Wanafunzi wenye IQ kubwa ni wale waliopata division 1 shule za kata hasa vijijini, wana upeo mkubwa wa kusoma bila walimu, tuition, past papers

MM SIJAAJIRIWA, SITEGEMEI KUAJIRIWA NA WALA HAKUNA MWANANGU ATAKAE AJIRIWA, TAFUTA HELA USIKODOLEE MACHO AJIRA KENGE WEWE!
 
Ni KWELI mkuu
 
Huyo ni mimi, Sijawahi soma pastpapers, Kuandika notes wala kusoma usiku.

Home ilikua kazikazi, kulishia ngomb'e sometime hadi saa5 usiku, asubuhi umwagilie mboga uchelewe school.

Ila sijawahi drop pale top3.

Hiyo ni Fact.
Uhakika mkuu
 
Kuna tatizo kubwa sana na elimu ya sasa.
Nadhani wanatakiwa kubadili mfumo mzima wa elimu.
Hawa watoto wakifika vyuoni, unaona uwezo wao ni wa kawaida sana!

Watu wanatoka na GPA kubwa ila cha ajabu unaona bado kuna vitu vingi vinapungua

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
unaijua IQ kweli? yaammni uwezi wa kukariri ndio ije kuwa IQ?acha ujinga
 
Kuna jamaa nilisoma naye Tabora boys, alisoma olevo shule ya kata, kwa sasa ni Katibu Tawala huko Msumbiji
 
Wakitoka hapo hizo akili zinapotelea wapi? Hakuna kitu hapo,
 
Unaposema Iliboru kuna kila kitu unamaanisha nini ?

Mimi niliyesoma huko nikisikia mawazo yenu huwa nabaki mdomo wazi.
 
"kutengeneza mtoto kuwa na connection"...

Kwanini unaweka huo ulazima?... Kwa maana hiyo licha ya kumsomesha mtoto wako Kwa gharama kuubwa lakini Bado maisha yake yatakuja kuamuliwa na connection za watu?
Maisha ni connection ndio maana hata ukiomba kazi huhitajika referees watu wanaokujua wenye hadhi zao
 
Hakika aiseee
 
Tofauti kubwa iliyopo ni
1. Uchache wa wanafunzi
2. Wanafunz wengi wa Iliboru ni smart, mengine yanazungumzika.
Kuna sababu nyingi zaidi ila hiyo ya uchache wa wanafunzi huoni inatosha kabisa kuitofautisha Ilboru na shule nyingine yoyote ya Kayumba? Pale Ilboru kwenye chumba kimoja cha darasa mlikuwa mnarundikwa watoto zaidi ya 100?
 
Kuna sababu nyingi zaidi ila hiyo ya uchache wa wanafunzi huoni inatosha kabisa kuitofautisha Ilboru na shule nyingine yoyote ya Kayumba? Pale Ilboru kwenye chumba kimoja cha darasa mlikuwa mnarundikwa watoto zaidi ya 100?
Nimekwambia mengine yanazungumzika, wewe ulisema kuna mazingira mazuri kuzid shule za private kitu ambacho ni uongo.
 
kufaulu shule haimaanishi una IQ kubwa😂 tafuta kujua maana ya IQ na jinsi inavyopimwa🤪
 
Nakubaliana na wewe
 
Kwanini akifaulu wa kayumba anakuwa kakariri ila anapofaulu wa em ionekane anauwezo na hajakariri ? Sio fair kwamba kayumba hawafindishwi au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…