Wanafunzi waliofukuzwa Shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA warejeshwa shuleni

Huna akili timamu. Mwalimu umemwambia hawezi kumfundisha mtoto wako, Mwalimu anakuambia utafute shule nyingine umpeleke mtoto wako bado unalalamika tena. Sawa na kumwambia Dr. hana uwezo wakumtibu mgonjwa wako akuambie tafuta Dr. mwingine au umpeleke hospitali nyingine then uanze kulalamika!!? Hivi shuleni mlinda kusomea ujinga au nini!!??
 
Kumbe nabishana na shithole!!
 
Wewe unayejinasibu kuhusu busara, wahanga wa makosa ya wazazi ni watoto ambao hawana kosa lolote. Huyo angepambana na wazazi.
 
We jamaa, mimi sina chama, ila huwa siungi mkono upuuzi, ila we mkuu kila ujinga huwa unaunga mkono hata mahuaji, hao watoto kosa lao lipo wapi,tusiwahukumu watoto kwa ujinga wa wazazi wao, hao ni viongozi wa baadae
 
Kwani mimi nimesema wamefanya vizuri? Narudia tena hao wazazi walitakiwa kutumia busara siyo walivyofanya wakiendelea hivyo itawa cost sana katika maisha yao. Hata wakija kwenye biashara yqngu wakaleta ujinga kama huo siwezi kuwahudumia for sure.
Pole sana, ujielewi mkuu
 
Tatizo ni hao wazazi wanaotukana waalimu.
Sasa wanafunzi wanakosa gani. Wewe ni zero brain Kabisa. Wenye makosa ni wazazi kama wamemtukana mwalimu achukue hatua za kisheria dhidi ya wazazis siyo wanafunzi
 
Nitashangaa sana kama raisi ataliacha hivi hivi hili jambo! Kumbe yawezekana kuna wengine wanafeli hata mitihani tu kwa sababu za kisiasa?
Nchi hii pumbavu sana na ccm ni laana
 
Sasa wanafunzi wanakosa gani. Wewe ni zero brain Kabisa. Wenye makosa ni wazazi kama wamemtukana mwalimu achukue hatua za kisheria dhidi ya wazazis siyo wanafunzi
Ivi mzazi wa kijijini anaweza mtukana mwalimu, Nesi au bwana shamba??
 


Hatua gani zinachukuliwa kwa waliofanya huo unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za msingi za watoto .

Tunamfumbiaje macho mtu kama huyo anayenyanyasa watoto . Alifanya hivyo kwa faida ya nani na alitegemea kumfurahisha na kumnufaisha nani!!

Wakifanya huo upumbavu wakuu washule wate nchini itakuaje kwa Taifa hili.?

Mkuu wa shule awajibishwe haraka sana. Vinginevyo nguvu ya umma ndio mahali pake . Tukiacha watoto nao waonewe tutahenga taifa la ajabu sana .
 
Mwl Mkuu alidhani hilo litamfurahisha Mkuu wake na kumpa nafasi ya kuwa afisa elimu au Mkuu wa wilaya flan
Hilo bado linawezekana Mkuu, usishangae maagizo “kutoka juu” yakaelekeza hivyo, juu hakuna akili
 
Waalimu na Polisi ni zao la Vilaza. Unategemea nini ?
 
Nyanebhee
 
Tatizo ni hao wazazi wanaotukana waalimu.
Ona shudu jingine hili. Yaani mzazi amtukane mwalimu, halafu mwalimu badala ya kufungua kesi ya defamation, yeye anaenda kumfukuza shuleni mtoto. Hiyo ni akili au matope? Anafaa kuitwa mwalimu kweli?!!, amesoma na kuelimika kweli!???. Mijitu mwingine inatia aibu kada ya ualimu, ptuuh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…