Ndg. Nyani Ngabu,Harakati za ukombozi zina mambo mengi sana.
Na kwa vile huhusisha watu wengi wenye mawazo na mitazamo tofauti, kukwaruzana kwa hapa na pale ni jambo la kawaida sana na ni jambo linalotarajika.
Katika kufuatilia historia za harakati mbalimbali hapa duniani, sijawahi kuona popote pale ambako hakukuwa na tofauti miongoni mwa wanaharakati.
Ni harakati gani za ukombozi hapa Afrika ambazo wanaharakati wake hawakuwa na tofauti?
Wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika Kusini, si kila mtaka ukombozi alikubaliana na ANC.
Vilikuwepo vyama vingine ambavyo havikukubaliana na ANC.
Mojawapo ya hivyo vyama ni PAC [Pan Africanist Congress of Azania].
Hiki chama kiliundwa na wanachama wa ANC ambao hawakukubaliana na falsafa za hicho chama. Ndo mwaka 1959 wakajitoa na kuunda PAC.
Hata mwanzilishi wa Inkatha Freedom Party, Chief Mangosuthu Buthelezi, naye alikuwa mwanachama wa ANC aliyejitoa na kuunda IFP mwaka 1975.
Vyama vyote hivyo vilikuwa vinapingana na utawala wa kibaguzi wa makaburu.
Twende Marekani kwenye harakati za kupinga ubaguzi wa rangi.
Walikuwepo wanaharakati wengi tu ambao walikuwa hawakubaliani kwenye mambo mengi.
Baadhi yao wakaunda makundi yao ya kiuanaharaki.
Maarufu zaidi kuliko wengi walikuwa ni Martin Luther King Jr. na Malcolm X.
Kilikuwepo chama cha Black Panthers pia.
Baadaye kukaja kuwepo na Operation Breadbasket, Rainbow Push coalition, National Action Network, na kadhalika.
Martin Luther King Jr na Malcolm X walipingana katika baadhi ya mambo.
Kuna wakati mpaka Malcolm X akawa anamwita MLK “uncle Martin” [akimaanisha uncle Tom].
Jesse Jackson alijitoa kwenye Operation Breadbasket na kuunda Operation Push baada ya kukwazana na msaidizi wa MLK, Ralph D. Abernathy.
Hiyo ni mifano michache kati ya mingi iliyopo inayoonyesha kwamba wanaharakati kutofautiana, ni jambo la kawaida na hakumaanishi ni kupoteza mwelekeo.
Kwenu wanaharakati wa Tanzania, msiruhusi tofauti ndogo ndogo zichukue nafasi.
Tofauti za kimtazamo ni jambo la kawaida sana katika maisha ya binadamu.
Kuwa na mitazamo anuai ni jambo lenye afya. Walau linaonyesha mna ubongo unaofanya kazi.
Wanaharakati kwenye jamii ni watu muhimu sana. Wanafanya kazi zinazohitajika.
Huwa hakuna mabadiliko ya kijamii ambayo wanaharakati hawahusiki.
Shime wanaharakati wote wa Kitanzania. Nawaunga mkono.
| Sifa | Mwanaharakati wa Kimkakati (Afya) | "Mungu Mtu" wa Harakati (Hatari) |
|---|---|---|
| Lengo Kuu | Kulinda na kupigania mfumo wa haki kwa wote. | Kulinda hadhi, umaarufu, na ushawishi wake binafsi. |
| Mtazamo wa Ukosoaji | Huona ukosoaji kama fursa ya kuboresha mbinu za mapambano. | Huona ukosoaji kama shambulio la kibinafsi au usaliti na kugeuka kuwa adui. |
| Ushirikiano | Yuko tayari kufanya kazi nyuma ya pazia ili mradi lengo lifikiwe. | Anataka kuwa mstari wa mbele na kila sifa na "credit" zimwendee yeye. |
| Mustakabali | Huandaa viongozi wapya watakaomzidi yeye uwezo. | Hukandamiza chipukizi na kuwashambulia ili asifunikwe umaarufu. |
Ndugu yangu, hoja yako inatokana na mtazamo wa nje wa jukwaa la kisiasa, lakini kisheria na kiweledi, mambo sivyo yalivyo kabisa. Ili kuelewa kilichotokea kati ya Mh. Tundu Lissu na John Heche kizimbani kwenye kesi ya uhaini, lazima uelewe jukumu la kisheria la Wakili Kiongozi (Defence Counsel) na Shahidi (Defense Witness).Heche ameomesha udhaifu mkubwa mahakamani mpka Lissu ikabidi amuambie mbele ya media jibu maswali sio acha ujanja ujanja… jamaa ni mshenzi tu mwizi mwizi ka wezi wengine inaonekana mengine Lissu alikuwa hayajui.
Kwahiyo kupambani haki mbalimbali hapa duniani hakuna maana?Amerudi hijja. Kaamua kumuelekea muumba wake. Dunia hii ni anasa tu, akhera ndio mpango mzima
Njaa tu, hata wao wanajua kuwa ni njaa tuHarakati za ukombozi zina mambo mengi sana.
Na kwa vile huhusisha watu wengi wenye mawazo na mitazamo tofauti, kukwaruzana kwa hapa na pale ni jambo la kawaida sana na ni jambo linalotarajika.
Katika kufuatilia historia za harakati mbalimbali hapa duniani, sijawahi kuona popote pale ambako hakukuwa na tofauti miongoni mwa wanaharakati.
Ni harakati gani za ukombozi hapa Afrika ambazo wanaharakati wake hawakuwa na tofauti?
Wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika Kusini, si kila mtaka ukombozi alikubaliana na ANC.
Vilikuwepo vyama vingine ambavyo havikukubaliana na ANC.
Mojawapo ya hivyo vyama ni PAC [Pan Africanist Congress of Azania].
Hiki chama kiliundwa na wanachama wa ANC ambao hawakukubaliana na falsafa za hicho chama. Ndo mwaka 1959 wakajitoa na kuunda PAC.
Hata mwanzilishi wa Inkatha Freedom Party, Chief Mangosuthu Buthelezi, naye alikuwa mwanachama wa ANC aliyejitoa na kuunda IFP mwaka 1975.
Vyama vyote hivyo vilikuwa vinapingana na utawala wa kibaguzi wa makaburu.
Twende Marekani kwenye harakati za kupinga ubaguzi wa rangi.
Walikuwepo wanaharakati wengi tu ambao walikuwa hawakubaliani kwenye mambo mengi.
Baadhi yao wakaunda makundi yao ya kiuanaharaki.
Maarufu zaidi kuliko wengi walikuwa ni Martin Luther King Jr. na Malcolm X.
Kilikuwepo chama cha Black Panthers pia.
Baadaye kukaja kuwepo na Operation Breadbasket, Rainbow Push coalition, National Action Network, na kadhalika.
Martin Luther King Jr na Malcolm X walipingana katika baadhi ya mambo.
Kuna wakati mpaka Malcolm X akawa anamwita MLK “uncle Martin” [akimaanisha uncle Tom].
Jesse Jackson alijitoa kwenye Operation Breadbasket na kuunda Operation Push baada ya kukwazana na msaidizi wa MLK, Ralph D. Abernathy.
Hiyo ni mifano michache kati ya mingi iliyopo inayoonyesha kwamba wanaharakati kutofautiana, ni jambo la kawaida na hakumaanishi ni kupoteza mwelekeo.
Kwenu wanaharakati wa Tanzania, msiruhusi tofauti ndogo ndogo zichukue nafasi.
Tofauti za kimtazamo ni jambo la kawaida sana katika maisha ya binadamu.
Kuwa na mitazamo anuai ni jambo lenye afya. Walau linaonyesha mna ubongo unaofanya kazi.
Wanaharakati kwenye jamii ni watu muhimu sana. Wanafanya kazi zinazohitajika.
Huwa hakuna mabadiliko ya kijamii ambayo wanaharakati hawahusiki.
Shime wanaharakati wote wa Kitanzania. Nawaunga mkono.
Alimuambia jibu maswali asigeuke geuke nyuma kesi ikiwa imeisha kusikilizwa sio wakati wa kesi ikiendelea kusikilizwa haya nenda kwa AI ukaseme tenaNdugu yangu, hoja yako inatokana na mtazamo wa nje wa jukwaa la kisiasa, lakini kisheria na kiweledi, mambo sivyo yalivyo kabisa. Ili kuelewa kilichotokea kati ya Mh. Tundu Lissu na John Heche kizimbani kwenye kesi ya uhaini, lazima uelewe jukumu la kisheria la Wakili Kiongozi (Defence Counsel) na Shahidi (Defense Witness).
Ukweli wa kisheria upo hivi:
1. Jukumu la Lissu Kama Wakili (The Role of Lead Counsel)
Tundu Lissu anasimama mahakamani kama mwanasheria msomi na mshitakiwa anayejiongoza kisheria. Unapomsikia akimwambia shahidi wake (Heche), "Jibu maswali, acha ujanja ujanja," huko si kumdhalilisha au kumwona dhaifu.
- Kazi ya mawakili wa Serikali kwenye hatua ya Dodoso (Cross-Examination) ni kumvuta shahidi kwenye mitego ili aharibu ushahidi wake wa msingi au kutoa maoni ya kisheria ambayo si kazi yake.
- Kisheria, kama shahidi ataanza kukwepa maswali au kutumia lugha ya "michezo ya kisiasa," Mahakama inaweza kumtafsiri kama Hostile Witness au Unreliable Witness (shahidi asiyeaminika). Lissu alikuwa akitekeleza wajibu wake mkuu wa kumlinda shahidi kisheria kwa kumrudisha kwenye mstari ili asijivute mkenge kwenye mtego wa upande wa mashtaka.
2. Mbinu ya Heche Kizimbani: "Ujanja" au Kulinda Kesi?
Kukabiliana na maswali ya dodoso kwa saa kadhaa kutoka kwa mawakili wa serikali si jambo jepesi.
- Heche alipotumia majibu mafupi kama "Sijui" au "Sikumbuki" kwenye maswali kadhaa ya upande wa mashtaka, kiweledi huko kuitwa "Kuepuka Mtego wa Kisheria" (Evading Legal Traps). Shahidi mzuri hapaswi kujifanya anajua kila kitu; akijaribu kujibu maswali ya utaalamu wa kisheria (points of law), anaharibu kesi ya msingi ya mtuhumiwa.
3. Kuhusu Tuhuma za "Mwizi" na Kwamba Lissu "Alikuwa Hayajui"
Uliposema kuna mambo Lissu alikuwa hayajui, upo sahihi lakini kwa sababu za kisheria, si kwa sababu za uhalifu.
Hitimisho
- Mawakili wa Serikali walileta nakala na maswali yanayohusu maisha binafsi ya Heche (kama miamala ya kifedha au umiliki wa magari) kwa lengo la kisheria linaloitwa "Impeaching the Credibility of a Witness" (Kupunguza uaminifu wa shahidi mbele ya Majaji).
- Lissu hakuwa na sababu ya kujua miamala ya mfukoni ya Heche kwa sababu masuala hayo ya kifedha hayahusiani hata kidogo na kosa la msingi la uhaini la kesi hiyo. Heche hakuwa pale kujitetea kama mtuhumiwa wa wizi, alikuwa pale kama shahidi wa utetezi kueleza ukweli wa kauli za kisiasa zilizotolewa.
Mahakama si jukwaa la mikutano ya hadhara au mitandao ya kijamii ambapo ushabiki na maneno mengi ya porojo yanasaidia. Tundu Lissu alikuwa akionyesha weledi wa hali ya juu wa kisheria (legal tactics) kudhibiti mwenendo wa shahidi wake. Mwisho wa siku, Heche alimaliza kutoa ushahidi wake bila kuvunja msingi mkuu wa kesi ya utetezi ya uhaini. Hakuna udhaifu hapo, bali kuna ukomavu wa kisheria.
Kumbe kutofautiana ni jambo la kawaida! Sasa kwa nini kila kukicha Chadema wanawaandama Chaumma?Harakati za ukombozi zina mambo mengi sana.
Na kwa vile huhusisha watu wengi wenye mawazo na mitazamo tofauti, kukwaruzana kwa hapa na pale ni jambo la kawaida sana na ni jambo linalotarajika.
Katika kufuatilia historia za harakati mbalimbali hapa duniani, sijawahi kuona popote pale ambako hakukuwa na tofauti miongoni mwa wanaharakati.
Ni harakati gani za ukombozi hapa Afrika ambazo wanaharakati wake hawakuwa na tofauti?
Wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika Kusini, si kila mtaka ukombozi alikubaliana na ANC.
Vilikuwepo vyama vingine ambavyo havikukubaliana na ANC.
Mojawapo ya hivyo vyama ni PAC [Pan Africanist Congress of Azania].
Hiki chama kiliundwa na wanachama wa ANC ambao hawakukubaliana na falsafa za hicho chama. Ndo mwaka 1959 wakajitoa na kuunda PAC.
Hata mwanzilishi wa Inkatha Freedom Party, Chief Mangosuthu Buthelezi, naye alikuwa mwanachama wa ANC aliyejitoa na kuunda IFP mwaka 1975.
Vyama vyote hivyo vilikuwa vinapingana na utawala wa kibaguzi wa makaburu.
Twende Marekani kwenye harakati za kupinga ubaguzi wa rangi.
Walikuwepo wanaharakati wengi tu ambao walikuwa hawakubaliani kwenye mambo mengi.
Baadhi yao wakaunda makundi yao ya kiuanaharaki.
Maarufu zaidi kuliko wengi walikuwa ni Martin Luther King Jr. na Malcolm X.
Kilikuwepo chama cha Black Panthers pia.
Baadaye kukaja kuwepo na Operation Breadbasket, Rainbow Push coalition, National Action Network, na kadhalika.
Martin Luther King Jr na Malcolm X walipingana katika baadhi ya mambo.
Kuna wakati mpaka Malcolm X akawa anamwita MLK “uncle Martin” [akimaanisha uncle Tom].
Jesse Jackson alijitoa kwenye Operation Breadbasket na kuunda Operation Push baada ya kukwazana na msaidizi wa MLK, Ralph D. Abernathy.
Hiyo ni mifano michache kati ya mingi iliyopo inayoonyesha kwamba wanaharakati kutofautiana, ni jambo la kawaida na hakumaanishi ni kupoteza mwelekeo.
Kwenu wanaharakati wa Tanzania, msiruhusi tofauti ndogo ndogo zichukue nafasi.
Tofauti za kimtazamo ni jambo la kawaida sana katika maisha ya binadamu.
Kuwa na mitazamo anuai ni jambo lenye afya. Walau linaonyesha mna ubongo unaofanya kazi.
Wanaharakati kwenye jamii ni watu muhimu sana. Wanafanya kazi zinazohitajika.
Huwa hakuna mabadiliko ya kijamii ambayo wanaharakati hawahusiki.
Shime wanaharakati wote wa Kitanzania. Nawaunga mkono.
Walianza na Lema. Wakawaunganisha Sugu na Boni. Kuona haitoshi, wakaunganisha family ya Lissu! Walijua kuwa mbinu zilezile walizo tumia dhidi ya Mbowe zitafanya kazi.kuna Todauti ya kupishana mitizamo na Kumalizana kisiasa.
Sio afya kwa Mtu mmoja kuamin yeye ndio mpigania haki pekee na wengine kuwapa majina ya usaliti
Mkuu Leo ni Lema Kesho Atakua Mnyika, Kesho kutwa Lissu.
Kupishana mitizamo isiwe chanzo cha kupakana matope .. Raia wanawazoom tu
Wanawaandama kivipi?Kumbe kutofautiana ni jambo la kawaida! Sasa kwa nini kila kukicha Chadema wanawaandama Chaumma?
Amandla...
una uhakika na ulichokisema ama unatafuta pa kutokea? Uzuri mimi natumia AI kama karani na si muongozaji wa nini ninachotaka kukisema. Ndiyo maana wenzako wengi sana wamejitahidi kama wewe lakini hakuna waliponikuta nadanganya. Ukitumia Ai bila kujua nini unachokisema kwa muda huo wote mngenishika kama Jemedari aliwashika waandishi wa habari walio report mechi ya Simba.Alimuambia jibu maswali asigeuke geuke nyuma kesi ikiwa imeisha kusikilizwa sio wakati wa kesi ikiendelea kusikilizwa haya nenda kwa AI ukaseme tena
so what?Hao wanaharakati hasa Hilda wa fb kila nikitazama tuhuma zake dhidi ya Lema nazidi kuamini kuna mtu nyuma yake.
Kutoa tuhuma kila siku kwa mtu bila ushahidi ni utoto, qjabu wapo watoto wensie wanaoziamini.
Mtu anaweza akajidai mstaarabu sana mbele ya public haongei, kumbe ana mambo ya siri ili kumlijda, hii michezo ipo inajulikana.
Na lile la Roma kutishwa na Mange kisa ametofautina nae mtazamo shinshangai.
Mange ni cheap sana, qnataka yeye ndie aonekane kiongozi wa wenzie, kwake kumpinga kile anachoandika ni sawa na kutaka kumuondoa kwenye hiyo nafasi yake.
Lady, hilo jina lako linatamkwaje? Twatwa?so what?
ndio maana nasisitiza siasa imevamiwa na vibwengo 🐒
Haujamsikia Heche akiwazungumzia? Na humu ndani ndio balaa. You have been played, my friend. You can't say I did not warn you. Leo ndio mnakumbuka lyrics za Kumbaya!Wanawaandama kivipi?
Wewe ni Chaumma?
I haven’t been played by anybody because I’m only tethered to my principles and not personalities.Haujamsikia Heche akiwazungumzia? Na humu ndani ndio balaa. You have been played, my friend. You can't say I did not warn you. Leo ndio mnakumbuka lyrics za Kumbaya!
Amandla...
If you say so.I haven’t been played by anybody because I’m only tethered to my principles and not personalities.