Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Bongo hakuna mwanarakati boss... Wapo wapiga keleleHarakati za ukombozi zina mambo mengi sana.
Na kwa vile huhusisha watu wengi wenye mawazo na mitazamo tofauti, kukwaruzana kwa hapa na pale ni jambo la kawaida sana na ni jambo linalotarajika.
Katika kufuatilia historia za harakati mbalimbali hapa duniani, sijawahi kuona popote pale ambako hakukuwa na tofauti miongoni mwa wanaharakati.
Ni harakati gani za ukombozi hapa Afrika ambazo wanaharakati wake hawakuwa na tofauti?
Wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika Kusini, si kila mtaka ukombozi alikubaliana na ANC.
Vilikuwepo vyama vingine ambavyo havikukubaliana na ANC.
Mojawapo ya hivyo vyama ni PAC [Pan Africanist Congress of Azania].
Hiki chama kiliundwa na wanachama wa ANC ambao hawakukubaliana na falsafa za hicho chama. Ndo mwaka 1959 wakajitoa na kuunda PAC.
Hata mwanzilishi wa Inkatha Freedom Party, Chief Mangosuthu Buthelezi, naye alikuwa mwanachama wa ANC aliyejitoa na kuunda IFP mwaka 1975.
Vyama vyote hivyo vilikuwa vinapingana na utawala wa kibaguzi wa makaburu.
Twende Marekani kwenye harakati za kupinga ubaguzi wa rangi.
Walikuwepo wanaharakati wengi tu ambao walikuwa hawakubaliani kwenye mambo mengi.
Baadhi yao wakaunda makundi yao ya kiuanaharaki.
Maarufu zaidi kuliko wengi walikuwa ni Martin Luther King Jr. na Malcolm X.
Kilikuwepo chama cha Black Panthers pia.
Baadaye kukaja kuwepo na Operation Breadbasket, Rainbow Push coalition, National Action Network, na kadhalika.
Martin Luther King Jr na Malcolm X walipingana katika baadhi ya mambo.
Kuna wakati mpaka Malcolm X akawa anamwita MLK “uncle Martin” [akimaanisha uncle Tom].
Jesse Jackson alijitoa kwenye Operation Breadbasket na kuunda Operation Push baada ya kukwazana na msaidizi wa MLK, Ralph D. Abernathy.
Hiyo ni mifano michache kati ya mingi iliyopo inayoonyesha kwamba wanaharakati kutofautiana, ni jambo la kawaida na hakumaanishi ni kupoteza mwelekeo.
Kwenu wanaharakati wa Tanzania, msiruhusi tofauti ndogo ndogo zichukue nafasi.
Tofauti za kimtazamo ni jambo la kawaida sana katika maisha ya binadamu.
Kuwa na mitazamo anuai ni jambo lenye afya. Walau linaonyesha mna ubongo unaofanya kazi.
Wanaharakati kwenye jamii ni watu muhimu sana. Wanafanya kazi zinazohitajika.
Huwa hakuna mabadiliko ya kijamii ambayo wanaharakati hawahusiki.
Shime wanaharakati wote wa Kitanzania. Nawaunga mkono.
Ni kweliHarakati za ukombozi zina mambo mengi sana.

😆😆Bongo hakuna mwanarakati boss... Wapo wapiga kelele
Yu wap Fatuma karume ( shangazi)
Kwani huyo ni mwanaharakati?Bongo hakuna mwanarakati boss... Wapo wapiga kelele
Yu wap Fatuma karume ( shangazi)
Lema ni sellout kama alivyo Mbowe, simple and straightforward. U-snitch umeshajadiliwa sana humu hivyo hakuna haja ya kuyarudia.kuna Todauti ya kupishana mitizamo na Kumalizana kisiasa.
Sio afya kwa Mtu mmoja kuamin yeye ndio mpigania haki pekee na wengine kuwapa majina ya usaliti
Mkuu Leo ni Lema Kesho Atakua Mnyika, Kesho kutwa Lissu.
Kupishana mitizamo isiwe chanzo cha kupakana matope .. Raia wanawazoom tu
Hehehe kwani alikuwa Nani? Si Ile Law Bar Yao ilipigwa Bomu kipindi kileKwani huyo ni mwanaharakati?
mkuu hata Heche ni Snitch , Hata Mnyika.Lema ni sellout kama alivyo Mbowe, simple and straightforward. U-snitch umeshajadiliwa sana humu hivyo hakuna haja ya kuyarudia.
heche namjua vyema.Ndo mana CCM wanasema watatawala milele... leo LEMA, Boni yai na sugu. Kupitia wanaharakati mtawadondosha mmewaza nani ajae?? Siku mkija kujua LISSU alipo ni mfanyabiashara na duka lake ni gerezani alipo itakua too late. Heche mnamtetea leo ila ndo mtu mbaya ndani ya chama kuliko yeyote. Time wilk tell
Brother hayupo mwanasiasa asie na bei....... HAYUPO NA USISHANGE HOJA YA MARIDHIANO IKAANZIA KWAKE.heche namjua vyema.
Kweli ndio Tatizo
Bei yake ni ndogo sana kaka.Brother hayupo mwanasiasa asie na bei....... HAYUPO NA USISHANGE HOJA YA MARIDHIANO IKAANZIA KWAKE.
Heche ameomesha udhaifu mkubwa mahakamani mpka Lissu ikabidi amuambie mbele ya media jibu maswali sio acha ujanja ujanja… jamaa ni mshenzi tu mwizi mwizi ka wezi wengine inaonekana mengine Lissu alikuwa hayajui.Ndo mana CCM wanasema watatawala milele... leo LEMA, Boni yai na sugu. Kupitia wanaharakati mtawadondosha mmewaza nani ajae?? Siku mkija kujua LISSU alipo ni mfanyabiashara na duka lake ni gerezani alipo itakua too late. Heche mnamtetea leo ila ndo mtu mbaya ndani ya chama kuliko yeyote. Time wilk tell
Weka ushahidi wako hapa acha blah blahs zako, Lema has proved beyond reasonable doubt kuwa ni chawa sasa tuwekee ya Heche au na wewe ndiyo walewale timu chawa.mkuu hata Heche ni Snitch , Hata Mnyika.
Ushaidi tunao na Tunajua ni watumishi wa Taasisi gan.
Unashangaa hilo?
Ushachagua upande.Weka ushahidi wako hapa acha blah blahs zako, Lema has proved beyond reasonable doubt kuwa ni chawa sasa tuwekee ya Heche au na wewe ndiyo walewale timu chawa.
Lema kajiumbua kwa maneno yake mwenyewe, chawa na UVCCM wote ghafla bin vuu wamegeuka diehard fanatics wa Lema and this for real speaks volume.Ushachagua upande.
Lema umemjua ni Chawa kwa maneno ya Mange?
Kama kweli wewe ni msomi basi Taifa hili limejaa zezeta.
ushaidi wa Lema umeutoa wap? Heche Anajua najua usanii anaoufanya mtag atakimbia