Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

Hii lugha nimeifuatilia kwa ukaribu itakuwa lugha ya Kenya huko kwa sababu wanachanganya na lugha ya kiingereza
 
Tukisema kila kitu tupeleke kwenye sheria basi kazi itakuwa ni kuhudhuria mahakamani, kwenye madawat na police, mambo mengine acha yaishe hvo tu
 
Ukatili haukubaliki ktk nchi hii mkuu
 
Sijasema umesema wewe we ni mtu Ulaya, nimeuliza ikiwa we ni mtu Ulaya hata unitukanie uafrika wangu.

Whatsoever, itoshe kusema hunielewi na sidhani kama utanielewa.
 
Walimu wa mount Kibo primary school iliyopo mbezi juu barabara ya Goba wanapiga Sana watoto.Nakuomba afisa elimu wilaya ya kinondoni na mkuu wa upelelezi kinondoni afutilie kwa karibu wataua watoto shule ya Goba.
 
huwa nashindwa kuelewa mbona watoto wa kizungu hawatandikwi bakora na wanafanya vizuri shule kuliko watoto wa kiafrika. ina maana watoto wa kiafrika wana akili nzito kiasi lazima zishtuliwe na bakora?
 
Ukatili haukubaliki ktk nchi hii mkuu
Pima athal, uitwe katili kwa kumtia mtoto nidhamu ama ama umwache aje awe something else.
mtoto apigwe, ukimvunja mguu wakati wa adhabu hiyo ni collateral damage. you can see how this Generation has turned to. It’s strange If you give it an inch of freedom, they’d take a mile.
 
Angekua binti yangu,
huyo mwanahizaya walai ningemtandika nayeye hivyo mara 2 yake.
Angetamani kuhama dunia.
 
Walimu wa mount Kibo primary school iliyopo mbezi juu barabara ya Goba wanapiga Sana watoto.Nakuomba afisa elimu wilaya ya kinondoni na mkuu wa upelelezi kinondoni afutilie kwa karibu wataua watoto shule ya Goba.
Ondoa mwanao hapo haraka acha kulia lia, viboko vya hovyo hovyo kwa watoto ni ushenzi usiokubalika hata kidogo.
 
Miafrika ni mijitu ya hovyo sana, mataifa yalioendelea yameharamisha viboko na hao hao wanailetea hii michapaji misaada ya nafaka zenye virutubisho!
 
Mkuu inaonekana una roho mbaya na ni katili sana
 
Wanaongea lugha gani hapo? Ni kama vile sio Tanzania, unamsumbua bure Dkt. Gwajima D
Dr mwenyewe anapiga teke kesi siku hizi
Yule mama alimpigia baada ya mtoto wake kupigwa kipigo na mwalimu mpaka akaja kufa ila aliisukuma kwa mwingine
Hii tabia ya kupiga ingepigwa marufuku kabisa
Mbona watoto wamaelewa kwa kuambiwa tu
Haya wakolani wameacha kupiga kwao
Sisi binadamu piga, mnyama piga mpaka miti kata tu, hakuna kitu kinapata amani kwetu
 
Siyo bongo hapo

Siyo jezi ya yanga

Case closed

Huyo jamaa mwenye jezi ya kijani ndo watu ambao wangekua wabaya sana endapo nchi ingekua haina sheria
 
Siyo bongo hapo

Siyo jezi ya yanga

Case closed

Huyo jamaa mwenye jezi ya kijani ndo watu ambao wangekua wabaya sana endapo nchi ingekua haina sheria
Mkuu tazama vizuri huyo baladhuli amevaa jezi ya Yanga. Mishabiki ya Yanga ina roho mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…