Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hiv kila anaetoa maoni ni mpinzani. Hiv hii nchi haina watu wanaofikiri na kuelezea hisia zao. Ukiona watu wanapinga kila kitu ujue washakuona wewe ni muovu usie na jema.Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii
Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Hizo stori za mamba au wanyama fulani kiwa wengi sio kweli, watu wanakatiza katika mito isiyo na mdaraja au wanaenda kuchota maji mtoni ambapo ni makazi ya mamba ndipo wanashambuliwa na mamba.Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii
Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Huo msitari na sentensi ya kwanza ndio gear ya wanasiasa hasa wasipenda haki hupenda kuutumia. Na kwakuwa Watanganyika wengi hudhani kuwa ni akili kujimilikisha chama basi na wao wanaubigia gitaa.Hiv kila anaetoa maoni ni mpinzani. Hiv hii nchi haina watu wanaofikiri na kuelezea hisia zao. Ukiona watu wanapinga kila kitu ujue washakuona wewe ni muovu usie na jema.
Mtaji wa kisiasa wa viongozi wa CCM ni ujinga na umaskini uliotopea kwa wananchi waliokuwa wengi nchini. Viongozi hawa muflisi wa maono, mawazo na hata fikra pevu, siku zote huchukizwa sana na watu wenye uthubutu wa kuhoji na kutafuta kudadisi vitu vya msingiMtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii
Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Na wewe huna tofauti na wao!Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii
Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Enzi za MagufuliEnzi za Kigwangala Nyama ya mamba imeuzwa Sana pale Makumbusho!
Afrika Mashariki ni Tanzania tu ndio inaendesha ukatili huu wengine wote walishapiga Ban.Trophy hunting inapaswa kupigwa marufuku kote duniani.
Hawajui kabisa...Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii
Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Unamuua kiumbe mkubwa wa aina yake dunian halaf unasema ni uwindaji...dunia ya sasaMtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii
Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Mara nyingi hao Huwa ni roporopo na wasiojielewa.Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii
Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Ujinga na utoto.Wanzania wote Wazalendo tuungane ili hii Biashara ipigwe marufuku ili Wanyama wawindwe kwa Kamera tu.
Yalivyo majinga yanashindwa kuelewa kwamba wanyama ni Mali Asili sawa tuu na samaki,Madini nkHawajui kabisa...
hata serikali ilipotangaza kuuza wanyama pori hai nje ya nchi baadhi yao walipiga kelele sana hata humu jamvini kumbe ni biashara tu kama ya kuuza nyama.
Angekufa tu hata hivyoUnamuua kiumbe mkubwa wa aina yake dunian halaf unasema ni uwindaji...dunia ya sasa