Wewe acha upoyoyo, Weka uthibitisho wa kitabu hata kimoja kilichomtaja Mudy kabla ya kuleta Quran yake.Ndio walishahadia Shahada ya kwanza ni ya kumkubali Mungu na ya pili na ya kumkubali Mtume aliyeletwa kwao ambaye ni Yesu (Amani iwe juu yake ) sasa watawezaje kutoa shahada ya kumkubali Muhammad (Peace and blessings be upon Him) kuwa Mtume wao wakati alikuwa bado hajaletwa ? Baada ya kuleta Mtume Muhammad na kuja wale wafuasi wa Yesu hapo ndio lazima kumfuata Mtume mpya maana ndio amekuja kuendeleza chain ya Manabii wa Allaah . Baada ya kuja yeye haikubaliki tena Mila yeyote.
Ila kwenye Qu'ran na hadithi Kuna viashiria kuwa Wanafunzi wa Yesu na waliomfuata mafundisho yake kiukweli walishahadia hata kabla ya ujio wa Mtume Muhammad (Peace and blessings be upon Him ) na kuweka nia kuwa akija watamfuata kwani alitajwa kwenye vitabu vyao na ikawa unafahamika kuwa Kuna Mtume mpya atatokea bara la Uarabuni.
Ndio maana Kuna Swahaba Salmani Al Farsi(Allaah amridhie )yeye alikuwa kwenye dini ya kuabudu moto huko Syria kama sikosei siku ulivyokuja msafara Wakristo nchini kwao akaipenda hiyo dini na akatoroka kuishi na kiongozi mkubwa wa Kikiristo wakati huo alipo kufa alihamia kwa kiongozi mwengine mpaka wa mwisho alipokaribia kufa alimwambia kuwa Zama za kufika Mtume mpya zimekaribia akamuelekeza alama zake na maeneo atayapatikana huyo Swahaba akafika mpaka Madina akahakiki zile alama alizoambiwa na huyo kiongozi wa kikiristo akawa Muislamu . (Soma historia yake Swahaba Salman Al Farsi Allaah amridhie ipo hata gugo)
Nitarudi nikuonyeshe Shahada kwenye Qu'ran
Wewe una kitabu chochote kilichomtaja Yesu kabla ya Biblia?Wewe acha upoyoyo, Weka uthibitisho wa kitabu hata kimoja kilichomtaja Mudy kabla ya kuleta Quran yake.
et kabla ya biblia 🤣😂😅 swali lako unamaanisha iviWewe una kitabu chochote kilichomtaja Yesu kabla ya Biblia?
Mudy ni kiumbe gani?Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Nilichouliza namaanisha nataka nitajiwe kitabu kilichomtaja Yesu kabla ya Bibliaet kabla ya biblia 🤣😂😅 swali lako unamaanisha ivi
nitajia kitabu chochote kilichomtaja Yesu kabla ya mwanzo🤣😂
maana biblia inaanza na kitabu chake cha kwanza cha...
Mwanzo na cha mwisho ni ufunuo
jambo ni 1 kama torati zaburi na injili ni vitabu ambavyo mliambiwa muulize kwa mayahudi waliopewa vitabu kama yanavosema mafundisho ya kiislam ..........Bas ni dhahiri quruan tukufu ni ya uongo
maana yaliyomo kwa ivo vitabu vi3 ni yanapingana waziwazi na yaliyomo kwa quruan tukufu.
Muddy mzee wakujipakulia minyama😅😅😅😅Alijua baadae mtaulizauliza ndo maana akaweka mistari isiyo na shaka ndani yake. Sahizi ukiuliza kuhusu uislam wa wanafunzi wa Yesu wanakuletea hizo, hutoboi.
yesu hayumo ndani ya quruani (isa sio yesu maana aliota meno kipindi alipozaliwa tu na akaongea) na kama yumo mtaje kwa jina lake yaani Bwana Yesu Kristo
isa hana geneology (ukoo) Bwana Yesu anaukoo
isa alizaliwa chini ya mgende wakati Bwana Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe.
alafu katika historia ya manabii wote walikuwa wayahudi
kisha anakuja mu1 nabii wa tende muarabu anapingana nao wote.
andiko la islamic kuwako kabla ya muhamad unalitoa wap?? maana yeye mwenyewe alisema nimeamuliwa niwe wa kwanza miongoni mwa walioamin ( akawa wa kwanza kuslim)
Kwa nini unasema hana ukookama kweli isa wa kwenye quruani alikuwa na wanafunzi wataje majina yao alafu utuambia ni quruani ngapi ngapi ...........kwanza isa wa kwenye quruan ukoo hana
Sio wotealafu katika historia ya manabii wote walikuwa wayahudi
Lini aliwapingakisha anakuja mu1 nabii wa tende muarabu anapingana nao wote.
Kwenye uislam Kuna shahada mbili tu, ya MUNGU na ya mtume mhd, ya Yesu haipo.Ndio walishahadia Shahada ya kwanza ni ya kumkubali Mungu na ya pili na ya kumkubali Mtume aliyeletwa kwao ambaye ni Yesu (Amani iwe juu yake ) sasa watawezaje kutoa shahada ya kumkubali Muhammad (Peace and blessings be upon Him) kuwa Mtume wao wakati alikuwa bado hajaletwa ? Baada ya kuleta Mtume Muhammad na kuja wale wafuasi wa Yesu hapo ndio lazima kumfuata Mtume mpya maana ndio amekuja kuendeleza chain ya Manabii wa Allaah . Baada ya kuja yeye haikubaliki tena Mila yeyote.
Ila kwenye Qu'ran na hadithi Kuna viashiria kuwa Wanafunzi wa Yesu na waliomfuata mafundisho yake kiukweli walishahadia hata kabla ya ujio wa Mtume Muhammad (Peace and blessings be upon Him ) na kuweka nia kuwa akija watamfuata kwani alitajwa kwenye vitabu vyao na ikawa unafahamika kuwa Kuna Mtume mpya atatokea bara la Uarabuni.
Ndio maana Kuna Swahaba Salmani Al Farsi(Allaah amridhie )yeye alikuwa kwenye dini ya kuabudu moto huko Syria kama sikosei siku ulivyokuja msafara Wakristo nchini kwao akaipenda hiyo dini na akatoroka kuishi na kiongozi mkubwa wa Kikiristo wakati huo alipo kufa alihamia kwa kiongozi mwengine mpaka wa mwisho alipokaribia kufa alimwambia kuwa Zama za kufika Mtume mpya zimekaribia akamuelekeza alama zake na maeneo atayapatikana huyo Swahaba akafika mpaka Madina akahakiki zile alama alizoambiwa na huyo kiongozi wa kikiristo akawa Muislamu . (Soma historia yake Swahaba Salman Al Farsi Allaah amridhie ipo hata gugo)
Nitarudi nikuonyeshe Shahada kwenye Qu'ran
yesu hayumo ndani ya quruani (isa sio yesu maana aliota meno kipindi alipozaliwa tu na akaongea) na kama yumo mtaje kwa jina lake yaani Bwana Yesu Kristo
isa hana geneology (ukoo) Bwana Yesu anaukoo
isa alizaliwa chini ya mgende wakati Bwana Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe.
alafu katika historia ya manabii wote walikuwa wayahudi
kisha anakuja mu1 nabii wa tende muarabu anapingana nao wote.
andiko la islamic kuwako kabla ya muhamad unalitoa wap?? maana yeye mwenyewe alisema nimeamuliwa niwe wa kwanza miongoni mwa walioamin ( akawa wa kwanza kuslim)
Ungeuliza au kujiuliza nini maana ya tafsiri ya Uisilamu?Uisilamu ni kumuamini Mungu mmoja na mitume wake,Sasa wanafunzi wa Yesu na Yesu mwenyewe walimwamini Mungu mmoja,Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Wa kwanza katika umma huu na si kwa wanadamu woteandiko la islamic kuwako kabla ya muhamad unalitoa wap?? maana yeye mwenyewe alisema nimeamuliwa niwe wa kwanza miongoni mwa walioamin ( akawa wa kwanza kuslim)
Mbona humuambii huyo mwenzio mtoa mada aliyedai kwenye Qur’an katajwa Yesu😄😄islamic wengi mnang'ang'ana na isa ili hali isa wa kwenye quruani hajawahi kuishi.
Yesu kwa kiarabu ni yasu'a na sio isa usidanganye unaelewa maana ya jina Yesu??
kalitumie ilo jina Yesu msikitini kama hamjapandishq majini humo ndani'
islamic wengi mnang'ang'ana na isa ili hali isa wa kwenye quruani hajawahi kuishi.
kama isa wa kwenye quruani aliishi bas torah zaburi na injili ni za uongo
Yesu haangalii dini ya mtu anaangali wote wanaomkiri kuwa ni mwokozi wa ulimwengu na Bwana wa mabwana.
Wanaomtii na kufuata neno lake,Yesu ni mwokozi wa ulimwengu wote sio kwa ajili ya dini mojo tu ila watu wote ulimwenguni wamepewa neema ya wokovu kwa gharama ya kuteswa na damu yake pale msalabani.
Ambao hawapingani na Yesu wako upande wa Yesu.
Ni vizuri pia kuzishika na kuzifuata amri zake Yesu,..mtu akisema YESU ni wa kwake YUPO SAHIHI KABISA YESU NI WA WATU WOTE WA ULIMWENGU MZIMA.
Kwamba Petro huyu tunayemfahamu alikuwa muislamu?
You can't be serious!
Kwa kweli kupitia stories za Quran, shetani amefanikiwa sana kuimarisha ufalme wake.
“Mwana wa uzinzi hataingia katika mkutano wa Bwana, hata kizazi chake cha kumi.”