Kibazi imekuwaje tena nyie simnasema marekani na Israel wanapata mkong'oto?!Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran.
Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa
Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa.
Leo ukipost picha ya jengo la Isreal limeshambuliwa, raia huyo anaweza kupotezwa.
Hawaoni jinsi gani nchi hizi zinavyovuka mipaka ya kimataifa haki za binaadam
Wanaharakati wa Tanzania wanachoangalia nani anaumia wa dini gani, sio nani anavunja sheria
Hoja nyengine hioKibazi imekuwaje tena nyie simnasema marekani na Israel wanapata mkong'oto?!
kwa mfano,Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran.
Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa
Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa.
Leo ukipost picha ya jengo la Isreal limeshambuliwa, raia huyo anaweza kupotezwa.
Hawaoni jinsi gani nchi hizi zinavyovuka mipaka ya kimataifa haki za binaadam
Wanaharakati wa Tanzania wanachoangalia nani anaumia wa dini gani, sio nani anavunja sheria
kwa mfano,
katibu mkuu wa TEC fr.charles kitima anafurahia mno Iran kushambuliwa na watu wake kuawa na Israel.
hii inaonyesha kabisa ana udini kwenye harakatiza anazofanya.
Gentleman,sijawahi kuelewa, kwani udini una tatizo gani? kwanza udini hata maana yake ni nini? ...
Hio sina uhakika. Itakuwa unachuki zako binafsi na kitimakwa mfano,