Sasa Yemen ukasomee nini?labda jihadi
 
Yemen wameunda nini?
 
Hivi wale waarabu wanaotumikusha wafanyakazi wa ndani Hadi tunaona mitandaoni ni nchi Gani vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…