Wanafunzi wenye IQ kubwa ni wale waliopata division 1 shule za kata hasa vijijini, wana upeo mkubwa wa kusoma bila walimu, tuition, past papers

very true 100% na ndyo huwa ni future Lecturers, hawa wa St. ni kama mtoto umepeleka day care, hawako innovative.
 
Masikini wanapenda SHIDA na wanaona sifa kupata SHIDA.
Kupata shida kwa maskini huita juhudi utasikia kwa uchapa kazi anayelima kwa jembe la mkono toka asubuhi hadi jioni ni mchapa kazi kuliko anayelima na trekta

Wana vi theory vingi vya ajabu ajabu vya kimaskini ooh mtu anayekula hoteli kubwa ya nyota tano ni sawa tu na anayekula kwa mama nitilie sababu wote mwisho wa siku wataishia tu kunya walichokula

Maskini ni watu wa ajabu sana
 
Mtu aliyesoma kwenye unconducive environment na Bado akawa na mzuri sawa na Hawa waliosoma kwenye mazingira wezeshi na yenye kila nyenzo zinazohitajika kupata elimu Bora, obvious mtu huyo ana uwezo mkubwa sana wa kiakili wa kukabiliana na challenges za kimaisha au kijamii Kwa namna yake ya kipekee na Bado akawin.

Kutokana na mifumo yetu ya ajira kuws mibovu iliyojaa rushwa na nepotism, mara nyingi watu hao waliofaulu vizuri wakikosa connection kwenye soko la ajira (which is so obvious maana wengi wao wanatokea familia za kimaskini) ndio utawakuta wamegeuka kuwa walimu wa Tuition na Tuition Centers zao Huwa zinajaza wanafunzi wengi kweli maana jamaa Huwa wanapiga pindi la maana.... Mfano mzuri ni Engineer Deo ambaye yuko pale Mbugani primary tuition center, mshikaji hanaga hata muda WA kula kipindi shule zikifungwa au kama Sasa hivi madogo wanajiandaa kwenda Form five jamaa anakuwaga na wanafunzi mpaka 600, na kila topic unakuta anafundishia sio chini ya 20,000/=.

Kiufupi jamaa Huwa ni watu wenye akili ya kujiongeza sana, tofauti kabisa na Hawa wenzetu waliosoma spoon-feeding schools mwanzo mwisho, Hawa mara nyingi wakimalizaga vyuo wasiposhikwa mkono na wazazi wao kuwaingiza kwenye system ya ajira, basi utawakuta mtaani wametaabika kama Nini huku wameweka earphones maskioni tu wakiskiliza nyimbo za akina Drake na Card B, kujiongeza wenyewe Huwa hawawezi sababu walishazoea kutafuniwa kila jambo.
 
Shule ya vipaji maalumu? Sijaielewaga kabisa hii mantiki, naonaga kama imekaa kibaguzi na inachochea utabaka tu hamna lolote.

Kwanza unaanzaje kuziita shule za vipaji maalumu na wakati incentives unazowapa ni Bora kuliko zile ambazo sio za vipaji maalumu? Kama kweli ni vipaji maalumu basi waweke kwenye mazingira sawa na Hawa ambao sio WA vipaji maalumu, hili kama ikitokea utofauti wa kiwango Cha ufaulu ndio tutaamini kweli vipaji vyao ndio vimeleta huo utofauti na sio incentivising environment mliowapa.
 
Kutokana na mifumo yetu ya ajira kuws mibovu iliyojaa rushwa na nepotism, mara nyingi watu hao waliofaulu vizuri wakikosa connection kwenye soko la ajira (which is so obvious maana wengi wao wanatokea familia za kimaskini)
Kutengeneza mtoto kuwa na connection huanzia kwenye shule mzazi anayosomesha mtoto.Mtoto akipelekwa shule za kayumba za vidumu na mifagio ni kitu wazi kabisa kuwa hatakuwa na connectio ya maana
 
Ambaye hajapita hizo shule hawezi kukuelewa. Just imagine unaingia form one unaanza kufundishwa na mtu kama Askofu Renatus Nkwande, hivi hiyo bahati ya kufundishwa na genius kama huyo utapata wapi? Hapo mwanafunzi anapigishwa topic anailewa nje ndani na siyo kukariri kama hao mnaowafisia wa shule zenu za kata.
 
Nimeishi haya Maisha uliyo yaeleza hapaaa
 
Hata Ems ni hivyo hivyo Kwa sababu wanatumia mtaala wa Necta ambao lengo ni mtoto kufaulu...

Wanaosoma Kwa kuelewa ni shule za International Schools Mtaala wa Cambridge
Hivi hizi shule zenye mtaala wa Cambridge hawana somo la mapenzi ya jinsia moja kweli?
 
Kutengeneza mtoto kuwa na connection huanzia kwenye shule mzazi anayosomesha mtoto. Mtoto akipelekwa shule za kayumba za vidumu na mifagio ni kitu wazi kabisa kuwa hatakuwa na connectio ya maana
"kutengeneza mtoto kuwa na connection"...

Kwanini unaweka huo ulazima?... Kwa maana hiyo licha ya kumsomesha mtoto wako Kwa gharama kuubwa lakini Bado maisha yake yatakuja kuamuliwa na connection za watu?

Kwa hiyo kumbe issue sio kumgharamia awe na Superior knowledge ya kukabiliana na aina yoyote ya changamoto ya kimaisha, Bali ni kumtengenezea mazingira rahisi ya kutoboa, sawa


LIKUD umeiona hii? Kumbe hawaendagi tu kununua kingereza Bali wanaenda mpaka kununua connection😀
 
Halmashaurini Kuna ubadhirifu wa kufa mtu! Ref. report za CAG, hivyo inategemea na kitengo alichopo mhusika, Aliekwambia watu wanaishi Kwa mshahara halmashauri ni nani? Una uhakika wafanyakazi wa nchi hii wanatajirishwa na ukubwa wa mshahara? hata walioko ngazi za juu kbs!
 
Kaka umeongea ukweli mtupu.
 
Hao St LIKUD wanafaulu kwa kukariri, hawana IQ yoyote kubwa! wanakariri toka mwanzo wa kitabu hadi mwisho ila hawaelewi vzr walichokikariri.
Hakika. Walimu wao huwa wanasisitizwa kumaliza muhtasari (syllabus) kufikia Mei, kama wameanza January. Halafu kinachofuata ni revision. Hii huwa inanishangaza. Kwa nn wasifundishwe taratibu wakaelewa!! Wanaharakia nn?? Elimu ni vita? Kinachifundishwa ni kurudisha kile walichifundishwa na si utafutaji ufumbuzi (problem solving)
 
HUNA AKILI,NA AINA YA WATU WALIOJAA KATIKA HII NCHI😁😁😁.YAANI WEWE PESA ZA DILI UNAHESABU NAYO NI PESA.KITU AMBACHO LEO UNACHO KESHO HUNA HIVI WEWE HICHO KICHWA KUNA UBONGO KWELI.

HUKO HALMASHAURI WATU WAMEPAUKA,WATU WAMEFUBAA KWAANZIA AKILI,NAFSI MPAKA MIILI NA MAVAZI.ALAFU ANATOKE MJINGA MMOJA HAPA UNASEMA NINI.

HIZO AJIRA ZA HALMASHAURI AMBAPO HAWANA ALLOWANCE YOYOTE,HAWANA EXTRA TIME,HAWANA SEMINA,HAWANA INCENTIVES UNAONA HUKO NI SAWA NA KWENYE TAASISI,MAKAMPUNI AU NGO'S WEWE UKAPIMWE MKOJO UTAKUWA UNATUMIA MIHADARATI🤝

📌📌📌MWANAO ANAASILIMIA NGAPI KUPATA HICHO KITENGO CHENYE PESA ZA DILI???!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…