Wanafunzi waliofukuzwa Shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA warejeshwa shuleni

Wewe ni zero brain. Watu aina yako ndiyo wanaosababisha chama kionekane kina wajinga wengi.

Hata kama mzazi angetukanwa kiasi gani adhabu haiwezi kuhamishiwa kwa mtoto asiyehusika na ugomvi huo.

Kama alitukanwa si angefungua kesi? Sasa kama mwalimu hajui hata procedure ndogo kama hii anawezaje kufundisha watoto wakaelewa?
Huna akili timamu. Mwalimu umemwambia hawezi kumfundisha mtoto wako, Mwalimu anakuambia utafute shule nyingine umpeleke mtoto wako bado unalalamika tena. Sawa na kumwambia Dr. hana uwezo wakumtibu mgonjwa wako akuambie tafuta Dr. mwingine au umpeleke hospitali nyingine then uanze kulalamika!!? Hivi shuleni mlinda kusomea ujinga au nini!!??
 
Hakuna daktari kilaz,a kama wewe. Daktari ni mtu aliyefundishwa code of conduct and ethics hata mgonjwa/mtu wa kawaida amtamkie lugha chafu hawezi ku act kama wewe unavyodhani.

Tatizo watu aina yako na baadhi ya walimu wenzako hamkuelewa mlichokuwa mnafundishwa vyuo vya ualimu.

Au vyuo vya ualimu hamfundishwi somo la maadili ya taaluma yenu?
Kumbe nabishana na shithole!!
 
Ndio maana nasema busara ni muhimu sana! Hivi unategemea kama mimi ni Dr. uje unitukane wakati na mtibu mgonjwa wako si nitakuambia umpeleke kwa Dr. mwingine au hospitali nyingine. Umeshasema sina elimu ya kumtibu then unang'ang'ania nimtibu kweli?? Busara ni muhimu tusiwe wanasiasa tu na ndio maana wanasiasa wa vyeo vya juu huwa hawafanyi mambo ya kijinga wakikutana wao kwa wao. Pevukeni kiakili.
Wewe unayejinasibu kuhusu busara, wahanga wa makosa ya wazazi ni watoto ambao hawana kosa lolote. Huyo angepambana na wazazi.
 
Kama kweli wazazi hao waliwatukana walimu hivyo nawashauri waendelee kutafuta shule nyingine hapo watoto wao hawatapata elimu ya uhakika. Hayo ndio matatizo ya wanachadema mara nyingi hawana busara kwenye maamuzi yao. Ni sawa uende hospitali umwambie Dr. kuwa hana uwezo wa kumtibu mtoto wako then unategemea nini?
We jamaa, mimi sina chama, ila huwa siungi mkono upuuzi, ila we mkuu kila ujinga huwa unaunga mkono hata mahuaji, hao watoto kosa lao lipo wapi,tusiwahukumu watoto kwa ujinga wa wazazi wao, hao ni viongozi wa baadae
 
Kwani mimi nimesema wamefanya vizuri? Narudia tena hao wazazi walitakiwa kutumia busara siyo walivyofanya wakiendelea hivyo itawa cost sana katika maisha yao. Hata wakija kwenye biashara yqngu wakaleta ujinga kama huo siwezi kuwahudumia for sure.
Pole sana, ujielewi mkuu
 
Tatizo ni hao wazazi wanaotukana waalimu.
Sasa wanafunzi wanakosa gani. Wewe ni zero brain Kabisa. Wenye makosa ni wazazi kama wamemtukana mwalimu achukue hatua za kisheria dhidi ya wazazis siyo wanafunzi
 
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari wamewarudisha.

Taarifa hiyo ya Mkurugenzi imetolewa leo Alhamisi Desemba 5, 2024, imesema wamebaini mwalimu mkuu aliwasimamisha shule wanafunzi hao na kuwataka wazazi watafute shule nyingine na siyo kufukuzwa shule kama ilivyoripotiwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

“Uamuzi wa kuwasimamisha wanafunzi hao haukufuata utaratibu wa miongozo ya wizara. Aidha wanafunzi waliosimamishwa shule hawakuwa na kosa lolote la kinidhamu,” amesema.

Akitaja hatua walizochukua Hassan amesema: “Wanafunzi wote tisa (9) waliosimamishwa shule wamerejeshwa shuleni bila masharti yoyote. Hatua za kiutawala na uongozi dhidi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo zitachukuliwa pindi uchunguzi unaoendelea utapokamilika.”

Mapema leo asubuhi, Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda aliagiza timu ya wataalamu udhibiti ubora kwenda kuchunguza taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo Nkasi Kusini kufukuzwa shule kwa madai ya wazazi wao kuiunga mkono Chadema kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
Nitashangaa sana kama raisi ataliacha hivi hivi hili jambo! Kumbe yawezekana kuna wengine wanafeli hata mitihani tu kwa sababu za kisiasa?
Nchi hii pumbavu sana na ccm ni laana
 
Sasa wanafunzi wanakosa gani. Wewe ni zero brain Kabisa. Wenye makosa ni wazazi kama wamemtukana mwalimu achukue hatua za kisheria dhidi ya wazazis siyo wanafunzi
Ivi mzazi wa kijijini anaweza mtukana mwalimu, Nesi au bwana shamba??
 
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari wamewarudisha.

Taarifa hiyo ya Mkurugenzi imetolewa leo Alhamisi Desemba 5, 2024, imesema wamebaini mwalimu mkuu aliwasimamisha shule wanafunzi hao na kuwataka wazazi watafute shule nyingine na siyo kufukuzwa shule kama ilivyoripotiwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

“Uamuzi wa kuwasimamisha wanafunzi hao haukufuata utaratibu wa miongozo ya wizara. Aidha wanafunzi waliosimamishwa shule hawakuwa na kosa lolote la kinidhamu,” amesema.

Akitaja hatua walizochukua Hassan amesema: “Wanafunzi wote tisa (9) waliosimamishwa shule wamerejeshwa shuleni bila masharti yoyote. Hatua za kiutawala na uongozi dhidi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo zitachukuliwa pindi uchunguzi unaoendelea utapokamilika.”

Mapema leo asubuhi, Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda aliagiza timu ya wataalamu udhibiti ubora kwenda kuchunguza taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo Nkasi Kusini kufukuzwa shule kwa madai ya wazazi wao kuiunga mkono Chadema kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.

Hatua gani zinachukuliwa kwa waliofanya huo unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za msingi za watoto .

Tunamfumbiaje macho mtu kama huyo anayenyanyasa watoto . Alifanya hivyo kwa faida ya nani na alitegemea kumfurahisha na kumnufaisha nani!!

Wakifanya huo upumbavu wakuu washule wate nchini itakuaje kwa Taifa hili.?

Mkuu wa shule awajibishwe haraka sana. Vinginevyo nguvu ya umma ndio mahali pake . Tukiacha watoto nao waonewe tutahenga taifa la ajabu sana .
 
Mwl Mkuu alidhani hilo litamfurahisha Mkuu wake na kumpa nafasi ya kuwa afisa elimu au Mkuu wa wilaya flan
Hilo bado linawezekana Mkuu, usishangae maagizo “kutoka juu” yakaelekeza hivyo, juu hakuna akili
 
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari wamewarudisha.

Taarifa hiyo ya Mkurugenzi imetolewa leo Alhamisi Desemba 5, 2024, imesema wamebaini mwalimu mkuu aliwasimamisha shule wanafunzi hao na kuwataka wazazi watafute shule nyingine na siyo kufukuzwa shule kama ilivyoripotiwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

“Uamuzi wa kuwasimamisha wanafunzi hao haukufuata utaratibu wa miongozo ya wizara. Aidha wanafunzi waliosimamishwa shule hawakuwa na kosa lolote la kinidhamu,” amesema.

Akitaja hatua walizochukua Hassan amesema: “Wanafunzi wote tisa (9) waliosimamishwa shule wamerejeshwa shuleni bila masharti yoyote. Hatua za kiutawala na uongozi dhidi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo zitachukuliwa pindi uchunguzi unaoendelea utapokamilika.”

Mapema leo asubuhi, Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda aliagiza timu ya wataalamu udhibiti ubora kwenda kuchunguza taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo Nkasi Kusini kufukuzwa shule kwa madai ya wazazi wao kuiunga mkono Chadema kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
Waalimu na Polisi ni zao la Vilaza. Unategemea nini ?
 
Kama kweli wazazi hao waliwatukana walimu hivyo nawashauri waendelee kutafuta shule nyingine hapo watoto wao hawatapata elimu ya uhakika. Hayo ndio matatizo ya wanachadema mara nyingi hawana busara kwenye maamuzi yao. Ni sawa uende hospitali umwambie Dr. kuwa hana uwezo wa kumtibu mtoto wako then unategemea nini?
Nyanebhee
 
Tatizo ni hao wazazi wanaotukana waalimu.
Ona shudu jingine hili. Yaani mzazi amtukane mwalimu, halafu mwalimu badala ya kufungua kesi ya defamation, yeye anaenda kumfukuza shuleni mtoto. Hiyo ni akili au matope? Anafaa kuitwa mwalimu kweli?!!, amesoma na kuelimika kweli!???. Mijitu mwingine inatia aibu kada ya ualimu, ptuuh!!
 
Back
Top Bottom