Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

Analyzing yangu picture inasema kila kitu, 1. hapo sio bongo na 2. hiyo ni rangi ya nguo ya kijani na njano sio Yanga 3.Adhabu ya kimila, na 4. itakua ina husiana na ngono kwa hilo waafrika tupo serious sana.
 
Mkuu tazama vizuri huyo baladhuli amevaa jezi ya Yanga. Mishabiki ya Yanga ina roho mbaya sana
Hapana ile
Ni jezi flani hivi generic za kichina
Nyingine inakuaga nyekundu na nyeupe
Zambarau na nyeupe
Zipo mtaania sana zinauzwa bei chee

Yanga wamedhaminiwa na Adidas lini
Maana kuna 3 stripes kwenye mabega ya hiyo jezi
 
Huyo ananyooshwa wala hauwawi, aache umalaya, kibri na dharau kwa wakubwa zake na aconcentate na masomo. Ndio nilivosikia lakini

Niwaulize sasa kipi bora aachwe ashindikane, awe danga na awaumbue(awaharibu) na wadogo zake au anyooshwe ile ile ili baadae aje awe kioo bora cha jamii?
 
Tuanze na wewe, umeoata wapo video, tuanze kutrsce hadi tujue aliyerekodi ni nani na ilikuwa wapi
 
Huyu mtoto ni shabiki lilia wa Azam Fc. Sasa shida ilianza juzi baada ya mechi ya Azam vs Yanga. Matokeo nadhani mnayajua na ndio binti akawa anashangilia sana usiku. Kwa hiyo kesho yake asubuhi ndio mashabiki waliofungwa wakamkamata na kumchapa wakiongozwa na huyo aliyevaa jezi.
 
Analyzing yangu picture inasema kila kitu, 1. hapo sio bongo na 2. hiyo ni rangi ya nguo ya kijani na njano sio Yanga 3.Adhabu ya kimila, na 4. itakua ina husiana na ngono kwa hilo waafrika tupo serious sana.
Sasa ndio mtu atwezwe kiasi hiki utadhani yupo Jehanamu?
 
Hata kama angekuwa amekosa kiasi gani sio kumuadhibu kibabe hivyo mkuu. Kuwa na utu na huruma kwa binadamu wenzako.
 
Tuanze na wewe, umeoata wapo video, tuanze kutrsce hadi tujue aliyerekodi ni nani na ilikuwa wapi
Nimeipata mtandaoni mkuu. Lakini nimejaribu kuwashirikisha wajaluo wamesema hiyo lugha sio kijaluo. Pia nimewashirikisha watu wa Kanda ya Ziwa wameshindwa kutambua hiyo lugha.
 
Bila shaka ni Kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa kuna ushenzi sana.
Hii video ya muda kidogo ni zaidi ya mwaka sasa
 
Nadhani inaweza kuwa lugha ya watu wa Mbeya. Anyway, tuwasubiri wenye lugha yao waje watusaidie na watutafsrie tujue huyu binti alikuwa amekosa nini hadi aadhibiwe kinyama kiasi hiki
Hii bila shaka siyo Tanzania. Ni West Africa
 
Bila shaka ni Kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa kuna ushenzi sana.
Hii video ya muda kidogo ni zaidi ya mwaka sasa
Sio kanda ya Ziwa mkuu. Nimewshirikisha wamekataa. Halafu hii sio ile ya mwaka jana. Hii ni nyingine. Ile ya mwaka jana ilikuwa ya kanda ya Ziwa na wahusika walikamatwa na kuadhibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…