Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Unasiki thati for thati faive...foti for foti faiv. WASUNGU hawa.Hii lugha ni ya wapi hapa Tanzania anyway ni mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasiki thati for thati faive...foti for foti faiv. WASUNGU hawa.Hii lugha ni ya wapi hapa Tanzania anyway ni mbaya sana
Watu wa migombani wote roho mbaya hata Nigeria ,congo wanaoishi sehemu zeny migomba ogopa sanaHawo sio wa migombano; hiyo sio lugha yao mkuu
Hapana ileMkuu tazama vizuri huyo baladhuli amevaa jezi ya Yanga. Mishabiki ya Yanga ina roho mbaya sana
Mleta mada ni mpumbavu.Mambo ya Yanga yameingiaje kwenye hoja yako?
Tuanze na wewe, umeoata wapo video, tuanze kutrsce hadi tujue aliyerekodi ni nani na ilikuwa wapiInasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.
Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?
View attachment 2938392
Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.
Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?
Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
Huyu mtoto ni shabiki lilia wa Azam Fc. Sasa shida ilianza juzi baada ya mechi ya Azam vs Yanga. Matokeo nadhani mnayajua na ndio binti akawa anashangilia sana usiku. Kwa hiyo kesho yake asubuhi ndio mashabiki waliofungwa wakamkamata na kumchapa wakiongozwa na huyo aliyevaa jezi.Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.
Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?
View attachment 2938392
Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.
Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?
Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
Sasa ndio mtu atwezwe kiasi hiki utadhani yupo Jehanamu?Analyzing yangu picture inasema kila kitu, 1. hapo sio bongo na 2. hiyo ni rangi ya nguo ya kijani na njano sio Yanga 3.Adhabu ya kimila, na 4. itakua ina husiana na ngono kwa hilo waafrika tupo serious sana.
Hata kama angekuwa amekosa kiasi gani sio kumuadhibu kibabe hivyo mkuu. Kuwa na utu na huruma kwa binadamu wenzako.Huyo ananyooshwa wala hauwawi, aache umalaya, kibri na dharau kwa wakubwa zake na aconcentate na masomo. Ndio nilivosikia lakini
Niwaulize sasa kipi bora aachwe ashindikane, awe danga na awaumbue(awaharibu) na wadogo zake au anyooshwe ile ile ili baadae aje awe kioo bora cha jamii?
Nimeipata mtandaoni mkuu. Lakini nimejaribu kuwashirikisha wajaluo wamesema hiyo lugha sio kijaluo. Pia nimewashirikisha watu wa Kanda ya Ziwa wameshindwa kutambua hiyo lugha.Tuanze na wewe, umeoata wapo video, tuanze kutrsce hadi tujue aliyerekodi ni nani na ilikuwa wapi
Hii bila shaka siyo Tanzania. Ni West AfricaNadhani inaweza kuwa lugha ya watu wa Mbeya. Anyway, tuwasubiri wenye lugha yao waje watusaidie na watutafsrie tujue huyu binti alikuwa amekosa nini hadi aadhibiwe kinyama kiasi hiki
Sio kanda ya Ziwa mkuu. Nimewshirikisha wamekataa. Halafu hii sio ile ya mwaka jana. Hii ni nyingine. Ile ya mwaka jana ilikuwa ya kanda ya Ziwa na wahusika walikamatwa na kuadhibiwa.Bila shaka ni Kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa kuna ushenzi sana.
Hii video ya muda kidogo ni zaidi ya mwaka sasa