Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Hata nyie hamkujua hizo hisabati. Form 6 wote walifeli mtihani.hamna mbongo yeyote humu anaweza nishinda ile topic ya Sub. & int.Wacha janja ya nyani,ililetwa paper ya pure math form 5,unajua ilichukua 2 holly day mkenya kusolve just one quiz??[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1]
Hata nyie hamkujua hizo hisabati. Form 6 wote walifeli mtihani.hamna mbongo yeyote humu anaweza nishinda ile topic ya Sub. & int.
Tag annael ama mtz yeyote aniletee hisabati za hiyo topic .hata wewe unaweza ziletaSijui ni kwanini hujaitisha mpaka saa hii kule ktk battle ili uone inakuwaje[emoji1]
Jombaa, mwanafunzi wa kidato cha pili Tz akija Kenya huwa anarudishwa hadi darasa la sita, wa kidato cha kwanza, darasa la tano. Wapo wengi mashuleni kule kwetu Kajiado County. Uliza mtz yeyote ambaye amesomea Kenya, shule ya msingi au sekondari, akiwa mkweli atakueleza tu.
Prejudice.nyie akija huku toka Nairobi university anarudishwa gorm five.
Teh teh teh tihiii
nina mifano ya jamaa walio disc wakarudishwa form five.
Tag annael ama mtz yeyote aniletee hisabati za hiyo topic .hata wewe unaweza zileta
Wewe unafikiri waziri wa Bongolala anaweza kuyafanya haya ya Waziri Eugine Wamalwa?????
View attachment 918949
Hata nyie hamkujua hizo hisabati. Form 6 wote walifeli mtihani.hamna mbongo yeyote humu anaweza nishinda ile topic ya Sub. & int.
Huu ni upuuzi. Sisi huu upuhuzi hauna nafasi kwetu.Wewe unafikiri waziri wa Bongolala anaweza kuyafanya haya ya Waziri Eugine Wamalwa?????
View attachment 918949
Sasa mtu akirudishwa form five wakati ametoka form four, hiyo itakuwa ni kundelezwa ama kurudiswa nyuma? Kenya hamna form five na six. Umekurupuka mzee. Hizo ni tofauti za kimfumo tu. Kenya wanamaliza four four wakiwa na miaka 16,17.nyie akija huku toka Nairobi university anarudishwa gorm five.
Teh teh teh tihiii
nina mifano ya jamaa walio disc wakarudishwa form five.
Prejudice.
Sasa mtu akirudishwa form five wakati ametoka form four, hiyo itakuwa ni kundelezwa ama kurudiswa nyuma? Kenya hamna form five na six. Umekurupuka mzee. Hizo ni tofauti tu za kimfumo.
Licha ya kuheshimiwa kwa masomo ya sayansi, hamfahamu maana ya lishe bora.sisi huku f5 wetu wanasomba kitabu cha physics almaarufu kama up (university physics). hata waingereza sisi wanatuheshimu kwa masomo ya science.
Choices have concequences, for both the parent and the child who got pregnant. What you are missing is the great moral lesson for this, Parents should do their parenting properly and moraly not let their kids get pregnant in school..And for kids, well they need to understand very early that choices have consequencies, there are 99% of their fellow students who choze not to engange in adult behaviour when they are still kids. The deviant behaviour should be punished while good behaviour is rewarded with free secondary school. Ofcourse exceptions such as rape are there.Says who? Not in Kenya. Wamefanya mitihani wao na baadaye wataitwa mashuleni. Hivi 'minor', mtoto ambaye hajafikasha miaka kumi na nane ana uwezo wa kufanya maamuzi ya kweli kwamba anataka awe mjamzito? Si ni vijizee kama nyinyi ndio huwa mnawahadaa bila aibu ili mfaidi baada ya kushindwa kuwatongoza maslay queen? <img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji1.png" /> Alafu ukimnyima mama elimu ndio utakuwa umemhukumu mtoto asiye na hatia, maanake bila elimu umasikini huwa unabisha mlangoni.
Huku ni kujiposition tu kwa mzungu. Ukweli hili jambo linawaumiza wakenya wasingependa litokee watoto wadogo kubakwa na kupata watoto wangali shule. Shida je tunatumia mbinu gani kuonyrsha jamii kuwa hiki kitu hakifai?. Our strategy can reduce the pronlem at certsin level. Lakini je miondo mbinu rafiki ipo?. Hostel. Poverty. Etc.Jombaa, wanafatwa hadi huko huko hospitalini.Huyu hapa chini alijifungua kabla ya kufanya mtihani wa hesabu.
Eti nini? Acha kuficha aibu na uongo wa danganya toto. Mtu atoke The University of Nairobi(my alma mater), university top ukanda huu na shahada yake alafu aje Tz kufata nini cha ziada. Hao ni wanafunzi ambao huwa wametoka form four Kenya. Mimi hapa niliyesoma na watz wengi nilifanya mtihani wa darasa la nane na watz ambao walikuwa na umri wa miaka 17, 18 wakati mimi nilikuwa na umri wa miaka kumi na mbili unusu. Kwasababu wao walirudishwa nyuma kutoka kidato cha pili shule ya sekondari Tz hadi darasa la sita shule ya msingi Kenya. Elimu ya Tz ni majanga tupu!kwa hiyo kwa hesabu zako mtu akitoka Nairobi university na KWENDA f5 huku TZ ni kuendelezwa?
Hawafanyi mitihani kwasababu wakenya wameikubali hiyo tabia ya mimba za utotoni. Wanafanya mtihani kwasababu ni unyama wa hali ya juu kuwanyima elimu, jambo ambalo ni haki yao ya kimsingi kisheria chini ya katiba ya Kenya.Huku ni kujiposition tu kwa mzungu. Ukweli hili jambo linawaumiza wakenya wasingependa litokee watoto wadogo kubakwa na kupata watoto wangali shule. Shida je tunatumia mbinu gani kuonyrsha jamii kuwa hiki kitu hakifai?. Our strategy can reduce the pronlem at certsin level. Lakini je miondo mbinu rafiki ipo?. Hostel. Poverty. Etc.