Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

Ndo maana Lilith alimkacha Adamu. Kumbe tunawalaumu Taliban kumbe si wao pekee yao.
 
Nimesikia lugha mkuu. Ni kama wanaongea na kuchanganya ''pigeon english'' ya West Africa. Nisikiliza kwa haraka haraka hivyo naweza nisiwe correct. Nikipata muda nitarudia kwa utulivu.
Ukipata nafasi sikiliza kwa makini uje na majibu mujarabu mkuu
 
Hapa nimevaa jezi ya Manchester city..ukute nipo Uk sijijui.
Mkuu usifananishe timu ya mpira (Manchester) na takataka (Yanga). Kwanza ushabiki wa Machester ni global wakati ushabiki wa Yanga unaishia pale Jangwani.
 
Fimbo ilipoharamishwa kwa mtoto na maadili yakaporomoka.
Moja ya maktaba nzuri kabisa na kuaminika inasema " USIMNYIME MTOTO MAPIGO".
Maadili gani yameporomoka mkuu? Tangu fimbo iwepo tumeshawahi kujitegemea na kuvumbua chochote?

Je maadili ya kazi, utumishi na uzalendo? Wizi, ufisadi na uhalifu umezidi.

Tunaishi katika jamii ya kinafiki hatupendani hata wenyewe kwa wenyewe kam taifa.
 
Hata kama siyo Tanzania kumfunga kamba binti mdogo na kumpiga kwa kumchangia ni ukatili.

Ulivyo pumbavu unasema eti waafrika tupo serious kuthibiti ngono?

Wewe utakuwa na utapiamlo akili yako haifanyi kazi sawa sawa.

Shenzi kabisa
Huyo anahitaji kula mchele wa Bashe apate virutubisho.
 
Una uhakika mkuu. Basi hiyo mijamaa ina roho mbaya zzaidi ya shetani
hamna cha roho mbaya hapo na wana mpenda kuliko hata wewe unayebweka humu jf imagen mtoto unawaauliza mbona mnatoroka shule uambiwe wewe ku*m la mama yako sisi ni watoto wako na matusi mengine akipigwa ngumi ya jino likatoka utaenda kushitaki mwanangu kaonewa?

binafisi namuongezea kipigo kingine mtoto wa sampuli hii na hawa ndo ma barmed wetu
 
Haya matoto ya sikuhizi nidhamu zero kabisa , kwanza hata kupigwa wanapigwa basi ,au kuguswa tu ?
Watu hawajui maudhi ya hiki kizazi cha 2000 na kuendelea ,unaweza ua kabisa

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Kuna mabumunda humu yatakukujazia mapovu utafua nguo za mtaa mzima. Hayo hayo ndo utakuta yanatumikisha mahausi gero kama punda. Sasa yanajinadi kuzijua haki za binadamu bila kujua nini kinaendelea kwenye hizo haki
 
AKIPIGWA DEREVA DALADALA MNASEMA NI HAKI YAO , WATZ IFIKE MUDA MUACHE KUWA MANDUMILAKUWILI
 
Mkuu,

Baada ya wewe kupost ama kabla ya kupost humu, ulichukua hatua gani kumsaidia huyo mhanga wa huo ukatili?
Wacha kumtisha ametoa taarifa ifuatiliwe unajuwaje kama ni yeye au kuna mwanafunzi mwenzao ndio alipiga hiyo picha..mbona fikira mgando hivi???
 
Mkuu nimesoma koment toka mwanzo na nilichogundua ni kuwa hatuna kizazi chenye maadili tena. Asilimia tisini ya wachangiaji ni wale wa haki za binadam bila kujli mtoto anabehave vp kwao haki za binaadam kwanza
 
Nipe vifaa vya kiintelejensia vya polisi, nipe usafiri, nipe cheo cha ukachero na nilipe mshahara nifanye hiyo kazi chap
Kwa upumbavu wako ukaona umetumia sana akili kupost kitu ambacho hujui hata kimetokea wapi?
 
Mkuu nimesoma koment toka mwanzo na nilichogundua ni kuwa hatuna kizazi chenye maadili tena. Asilimia tisini ya wachangiaji ni wale wa haki za binadam bila kujli mtoto anabehave vp kwao haki za binaadam kwanza
mkuu mimi siwezi igilia watu wazima kama wale hadi anapewa kipigo cha namna hiyo jua wazi kavuka mipaka. huyu analalama humu wala hajui kosa la mtoto ni lipi hadi kupewa adhabu kali namna hii na hapo waapo hadi wazazi wake kama clip inavyoonekana.

nikiwa na endelea na ujenzi wa nyumba yangu nilikuta watoto kati ya darasa la 3 au 4 wanapigana machine na wote wa kiume mmoja ndo kainama. katika haraki a kwamba nikamate hata mmoja niliambulia bukta ya shule moja na wakakimbia ebu piga picha awe ndo mtoto wako unajua kaenda shule kumbe wamo kwenye majengo ya watuwakifanya hayo maasi naamini usipothibiti hasira unaua. kwa kifupi malezi kwa sasa ni changamoto sana tujiulize kwann walimu zamani walikuwa hawaui wanafunzi kwa kipigo iweje leo?
 
Kwa upumbavu wako ukaona umetumia sana akili kupost kitu ambacho hujui hata kimetokea wapi?
hajielewi huyo hapo hajui hata kosa la huyo binti anahitaji watu wakamatwe ili hali wanaotoa adhabu hiyo ni wazazi wake wapo hapo kati ya huyu jamaa na wazazi wake yupi mwenye huruma ?laiti kama angekuwa anapigwa zigizaga sambamba na ngume na mateke hapo tungeona kweli hatumii busara
 
Walimu wa siku hizi naona wanajihusisha na madawa ya kulevya na bangi na ukevi sana
Mwenye akili timamu hawezi kupiga watoto bali kuwafundisha maadili na hata masomo kwa weledi mkubwa
Hawa wa sasa ni washenzi wasiokuwa na mafunzo
Kampeni ifanyike au wale wanaoandamana nchi nzima waandamane mpaka Ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…