Wanaharakati kutofautiana mitazamo ni jambo la kawaida. Siyo kukosa mwelekeo

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Harakati za ukombozi zina mambo mengi sana.

Na kwa vile huhusisha watu wengi wenye mawazo na mitazamo tofauti, kukwaruzana kwa hapa na pale ni jambo la kawaida sana na ni jambo linalotarajika.

Katika kufuatilia historia za harakati mbalimbali hapa duniani, sijawahi kuona popote pale ambako hakukuwa na tofauti miongoni mwa wanaharakati.

Ni harakati gani za ukombozi hapa Afrika ambazo wanaharakati wake hawakuwa na tofauti?

Wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika Kusini, si kila mtaka ukombozi alikubaliana na ANC.

Vilikuwepo vyama vingine ambavyo havikukubaliana na ANC.

Mojawapo ya hivyo vyama ni PAC [Pan Africanist Congress of Azania].

Hiki chama kiliundwa na wanachama wa ANC ambao hawakukubaliana na falsafa za hicho chama. Ndo mwaka 1959 wakajitoa na kuunda PAC.

Hata mwanzilishi wa Inkatha Freedom Party, Chief Mangosuthu Buthelezi, naye alikuwa mwanachama wa ANC aliyejitoa na kuunda IFP mwaka 1975.

Vyama vyote hivyo vilikuwa vinapingana na utawala wa kibaguzi wa makaburu.

Twende Marekani kwenye harakati za kupinga ubaguzi wa rangi.

Walikuwepo wanaharakati wengi tu ambao walikuwa hawakubaliani kwenye mambo mengi.

Baadhi yao wakaunda makundi yao ya kiuanaharaki.

Maarufu zaidi kuliko wengi walikuwa ni Martin Luther King Jr. na Malcolm X.

Kilikuwepo chama cha Black Panthers pia.

Baadaye kukaja kuwepo na Operation Breadbasket, Rainbow Push coalition, National Action Network, na kadhalika.

Martin Luther King Jr na Malcolm X walipingana katika baadhi ya mambo.

Kuna wakati mpaka Malcolm X akawa anamwita MLK “uncle Martin” [akimaanisha uncle Tom].

Jesse Jackson alijitoa kwenye Operation Breadbasket na kuunda Operation Push baada ya kukwazana na msaidizi wa MLK, Ralph D. Abernathy.

Hiyo ni mifano michache kati ya mingi iliyopo inayoonyesha kwamba wanaharakati kutofautiana, ni jambo la kawaida na hakumaanishi ni kupoteza mwelekeo.

Kwenu wanaharakati wa Tanzania, msiruhusi tofauti ndogo ndogo zichukue nafasi.

Tofauti za kimtazamo ni jambo la kawaida sana katika maisha ya binadamu.

Kuwa na mitazamo anuai ni jambo lenye afya. Walau linaonyesha mna ubongo unaofanya kazi.

Wanaharakati kwenye jamii ni watu muhimu sana. Wanafanya kazi zinazohitajika.

Huwa hakuna mabadiliko ya kijamii ambayo wanaharakati hawahusiki.

Shime wanaharakati wote wa Kitanzania. Nawaunga mkono.
 
kuna Todauti ya kupishana mitizamo na Kumalizana kisiasa.

Sio afya kwa Mtu mmoja kuamin yeye ndio mpigania haki pekee na wengine kuwapa majina ya usaliti

Mkuu Leo ni Lema Kesho Atakua Mnyika, Kesho kutwa Lissu.

Kupishana mitizamo isiwe chanzo cha kupakana matope .. Raia wanawazoom tu
 
Bongo hakuna mwanarakati boss... Wapo wapiga kelele

Yu wap Fatuma karume ( shangazi)
 
Ni kweli
 
kuna Todauti ya kupishana mitizamo na Kumalizana kisiasa.

Sio afya kwa Mtu mmoja kuamin yeye ndio mpigania haki pekee na wengine kuwapa majina ya usaliti

Mkuu Leo ni Lema Kesho Atakua Mnyika, Kesho kutwa Lissu.

Kupishana mitizamo isiwe chanzo cha kupakana matope .. Raia wanawazoom tu
Lema ni sellout kama alivyo Mbowe, simple and straightforward. U-snitch umeshajadiliwa sana humu hivyo hakuna haja ya kuyarudia.
 
Ndo mana CCM wanasema watatawala milele... leo LEMA, Boni yai na sugu. Kupitia wanaharakati mtawadondosha mmewaza nani ajae?? Siku mkija kujua LISSU alipo ni mfanyabiashara na duka lake ni gerezani alipo itakua too late. Heche mnamtetea leo ila ndo mtu mbaya ndani ya chama kuliko yeyote. Time wilk tell
 
heche namjua vyema.

Kweli ndio Tatizo
 
Ndo mana CCM wanasema watatawala milele... leo LEMA, Boni yai na sugu. Kupitia wanaharakati mtawadondosha mmewaza nani ajae?? Siku mkija kujua LISSU alipo ni mfanyabiashara na duka lake ni gerezani alipo itakua too late. Heche mnamtetea leo ila ndo mtu mbaya ndani ya chama kuliko yeyote. Time wilk tell
Heche ameomesha udhaifu mkubwa mahakamani mpka Lissu ikabidi amuambie mbele ya media jibu maswali sio acha ujanja ujanja… jamaa ni mshenzi tu mwizi mwizi ka wezi wengine inaonekana mengine Lissu alikuwa hayajui.
 
Weka ushahidi wako hapa acha blah blahs zako, Lema has proved beyond reasonable doubt kuwa ni chawa sasa tuwekee ya Heche au na wewe ndiyo walewale timu chawa.
Ushachagua upande.

Lema umemjua ni Chawa kwa maneno ya Mange?

Kama kweli wewe ni msomi basi Taifa hili limejaa zezeta.

ushaidi wa Lema umeutoa wap? Heche Anajua najua usanii anaoufanya mtag atakimbia
 
Lema kajiumbua kwa maneno yake mwenyewe, chawa na UVCCM wote ghafla bin vuu wamegeuka diehard fanatics wa Lema and this for real speaks volume.
Leo Mbowe kipenzi cha CCM, Lema kipenzi cha CCM hapa ni kwamba you don't need to be a rocket scientist to see the obvious pattern.
Just imagine uko busy kumtetea Lema aliyejivua nguo mwenyewe huku ukihangaika kumkandia Heche but failing to show any single hard proof kwamba amehasi harakati, chawa/UVCCM mna kazi ngumu mno.
 
Back
Top Bottom