[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walimu wengine wanoko na wakuda sana acha wapigwe tyuuh.Heheh pamoja sikubaliani na utovu wa nidhamu Ila Hawa vijana ndio wa enzi zetu. Mwalimu akitaka kutoa adhabu alikuwa anajikagua mara mbili mbili maana anajua tukitoroka na tikakutana nae mtaani ajue ameumia.
Waliacha hadi kutufundisha eti tumekuwa watukutu na tukapasua almost wote wa mwisho alikuwa na 2.12 A level huyo ndio failure.
Ila Sasa tumeshakuwa watu wazima lakini mie Kama ni mwanangu hapo najua nimezaa dume sio Hawa wavaa kata K anakuja kuoa anapigwa makofi na mwanamke na anashangilia tu.
Ana miliki simu ili kuwasiliana na wazaz, ndugu jamaa na marafiki na matumizi mengine ya ziada ya cm.Kuna unoko gani sasa hapo...
Sheria za shule haziruhusu kumiliki simu huyo mwanafunzi anatumia Ili iweje,[emoji1692][emoji1545]
Umemaliza kila kitu, nakazia hapa.Sheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!
Halafu ndio mnashangaa inakuwaje shule nyingine zaidi ya 70% matokeo ya F4 ni point 7 hakuna two. Bila nidhamu hakuna kitu.Daaaaah wanafunzi hawajielewi hawa
Dislike ipo mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF Wamefeli hapa tu kuweka kitufe cha like bila ya kuweka dislike
Hakuna shida hapa sio Thailand, Ila nakushauri Kama una kabinti kanunulie simu Safi sana.Sheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!
Bora mwalimu hajachomwa kazi iendelee...[emoji852]Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye ukubwa wa ekari moja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amezungumza mbele ya waandishi wa habari na kusema tukio hilo limetokea baada ya kuadhibiwa kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne kwa kosa la kumiliki simu kinyume na taratibu za shule hiyo.
“Taratibu za shule hiyo haziruhusu mwanafunzi kuwa na simu, wakati upekuzi wa walimu unaendelea kuna mwanafunzi mmoja alitoka kwenda kuficha simu darasani, ndipo mwalimu baada ya kugundua akamuadhibu huyo mwanafunzi.
“Jioni yake wanafunzi hao wakajipanga na kwenda kuchoma pikipiki na shamba, Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio na kujiridhisha juu ya pikipiki hiyo kuchomwa na shamba kufyekwa. Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao kwa kusababisha uhaibifu,” anasema ACP Stella Mutabihirwa.
Source: Wazo Huru TV
Kwamba nisipomnunulia Simu Ndio wahuni hawatamla bindi yanguHakuna shida hapa sio Thailand, Ila nakushauri Kama una kabinti kanunulie simu Safi sana.
Tusaidie mawasiliano
Kuna kuliwa na kumrahisishia mtoto kuliwa. Nadhani umeelewa.Kwani asipokua na cm aliwi? Kuliwa kupo pale pale hakuepukiki yaan. Watu walikua wanamlinda mtoto wako nyumban hatoki anashinda ndan tyuuh likizo, shule anakabidhiwa kwa walimu full uangalizi, ili asiharibiwe lol kumbe Toto linaliwa km kawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza una mtoto kweli? Maana kuliwa ataliwa tu Ila sio at early ages ni vema akasoma kwanza umzuie asiwahi mambo ambayo utajikuta ada unayolipa umeitupa bure.Kwamba nisipomnunulia Simu Ndio wahuni hawatamla bindi yangu
(in Safina wa kashkash group voices ITV)
😁😁😁😁🔥
Sasa ujaribu tena tukupe dudu ya makalio. Katongoze wakubwa wenzio sio mnadanganya watoto wasio na akili ya ukomavuDaaaa kumbe Ndio wewe ulionifanyia unyama ule kisa bintio,Mimi ndie yule kijana wa duka la nguo pale Mwenge ulionifanyia kitu sio Cha kibinadamu,Mimi nilikua tu naupendo wa dhati Kwa bindi Yako Kwani kupenda dhambi baba mkwe mbona wakati unamtafuta mama mkwe ulifanya kama Mimi Tena Ulikua unamtumia na maua?
Ila nishakusamehe Mimi ni kijana mstaarabu sana haikua na maana kunifanyia vile ila nashukuru!
Sheria za kipumbavu tu watu wapo smart world nyie mnaendelea kushikilia masheria ya kikoloni zama hizi wanafunzi wa secondary waruhusiwe kumiliki smart phone ziwasaidiek masomo Yao nchi nyingi tu hasa za Asia mfano Philippine,Hongkong,Thailand watoto wa sekondary kumiliki Simu ni kitu Cha kawaida tu Tena Zina msaada mkubwa sana huko ndiko kinakotoka kizazi Cha smart world wanajua Kila kitu wale sisi huku kijana wa Miaka 17 hajui hata kuwasha computer Wala hajui google ni Nini
Halafu ndio utegemee mageuzi ya kisasa Kwa Jamii kalagha bhaho
Tutaendeshwa na wachina na wahindi mpaka kiama!
ila kusema ukweli Hawa mabindi zetu Hawa duu mtihani sana ukiwa kama baba wa bindi nakuonea huruma sana MkuuKwanza una mtoto kweli? Maana kuliwa ataliwa tu Ila sio at early ages ni vema akasoma kwanza umzuie asiwahi mambo ambayo utajikuta ada unayolipa umeitupa bure.
Kwahiyo Mzee baba unapendekeza Nini kifanyike maana unadai Ili wanafunzi wamiliki smart phone inabidi waandaliwe kwani inachukua miaka mingapi kuwaandaa vijana kama walivyofanya wao?Hao wanafunzi wameandaliwa kumiliki hizo simu kwa ajili ya hayo matumizi ya kiteknolojia kama ilivyo kwenye hizo nchi ulizotaja?
Maana mara nyingi watoto wetu hutumia hizo simu kwa ajili ya kuwasiliana tu na wanafunzi wa jinsia nyingine wa shule jirani.
Na mwisho wa siku hutafuta wasaa wao kwa siri, ili kukidhi mahitaji yao ya kimwili. Na hivyo visimu utakuta ni vile vidogo vidogo, vilivyo choka na vya bei nafuu.
Hata mm nimeshangaa o level ilifutika kitambo sana, mm namalizia form six 2007, ndio ilikuwa inafutika o levelMwenge Secondary kuna O Level? Huyo mwanafunzi aliyeadhibiwa n wa kidato cha 6.
Ila walimu wengine waache unoko na ukuda, japo sitetei kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao. Msieeew
hahahahaha huyo kijana wa hovyo inaonekana ulimfanya kitu kibaya sana anywaySasa ujaribu tena tukupe dudu ya makalio. Katongoze wakubwa wenzio sio mnadanganya watoto wasio na akili ya ukomavu
Ukweli mchungu huu walimu hawataki kuusikia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walimu huwa wanaviherehere sana,
Hiz nguvu za kupambana na wanafunz huwa mnazipata wap wakat mishahara midogo,marupurupu hakuna,madaraja hampandi
Pambaneni na maisha yenu,
Dunia ya sasa sio ya kukomalia mtu asiwe na simu
Ningewaelewa kama mngesema mwanafunz asiingie nayo kwenye chumba cha mtihani
Pambaneni na maisha yenu