bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Haikubaliki ni ukatiliMkuu sasa hiyo ni adhabu au kutweza? Usitetee wahalifu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikubaliki ni ukatiliMkuu sasa hiyo ni adhabu au kutweza? Usitetee wahalifu mkuu.
Tukisema kila kitu tupeleke kwenye sheria basi kazi itakuwa ni kuhudhuria mahakamani, kwenye madawat na police, mambo mengine acha yaishe hvo tuInasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.
Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?
View attachment 2938392
Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.
Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?
Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
Ukatili haukubaliki ktk nchi hii mkuuWatoto wa juzi mnaona uko ni kutwezwa.
Wakati wetu tunakua tulikuwa tunagongeshwa Mtaan na ukifika homu husemi, ukisema the same thing may befall to you.
Niliwai pokea kichapo heavy toka kwa Bi Mkubwa baada ya kwenda na Njumu mpya home.
Swali lilikuwa "umevitoa wapi?".
Sijasema umesema wewe we ni mtu Ulaya, nimeuliza ikiwa we ni mtu Ulaya hata unitukanie uafrika wangu.Wapi nimesema mimi mtu wa Ulaya?
Mimi sina unafiki kuficha udhaifu wa watu weusi wajingawajinga wavivu, walalamishi, irresponsible na wanaolazimisha upendo kutoka kwa races zingine. Nenda kaongee hiyo kauli yako ya awali ya kipumbavu kama hujaonekana ni takataka useless eater jitu la medieval era
Kwan ni uongo Kuhusu Mila ya kuchapa?Usipowataja wakuria unaumwa?
huwa nashindwa kuelewa mbona watoto wa kizungu hawatandikwi bakora na wanafanya vizuri shule kuliko watoto wa kiafrika. ina maana watoto wa kiafrika wana akili nzito kiasi lazima zishtuliwe na bakora?Walimu wa mount Kibo primary school iliyopo mbezi juu barabara ya Goba wanapiga Sana watoto.Nakuomba afisa elimu wilaya ya kinondoni na mkuu wa upelelezi kinondoni afutilie kwa karibu wataua watoto shule ya Goba.
Pima athal, uitwe katili kwa kumtia mtoto nidhamu ama ama umwache aje awe something else.Ukatili haukubaliki ktk nchi hii mkuu
Ondoa mwanao hapo haraka acha kulia lia, viboko vya hovyo hovyo kwa watoto ni ushenzi usiokubalika hata kidogo.Walimu wa mount Kibo primary school iliyopo mbezi juu barabara ya Goba wanapiga Sana watoto.Nakuomba afisa elimu wilaya ya kinondoni na mkuu wa upelelezi kinondoni afutilie kwa karibu wataua watoto shule ya Goba.
Miafrika ni mijitu ya hovyo sana, mataifa yalioendelea yameharamisha viboko na hao hao wanailetea hii michapaji misaada ya nafaka zenye virutubisho!Wapi nimesema mimi mtu wa Ulaya?
Mimi sina unafiki kuficha udhaifu wa watu weusi wajingawajinga wavivu, walalamishi, irresponsible na wanaolazimisha upendo kutoka kwa races zingine. Nenda kaongee hiyo kauli yako ya awali ya kipumbavu kama hujaonekana ni takataka useless eater jitu la medieval era
Duh!Huyo mama yk mdogo ukimkuta sehemu mbake. Kisasi ni haki.
Mkuu inaonekana una roho mbaya na ni katili sanaPima athal, uitwe katili kwa kumtia mtoto nidhamu ama ama umwache aje awe something else.
mtoto apigwe, ukimvunja mguu wakati wa adhabu hiyo ni collateral damage. you can see how this Generation has turned to. It’s strange If you give it an inch of freedom, they’d take a mile.
Miafrika ndivyo ilivyoMiafrika ni mijitu ya hovyo sana, mataifa yalioendelea yameharamisha viboko na hao hao wanailetea hii michapaji misaada ya nafaka zenye virutubisho!
Dr mwenyewe anapiga teke kesi siku hiziWanaongea lugha gani hapo? Ni kama vile sio Tanzania, unamsumbua bure Dkt. Gwajima D
Mkuu tazama vizuri huyo baladhuli amevaa jezi ya Yanga. Mishabiki ya Yanga ina roho mbaya sanaSiyo bongo hapo
Siyo jezi ya yanga
Case closed
Huyo jamaa mwenye jezi ya kijani ndo watu ambao wangekua wabaya sana endapo nchi ingekua haina sheria