imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Unatetea Rushwa tu huna uchungu na Wanyamapori wetu tuliopewa na Mungu.Ujinga na utoto.
Kenya Uganda Rwanda hii Biashara imepigwa marufuku.
Na kama tujuavyo Rushwa imezagaa kwenye Tanapa na Tawa mtu analipia Mnyama mmoja anaweza kutoa kidogo ili auwe hata Ishirini.
Chawa huwa hamna uchungu na Nchi.