bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Wajaruo,sasa sijui ni wajaruo wa kenya au TanzaniaHii lugha ni ya wapi hapa Tanzania anyway ni mbaya sana
Ni kama kijaruo,ila sasa sijui ni kenya au.tzWanaongea lugha gani hapo? Ni kama vile sio Tanzania, unamsumbua bure Dkt. Gwajima D
Serikali haishughuliki na adhabu za kimila.Sikuwepo eneo la tukio mkuu. Nisingekubali binti aadhibibiwe kinyama hivi mbele yangu. Nimeipata mtandaoni nikaona niitume humu ili tusaidiane kuwaska hawa wahalifu.
Tukijua lugha hii ni ya wenyeji wa mkoa gani itakuwa rahisi polisi kufanya upelelezi na kuwakamata wahalifu.
Sio wajaluo haoWajaruo,sasa sijui ni wajaruo wa kenya au Tanzania
Lakini maandiko hayamaanishi fimbo kama mti bali fimbo ni maonyo na sio fimbo mti hii viboko umuandaa mtu kuwa muoga au dikteta akiwa mkubwa.Fimbo ilipoharamishwa kwa mtoto na maadili yakaporomoka.
Moja ya maktaba nzuri kabisa na kuaminika inasema " USIMNYIME MTOTO MAPIGO".
Hio ni mahakama ya kimila we huoni viti hapo,wazee wamekaa wametoa hukumu,chini ya miaka ya 2000 vijijini adhabu hizi zilisaidia kuishape jamiiHapana; hiyo lugha sio kijaluo mkuu. Tunaomba tusaidiane kusambaza tujue ni lugha ya mkoa gani tuwasidie polisi kuwadika wahalifu
Nyie dotcom mnajua nini,tembea vijijini uoneSasa ndio mtu achapwe kikatili hivyo mkuu? Nina wasiwasi wewe unaweza kuwa mhalifu pia.
Mkuu sasa hiyo ni adhabu au kutweza? Usitetee wahalifu mkuu.Hakuna mtu anaeadhibiwa bila kosa hizo ni adhabu za kimilia huyo binti itakuwa alikaidi mambo ya kijamii mfano kutoshiriki misiba,au alikosa heshima kwa wakubwa au umalaya nk.
Serikali haingilii adhabu za kimila
WAKURYA 😂Usipowataja wakuria unaumwa?
Watoto wa juzi mnaona uko ni kutwezwa.Sasa ndiyo mtu atwezwe kiasi hiki mkuu? Tafakari kauli yako kwanza