Wanafunzi waliofukuzwa Shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA warejeshwa shuleni

Umeshaambiwa utaratibu umekiukwa yani wamevunja sheria ni wahalifu tu ila wewe unazidi kuwatetea , ndio maana nikasema uchawa ni kitu kibaya sana kwenye taifa.
Kwani mimi nimesema wamefanya vizuri? Narudia tena hao wazazi walitakiwa kutumia busara siyo walivyofanya wakiendelea hivyo itawa cost sana katika maisha yao. Hata wakija kwenye biashara yqngu wakaleta ujinga kama huo siwezi kuwahudumia for sure.
 
Mpumbavu ni mzazi wako waliyekuzaa.
Una uhakika hao wazazi walimtukana Mwalimu ? Sasa kama walimtukana Mwalimu kwanini wanafunzi wafukuzwe shuleni? Hebu kuwa na akili timamu basi
 
Hapo ni nani hana busara kati ya hao walimu na wazazi?.Makosa ya wazazi tangu lini yakatakiwa kuathiri masomo ya watoto wadogo kama hao.Au wewe akili zako zimeshikiliwa mahali ndo maana unawaza kijinga hivyo.

Tulia usome vizuri comment yangu. Nimezungumzia busara. Wewe mwalimu anafundisha mtoto wako unaenda kumwambia hawezi kumfundisha mtoto wako then akikwambia utafute shule nyingine umpeleke mtoto wako unakasirika kweli!!? Hao wazazi kama yaliyoandikwa ni ya kweli then hawana busara hata chembe. Waende wakawaambie hivyo Madaktari waone kitakachowakuta.
 
Una uhakika hao wazazi walimtukana Mwalimu ? Sasa kama walimtukana Mwalimu kwanini wanafunzi wafukuzwe shuleni? Hebu kuwa na akili timamu basi
Wewe ni bwege tunajadiri yaliyoandikwa kwenye taarifa ya Mkurugenzi sasa wewe una uhakika gani wazazi hawakuwatukana wazazi wakati barua ya mkurugenzi inasema hivyo na ndio maana kuna Tume inachunguza.
 
Kama kweli wazazi hao waliwatukana walimu hivyo nawashauri waendelee kutafuta shule nyingine hapo watoto wao hawatapata elimu ya uhakika. Hayo ndio matatizo ya wanachadema mara nyingi hawana busara kwenye maamuzi yao. Ni sawa uende hospitali umwambie Dr. kuwa hana uwezo wa kumtibu mtoto wako then unategemea nini?
Na vipi mwalimu mkuu uamuzi wake ulikuwa wa busara? Shule ya umma, mnagombana na mzazi huko kwa sababu za kisiasa unataka kumkomoa kwa kuwafukuza watoto ambao hata hawajui kipi kinaendelea.
Siasa ni kuvumiliana, haya mambo siyo ya kushabikia.
Nakumbuka enzi za jakaya, watu wanabishana wee, uchaguzi ukipita story kama vile sio wao waliokuwa wanabishana na maisha yanaendelea.
 
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari wamewarudisha.

Taarifa hiyo ya Mkurugenzi imetolewa leo Alhamisi Desemba 5, 2024, imesema wamebaini mwalimu mkuu aliwasimamisha shule wanafunzi hao na kuwataka wazazi watafute shule nyingine na siyo kufukuzwa shule kama ilivyoripotiwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

“Uamuzi wa kuwasimamisha wanafunzi hao haukufuata utaratibu wa miongozo ya wizara. Aidha wanafunzi waliosimamishwa shule hawakuwa na kosa lolote la kinidhamu,” amesema.

Akitaja hatua walizochukua Hassan amesema: “Wanafunzi wote tisa (9) waliosimamishwa shule wamerejeshwa shuleni bila masharti yoyote. Hatua za kiutawala na uongozi dhidi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo zitachukuliwa pindi uchunguzi unaoendelea utapokamilika.”

Mapema leo asubuhi, Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda aliagiza timu ya wataalamu udhibiti ubora kwenda kuchunguza taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo Nkasi Kusini kufukuzwa shule kwa madai ya wazazi wao kuiunga mkono Chadema kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
Huyo mkuu wa shuke ni 💩 kama💩 mengne🚮....!!
Eeeh Mwenyeenzi Mungu wa Mbinguni iponye nchi

HeadTicha🚮....!! Kati ya watu weng mazuzu ni walimu...!!
 
Na vipi mwalimu mkuu uamuzi wake ulikuwa wa busara? Shule ya umma, mnagombana na mzazi huko kwa sababu za kisiasa unataka kumkomoa kwa kuwafukuza watoto ambao hata hawajui kipi kinaendelea.
Siasa ni kuvumiliana, haya mambo siyo ya kushabikia.
Nakumbuka enzi za jakaya, watu wanabishana wee, uchaguzi ukipita story kama vile sio wao waliokuwa wanabishana na maisha yanaendelea.
Wewe vipi? Mtu kawaambia walimu hawawezi kumfundisha mtoto wake then akikuambia uwapeleke shule nyingine unalalamika tena!! Hivi shuleni mlienda kusomea ujinga au? Ni aawa na kumwambie Dr. hawezi kumtibu mgonjwa wako akuambie tafuta Dr. mwingine au hospitali nyingine umpeleke mgonjwa wako then uanza kulalamika tena! Huo ni ujinga uliopitiliza kiwango.
 
sasa ndio wamerudishwa sasa mkuu, kajitundike... na mkurugenzi kasema kwamba, hakufuata utaratibu na wanafunzi hawakuwa na kosa lolote la kinidhamu, vipi na huyo mkurugenzi kasomea ujinga?
 
Huyo mkuu wa shuke ni 💩 kama💩 mengne🚮....!!
Eeeh Mwenyeenzi Mungu wa Mbinguni iponye nchi

HeadTicha🚮....!! Kati ya watu weng mazuzu ni walimu...!!
Ona sasa kama wewe hapa unawaita mazuzu then kesho upeleke mtoto wako wamfundishe!! Sasa zuzu wa kweli ni nani kati yako na waalimu!!?
 
sasa ndio wamerudishwa sasa mkuu, kajitundike... na mkurugenzi kasema kwamba, hakufuata utaratibu na wanafunzi hawakuwa na kosa lolote la kinidhamu, vipi na huyo mkurugenzi kasomea ujinga?
Nijitundike mimi!!? Mimi niko hapa Target nakula kitimoto na bia karibu mkuu tupate moja baridi.
 
Hizo tumemalizana nazo hapa burget, weekend tukutane rudy's farm. Hivyo ndivyo mambo yanavyopaswa kuwa. Mnabishana mpaka kutaka kupigana kwenye siasa, mkimaliza yameisha hayo mtakutana mle nyama choma na bia.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Watekwe kwa lipi wakati wazazi wenyewe ni wajinga unawezaje kumtukana mwalimu hivyo wakati anakufundishia mtoto wako!!? Busara ni zero!!
Wewe ni zero brain. Watu aina yako ndiyo wanaosababisha chama kionekane kina wajinga wengi.

Hata kama mzazi angetukanwa kiasi gani adhabu haiwezi kuhamishiwa kwa mtoto asiyehusika na ugomvi huo.

Kama alitukanwa si angefungua kesi? Sasa kama mwalimu hajui hata procedure ndogo kama hii anawezaje kufundisha watoto wakaelewa?
 
Tulia usome vizuri comment yangu. Nimezungumzia busara. Wewe mwalimu anafundisha mtoto wako unaenda kumwambia hawezi kumfundisha mtoto wako then akikwambia utafute shule nyingine umpeleke mtoto wako unakasirika kweli!!? Hao wazazi kama yaliyoandikwa ni ya kweli then hawana busara hata chembe. Waende wakawaambie hivyo Madaktari waone kitakachowakuta.
Hakuna daktari kilaz,a kama wewe. Daktari ni mtu aliyefundishwa code of conduct and ethics hata mgonjwa/mtu wa kawaida amtamkie lugha chafu hawezi ku act kama wewe unavyodhani.

Tatizo watu aina yako na baadhi ya walimu wenzako hamkuelewa mlichokuwa mnafundishwa vyuo vya ualimu.

Au vyuo vya ualimu hamfundishwi somo la maadili ya taaluma yenu?
 
Back
Top Bottom