Wanafunzi wenye IQ kubwa ni wale waliopata division 1 shule za kata hasa vijijini, wana upeo mkubwa wa kusoma bila walimu, tuition, past papers

Wanafunzi wenye IQ kubwa ni wale waliopata division 1 shule za kata hasa vijijini, wana upeo mkubwa wa kusoma bila walimu, tuition, past papers

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake.

Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa zaidi, sawa au kuwakaribia hawa waliosoma kwenye mazingira wezeshi na yenye kila nyenzo zinazohitajika kupata elimu bora, haina mjadala mtu huyo ana uwezo mkubwa sana wa kiakili, ni sawa na darasani kuna watu uwezo unaishia table ya 12 lakini kuna watu wana upeo binafsi wanatiririka hadi table ya 50.

Hawasimamiwi wala kulazimishwa kusoma kama wenzao wanaosimamiwa kuanzia saa 11 alfajri hadi usiku, wana uwezo wa kuji manage wenyewe, kuanzia ratiba, kuhandle presha, kuji motivate, n.k.

Wana msaada kidogo kutoka kwa walimu wanaofika mara chache madarasani, vitabu vichache, n.k. kwa asilimia kubwa hujisomea kivyao ila wana IQ kubwa sana ya kujindisha kwa materials chache. unaweza kumpa notes chache akamzidi yule aliesoma vitabu vitano

Wana IQ kubwa ya kutatua maswali mapya, ni tofauti na wenzao wanataftiwa maswali kibao ya kusolve na walimu wao hasa pastpapers, swali moja linarudiwa mara nyingi kwenye vipindi, solvings za alfajiri, test za kila wiki, kila mwezi, mitihani yamuhula, n.k. mitihani ya taifa ikija hakuna maswali mapya, wanatiririka tu.

Hawa watu ni multi purpose, Wana IQ kubwa ya kufanya mambo mengi kwa wakati moja, Nje ya kusoma wanafanya shughuli kadhaa za kuongeza kipato cha familia kama kulima, wanajipikia, wanatembea kila siku kwenda shuleni, mambo kibao ya mtaani wakiwa nyumbani, n.k. ni tofauti na wenzao asubuhi mpaka usiku ni kusoma tu
 
Hawasimamiwi wala kulazimishwa kusoma kama wenzao wanaosimamiwa kuanzia saa 11 alfajri hadi usiku, wao tayari wamejiongeza wenyewe kwa akili za ziada

Wana msaada kidogo kutoka kwa walimu wanaofika mara chache madarasani, vitabu vichache, n.k. kwa asilimia kubwa hujisomea kivyao ila wana IQ kubwa sana ya kujindisha kwa materials chache. unaweza kumpa notes chache akamzidi yule aliesoma vitabu vitano

Wana IQ kubwa ya kutatua maswali mapya, ni tofauti na wenzao wanasolve maswali ya pastpapers kama yote, swali moja mwalimu anazoesha wanafunzi namna ya kulijibu mara nyingi, mitihani ya taifa ikija hakuna maswali mapya, wanatiririka tu.

Wewe kima huna shule...
Acha kuwaonea wivu watoto.....
Tafuta hela mpeleke mtoto shule nzuri kwa ajili ya better tomorrow...pole
 
Ukiona mtu kapiga ONE shule kama Oljoro Sec, Arusha basi jua huyo ni mwamba. Na mara nyingi hao viumbe huwa breki ni UDSM, MUHAS, SUA, UDOM na MZUMBE. Form six huwa ni uhakika wa ONE. Watoto wanaosoma hizi shule zinazotajwa kuwa ni za kitaifa kama Ilboru, Moshi Tech, Ifunda, Old Moshi, Loleza, Weruweru, Tanga tech na zingine hawana sababu zozote za kutopata ONE au TWO. Hizo shule zina kila kitu kuzidi hata Private School nyingi.
 
Hizo shule kama St. Francis wanapokea the best of the best. Yes, mazingira mazuri yanawasaidia lakini watoto wale ni vichwa kwelikweli kutokea huko primary.

Yes, huyo mtoto anayepata div. 1 huko kijijini ni kipanga, angekuwa mazingira mazuri angeweza kupata A zote. Lakini hilo haliwaondolei sifa wale vichwa wa shule za kishua. Wote wana IQ kubwa.
 
Hawasimamiwi wala kulazimishwa kusoma kama wenzao wanaosimamiwa kuanzia saa 11 alfajri hadi usiku, wao tayari wamejiongeza wenyewe kwa akili za ziada

Wana msaada kidogo kutoka kwa walimu wanaofika mara chache madarasani, vitabu vichache, n.k. kwa asilimia kubwa hujisomea kivyao ila wana IQ kubwa sana ya kujindisha kwa materials chache. unaweza kumpa notes chache akamzidi yule aliesoma vitabu vitano

Wana IQ kubwa ya kutatua maswali mapya, ni tofauti na wenzao wanasolve maswali ya pastpapers kama yote, swali moja mwalimu anazoesha wanafunzi namna ya kulijibu mara nyingi, mitihani ya taifa ikija hakuna maswali mapya, wanatiririka tu.

Hawa watu ni multi purpose, Wana IQ kubwa ya kufanya mambo mengi kwa wakati moja, Nje ya kusoma wanafanya shughuli kadhaa za kuongeza kipato cha familia kama kulima, wanajipikia, wanatembea kila siku kwenda shuleni, mambo kibao ya mtaani wakiwa nyumbani, n.k. ni tofauti na wenzao asubuhi mpaka usiku ni kusoma tu
Ni nani aliyekudanganya ya kwamba watoto wa shule za kata hawafundishi? Walimu wanafundisha sana tu kwenye hizo shule za kata! Tena wanawafundisha watoto wengi wenye uwezo mdogo wa kuelewa, na mwisho wa siku wanafaulu kibishi.

Ni bora tofauti yao ungeiweka kwenye miundombinu, idadi, motisha, na mchujo! Ila siyo kusema eti watoto wanajisomea wenyewe.
 
Hizo shule kama St. Francis wanapokea the best of the best. Yes, mazingira mazuri yanawasaidia lakini watoto wale ni vichwa kwelikweli kutokea huko primary.

Yes, huyo mtoto anayepata div. 1 huko kijijini ni kipanga, angekuwa mazingira mazuri angeweza kupata A zote. Lakini hilo haliwaondolei sifa wale vichwa wa shule za kishua. Wote wana IQ kubwa.
Nimewahi kusoma na classmate nilikuwa nampita primary nikiwa wa nne yeye wa saba, alipenya saint francis, form 4 alipiga 1 ya 12 enzi hizo huo ni ufaulu wa juu sana wa wachache sana.

siri ni pale saint francis mwanafunzi anakuwa kasuku, swali moja linaweza kurudiwa mara kibao, kusoma alfajiri hadi usiku mtindo moja, walimu ni kufundisha zaidi namna ya kujibu maswali.

Nilipata division 2 lakini tukaja kutana chuo nilimzidi gpa.
 
Nimewahi kusoma na classmate nilikuwa nampita primary nikiwa wa nne yeye wa saba, alipenya saint francis alipiga form 4 alipiga 1 ya 12 enzi hizo hio huo ni ufaulu wa juu sana wa wachache sana.

Ni kwamba pale saint francis mwanafunzi anakuwa kasuku, swali moja linaweza kurudiwa mara kibao, kusoma alfajiri hadi usiku mtindo moja, walimu ni kufundisha zaidi namna ya kujibu maswali.

Nilipata division 2 lakini tukaja kutana chuo nilimzidi gpa.
Hapana. Hii ya kufundisha namna ya kujibu maswali badala ya topic nzima ipo kwenye shule za serikali hasa advanced level.

Hizo shule za kanisa kama St.Francis na seminary huwa wanafundishwa topics zote za silabasi nzima kwa uelewa mpana. Halafu wanafunzi huwa wanalala mapema tu,hawakeshi wanasoma kama Ilboru au Kibaha .

Baadhi ya walimu wanaomfundisha mwanafunzi wa form one seminary kama mapadri unakuta wana elimu yenye level ya kumfundisha mwanafunzi wa chuo kikuu. Mapadri wanapofundisha wanafunzi unakuta wanaichimba topic mpaka kwenye extra ordinary level . Automatically mwanafunzi anayepata bahati ya kufundishwa na ma-philosopher kama hawa lazima atakuwa na I.Q kubwa.

Halafu seminarini au hizi shule za kanisa huwa hawadekezi wanafunzi. Mbali na kusoma , mwanafunzi ana fundishwa kuheshimu muda na kufanya kazi haswa. Mimi kwa uzoefu wangu seminarini muda kujisomea binafsi ulikuwa ni limited na ni mchache sana lakini tulifaulu vizuri.
 
Hao St LIKUD wanafaulu kwa kukariri, hawana IQ yoyote kubwa! wanakariri toka mwanzo wa kitabu hadi mwisho ila hawaelewi vzr walichokikariri.
Hata Ems ni hivyo hivyo Kwa sababu wanatumia mtaala wa Necta ambao lengo ni mtoto kufaulu...

Wanaosoma Kwa kuelewa ni shule za International Schools Mtaala wa Cambridge
 
Halafu seminarini au hizi shule za kanisa huwa hawadekezi wanafunzi. Mbali na kusoma , mwanafunzi ana fundishwa kuheshimu muda na kufanya kazi haswa.

Na kuchukia / kudharau waislamu
 
Back
Top Bottom