Wanafunzi watatu wafariki kwa kukosa hewa wakati wanatoa mahindi kwenye kihenge cha shule, mwalimu aliwaacha na kwenda kunywa chai

Wanafunzi watatu wafariki kwa kukosa hewa wakati wanatoa mahindi kwenye kihenge cha shule, mwalimu aliwaacha na kwenda kunywa chai

Wazazi: Wawe wanaingia walimu wenyewe!

Walimu: 🤔🙄

Shule binafsi zimekuwa na matukio sana siku hizi mara school bus mara vihenge!
 
Poleni kwa wafiwa, najaribu kuwaza juu ya wazazi wao/wafiwa.
 
Mkuu; huo mfumo hauna tatizo . Tatizo lipo kwa WATUMIAJI. Kama mtumiaji anashindwa kufuata maelekezo na Tahadhari zilizotolewa au kuelekezwa namna mfumo huo unavyofanya kazi na ni Tahadhari gani za kuzingatiwa, hiyo inakuwa ni uzembe wa mtumiaji na kwa mantiki hiyo sio sahihi kusema Mfumo huo ukatazwe. Wakatazwe wale wazembe wanaoutumia mfumo huo bila ya kuuelewa vizuri au kuwashirikisha wataalam husika.
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom