Pre GE2025 Wanafunzi wa vyuo wamchangia Rais Samia na Rais Mwinyi fedha ya fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila wanachuo kweli amewafanyia vyema,

Japo mchakato wa kupata mikopo umekuwa na mlolongo kidogo

Ameshirikiana na China kugawa scholarships kama njugu

Kuna kozi za diploma zinapata mkopo
 
Ila wanachuo kweli amewafanyia vyema,

Japo mchakato wa kupata mikopo umekuwa na mlolongo kidogo

Ameshirikiana na China kugawa scholarships kama njugu

Kuna kozi za diploma zinapata mkopo

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Rais Samia mitano tena
Rsis Mwinyi mitano tena
 
Wasomi wapumbavu sana.
Utakuta wote ni watoto wa kimasikini. Daah.
Wasomi uchwara kuna wasomi gani hapo wasaka kiki wakimaliza chuo waanze kuchekesha tiktok na insta huko ukiuliza nini content creator umesomea nini content creator?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Rais Samia mitano tena
Rsis Mwinyi mitano tena
Wewe una hela kuwazidi hao hadi uwachangie ina maana unawadharau kwamba wao hawana uwezo wa kujilipia formu?
 
Acheni ufala nyie madogo wa Chuo alafu kesho na keshokutwa umuanze kusema Mmeshinda "Pasi ndefu"

Yani hapo unakuta hata kupata tu RB mara mbili kwa siku ni ngumu

Mboga za Kila siku za wanachuo ni ugali na madini chuma(dagaa) ya buku
 
Imepangwa hii kesho subiria ya Wajumbe wa Nyumba 10 nao wanachanga za kwao it's all planned
 
Walitakiwa wachangie za ujenzi wa VYOO MASHULENI πŸ˜…πŸ˜…

Album ya kuchangaia fomu imebuma πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…
 
Kwani fomu ni bei gani?? Maana hadi sasa ni zaidi ya 40m au upigaji tuuu
 
Haijalishi, hao wanafunzi ni wanachama wa ccm, the rest watakuwa hawana chama na ni wapiga kura ya mabadiliko
 
Form ya nini na alijichagua mwenyewe. Hao wanafunzi hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…