Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mbona imekuja mbio huku ukihema Sana wewe ndio Deo au una vinasaba na Deo TUANZIE hapo Kwanza.View attachment 3658307
WANAHARAKATI, KABLA YA KUDAI-ULIZENI KWANZA! DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI NI KIJANA WA DODOMA.
Wanaharakati, kama hamjui jambo fulani, ni vyema kuuliza. Kuna watu wako tayari kuwasaidia kupata taarifa sahihi badala ya kukurupuka na kutoa hitimisho lisilo na msingi.
Jambo dogo kama kutokujua asili ya Ndugu Deogratius John Ndejembi limekuwa changamoto. Hili linazua swali: ikiwa hata taarifa za msingi kuhusu mtu binafsi zinakuwa ngumu kuzifahamu, mtawezaje kuchambua kwa usahihi masuala mazito yanayohusu taifa?
Muonekano wa mtu hauwezi kuwa kipimo cha asili yake, uraia au chimbuko la familia yake. Hivyo, ni muhimu kuacha dhana zinazojengwa kwa kuangalia sura pekee na badala yake kutafuta taarifa sahihi.
wazazi wa Deogratius John Ndejembi wanatokea Dodoma. Mama yake ana asili ya Kiarabu kutoka Kongwa, Tanzania, huku upande wa baba ukihusishwa na familia ya Ndejembi yenye chimbuko la Dodoma.
Deogratius Ndejembi ni mtoto wa Mzee Pancras Mtemi Ndejembi, ambaye alikuwa kiongozi mkongwe wa CCM Mkoa wa Dodoma na aliyewahi kuhudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa muda mrefu sana.
Familia ya Ndejembi ina chimbuko katika Kijiji cha Mkonze, Dodoma, ambako ndiko kuna makazi ya asili ya familia hiyo. Mzee Pancras Ndejembi pia alizikwa huko baada ya kifo chake mwishoni mwa mwaka 2018.
Kwa hiyo, hoja ya msingi si mtu anaonekana vipi, bali historia yake, familia yake na taarifa zinazoweza kuthibitishwa.
Wanaharakati wanapaswa kujifunza jambo moja muhimu: si kila kinachoonekana kwa macho ndicho ukweli. Kabla ya kutoa kauli nzito kuhusu asili ya mtu, ni busara kufanya uchunguzi, kuuliza na kuthibitisha taarifa.
Kama hamjui, ulizeni. Kuna watu wanaweza kuwasaidia kupata ukweli.
Baba yakeView attachment 3658307

Baba yake alikuwa mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa Dodoma miaka ya 80.View attachment 3658307

Si unaona wewe unasema ni Mtoto wa Ndejembi Wakati wenzako wanakuambia ni mjukuu wake. Nani yupo sahihi?View attachment 3658307

Kwahiyo si mjukuu wa Ndejembi! Ifanyie marekebisho insha yako kisha uilete tuichapishe.View attachment 3658307

Mbona Shabiby anasema ni mjukuu na mama yake ni Mchagga, kwa mkanganyiko huo kwa nini watu wasitie shaka.View attachment 3658307

Hawa wanaumia kuona sisi wagogo tunashika nafasi za juu serekalini,walishazoea wakiona omba omba wanasema ni wagogo hao,hata akiwa mtu wa kabila jingine akiomba,wataumia sanaView attachment 3658307
WANAHARAKATI, KABLA YA KUDAI-ULIZENI KWANZA! DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI NI KIJANA WA DODOMA.
Wanaharakati, kama hamjui jambo fulani, ni vyema kuuliza. Kuna watu wako tayari kuwasaidia kupata taarifa sahihi badala ya kukurupuka na kutoa hitimisho lisilo na msingi.
Jambo dogo kama kutokujua asili ya Ndugu Deogratius John Ndejembi limekuwa changamoto. Hili linazua swali: ikiwa hata taarifa za msingi kuhusu mtu binafsi zinakuwa ngumu kuzifahamu, mtawezaje kuchambua kwa usahihi masuala mazito yanayohusu taifa?
Muonekano wa mtu hauwezi kuwa kipimo cha asili yake, uraia au chimbuko la familia yake. Hivyo, ni muhimu kuacha dhana zinazojengwa kwa kuangalia sura pekee na badala yake kutafuta taarifa sahihi.
wazazi wa Deogratius John Ndejembi wanatokea Dodoma. Mama yake ana asili ya Kiarabu kutoka Kongwa, Tanzania, huku upande wa baba ukihusishwa na familia ya Ndejembi yenye chimbuko la Dodoma.
Deogratius Ndejembi ni mtoto wa Mzee Pancras Mtemi Ndejembi, ambaye alikuwa kiongozi mkongwe wa CCM Mkoa wa Dodoma na aliyewahi kuhudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa muda mrefu sana.
Familia ya Ndejembi ina chimbuko katika Kijiji cha Mkonze, Dodoma, ambako ndiko kuna makazi ya asili ya familia hiyo. Mzee Pancras Ndejembi pia alizikwa huko baada ya kifo chake mwishoni mwa mwaka 2018.
Kwa hiyo, hoja ya msingi si mtu anaonekana vipi, bali historia yake, familia yake na taarifa zinazoweza kuthibitishwa.
Wanaharakati wanapaswa kujifunza jambo moja muhimu: si kila kinachoonekana kwa macho ndicho ukweli. Kabla ya kutoa kauli nzito kuhusu asili ya mtu, ni busara kufanya uchunguzi, kuuliza na kuthibitisha taarifa.
Kama hamjui, ulizeni. Kuna watu wanaweza kuwasaidia kupata ukweli.
Acha propaganda ww chawa, kupe na funza wa Samia! Asili ya mtu ni kizazi chake na katokea wapi!View attachment 3658307

Pumbaf! Haya huyo marehemu Spika Ayubu Ndugai mlimfanya nn enyi Wagogo na magic cm?Hawa wanaumia kuona sisi wagogo tunashika nafasi za juu serekalini,walishazoea wakiona omba omba wanasema ni wagogo hao,hata akiwa mtu wa kabila jingine akiomba,wataumia sana