Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.

Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?
View attachment 2938392
Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.

Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?

Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
WAKATI mwingine kusikia kwa kenge mpaka pua itoke damu...

Your too emotional brother angu...
 
Sijaifungua video maana nimedevelop phobia ya kutopenda kuona butality kwenye vids.

Mila za Wamasai, Wakurya, Wameru na baadhi ya mikoa wanakuwa na tabia hiyo ambapo mtu anaweza kushushiwa hata fimbo 200
Adhabu Kama hizi zinasaidia Sanaaa
Ku mshepu mtu na kuleta discipline..

"""NIDHAMU HAIJI BILA WOGA"""

MAANA Kuna mzee mmoja wa kikurya aliwai nambia MASIKIO YA MWANAMKE YAPO UKENI..
 
huwa nashindwa kuelewa mbona watoto wa kizungu hawatandikwi bakora na wanafanya vizuri shule kuliko watoto wa kiafrika. ina maana watoto wa kiafrika wana akili nzito kiasi lazima zishtuliwe na bakora?
Watoto wa kizungu hawaathiriwi na mazingira Kama wa kwetu, mtoto anakulia ndani , akitoka shule anaingia ndani. Hivyo Kwa kiasi kikubwa mtoto anajifunza vile ambavyo mzazi anataka. Huku kwetu watoto wanacheza mtaa mzima hivyo wanakutana na watoto wa Kila aina na kukucopy tabia. Katika mazingira Kama hayo lazma kuongea na mtoto na ikibidi kumtembezea kipigo anaporudia makosa. Kwa bahati mbaya wengi wetu tupo busy na maisha na tunahisi tunawajua watoto wetu. Ndio Maana hatutaki watoto wachapwe, wakisema wanaonewa tunakubali ni Kweli wameonewa, hatujipi muda wa kufatilia jambo.

Kumuonesha mtoto upendo sio kumlea kimayaimayai, atakupenda wakati huo ila atakapokua mkubwa atakulaumu Kwa kutotimiza majukumu Yako. Ratiba ikikubana sana mpeleke mtoto shule ya jeshi atakuja amenyooka ila Mimi binafsi naamini ktk kukaa Karibu na mtoto na kumfatilia
 
Dr mwenyewe anapiga teke kesi siku hizi
Yule mama alimpigia baada ya mtoto wake kupigwa kipigo na mwalimu mpaka akaja kufa ila aliisukuma kwa mwingine
Hii tabia ya kupiga ingepigwa marufuku kabisa
Mbona watoto wamaelewa kwa kuambiwa tu
Haya wakolani wameacha kupiga kwao
Sisi binadamu piga, mnyama piga mpaka miti kata tu, hakuna kitu kinapata amani kwetu
Sio Kila mtoto anasikia akiambiwa, kama umesoma lazma ulikutana na Watu hivyo, Kuna watoto ni watundu ni watukutu Hata fimbo zenyewe haziwasaidii. Kuna watoto ni wapole wanaweza kumaliza mwaka hawajapigwa shule, Yan anawahi shule, anafata ratiba, hapigi kelele, Yan mpaka walimu wenyewe wanampenda, ila wapo wengine ni vichomi aisee labda kama we mwenzetu ulisomea ulaya
 
Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.

Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?
View attachment 2938392
Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.

Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?

Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
Hii video ya, zamani Sana,
Kwa anajejua lugha atuqmbie wanasema nini,kwa kumbukumbu zangu, binti alitoroka nyumbani kisa kuogopa kuolewa, alipokamatwa ndio akala stiki zote hizo,
Na hii ni Kenya bila Shaka,
Matukio ya ukatiri yapo Sana kwenye jamii
 
Sio Kila mtoto anasikia akiambiwa, kama umesoma lazma ulikutana na Watu hivyo, Kuna watoto ni watundu ni watukutu Hata fimbo zenyewe haziwasaidii. Kuna watoto ni wapole wanaweza kumaliza mwaka hawajapigwa shule, Yan anawahi shule, anafata ratiba, hapigi kelele, Yan mpaka walimu wenyewe wanampenda, ila wapo wengine ni vichomi aisee labda kama we mwenzetu ulisomea ulaya
Hapana mkuu, watukutu na watundu wapo sana hata kwa wanyama pia na wanafundishwa mpaka wanakaa sawa bila hata kupigwa
Kupigwa sio suluhu, hata Ulaya ni binadamu pia na wana watundu na hata wanyama wao kuna wabaya na wapole pia ila wana watu wa kuwafunza mpaka wanakaa sawa
Kwa sisi unaweza kumuona mtoto anachelewa kufika shule na jambo la kwanza mwalimu anamtandika fimbo za kutosha
Lakini hata siku moja hakai nae na kumuuliza kwanini anachelewa?

Labda nyumbani kuna ugomvi wa wazazi kila siku, labda baba mlevi akija hakuna kulala
Huenda ni yatima au anapigwa kila siku
Ila yote hayo hawajali
Hebu wewe fikikiria mtoto wa hivyo ana kosa gani
Kuhusu utumdu kuna wengi wana autism symptoms ila hamuelewi bali unapiga tu kumbe ni mgonjwa huyo

Umewahi kuwaza hilo mkuu au unaona ni mtukutu basi dawa ni fimbo tu mpaka afe?
Wengi waalimu na wazazi wanahitaji Elimu zaidi kuhusu haya

Kuna kipindi kinaitwa Dog whisperer na mwingine anaitwa Graeme Hull amesomea University of Hall hebu waangalie hao uone wanavyowabadili mbwa tabia zao
Ni mfano tu mkuu siwafananishi na watoto ila similarities zipo sana kwenye behaviors zao

Kuna pia unaweza kusoma kwanini watoto wanakuwa watukutu?
 
Hii video ya, zamani Sana,
Kwa anajejua lugha atuqmbie wanasema nini,kwa kumbukumbu zangu, binti alitoroka nyumbani kisa kuogopa kuolewa, alipokamatwa ndio akala stiki zote hizo,
Na hii ni Kenya bila Shaka,
Matukio ya ukatiri yapo Sana kwenye jamii
Kumbe nawe huna uhakika mkuu? Hivi kuolewa ni lazima na ukikataa kuolewa unaadhibiwa kama mbwa mwizi?
 
Hii adhabu ya Yanga dhidi ya Simba haitasahaulika, mlikataa mabango ona sasa mnaiangalia kwenye video!
Hayo majitu yenye roho mbaya yaliyovaa jezi za Yanga ni mashabiki ya Simba mkuu?
 
Binti amepata mateso makubwa sana mbele ya umati wa watu ambao hauna huruma hata kdg, jamani! Pole yake sana kwa kweli!😭
 
Mkuu kuwa serious na maisha ya watu. Hivi ingekuwa wewe ndiye unaadhibiwa hivyo au angekuwa huyo anayetwezwa hapo ni binti yako wewe ungejisikia raha? Inaonekana una roho mbaya sana mkuu.
Mkuu,
Mimi Ni well civilized Ila sipendagi ujinga ujinga...

Kwa roho YAKO nzuri unadhani from know where mtu anaweza kumfanyia huo ukatili muhusika bila chanzo??

Unadhani wewe pekee hapa ulimwenguni ndio mwenye huruma kuwazidi wengineo woteee..??!

Ukifanya ujinga ujinga lazima ushuhurikiwe hata EX-Prime minister MIZENGO PINDA aliwai kuwaonya watu Wa samuli hizi kua WATAPIGWA TU pia Kuna AFANDE MURILO wamewai kuwaonya watu WANAO jiona imara na dhabiti kua watapigwa kipigo Cha MBWA koko

NB.
Kuna binadamu ili kurekebishika wanstahili hizi punishment (positive or negative punishment)
""NIDHAMU HAIJI BILA WOGA""
 
Back
Top Bottom