Sio Kweli, mpole alikuwa akifanya vizuri same kwa mayele kilicho kosekana kwake ni muendelezo tuUhalisia usemwe
George Mpole na Mayele ilikuwa unafiki na chuki za kipumbavu
Ulimwengu wa Sasa upo wazi kitu kizuri kitaonekanaKuna namna wapo sahihi na kuna namna wanazingua.
Eneo ambalo nawaona wapo sahihi
Kutetea maslahi ya wazawa ambao wanaonesha kiwango kizuri lakini wanazidiwa maslahi na wageni ambao hawafanyi vizuri.
Eneo ambalo hawapo sahihi
Kushinikiza TFF ipunguze idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye vikosi kwa lengo la kuijenga Taifa Stars.
Umempiga nundu ya utosi,,,, asipoelewa tena basi, uzi ufungweNajua wewe ni mwana Yanga mwenzangu ila nikujulishe tu kwamba mcheza kwao hutuzwa hivyo na hao wachambuz unaowasema walikuwa wanapita na usemi huo huo.
Huwezi linganisha mpole na mayele ndugu, mayele ni kitu kingineSio Kweli, mpole alikuwa akifanya vizuri same kwa mayele kilicho kosekana kwake ni muendelezo tu
Mchezaji hapewi tu heshima kwa kuwa ni mzawa.Heshma anaitengeneza uwanjani.Point yako ni nini, wachezaji wazawa wasipewe heshima yao hata wanapofanya vizuri, tuwasifu wageni na kudharau vyakwetu ?
Wewe hujui Vituko vya Soka.Kuna wachambuzi na wanaharakati uchwara waliowalinganisha wachezaji wazawa na wageni Sasa wanaona aibu
1. Mayele vs George Mpole
Hapa zilitumika nguvu kubwa kumsifu George Mpole
Walitumika hadi waamzi kumfanya Mayele asiwe top scorer, Mayele alidhurimiwa magoli yake
Mwisho wa siku Mayele yupo pyramids analipwa million 98 na Sasa Ameingia Finali ya CAFCL who knows labda akawa bingwa Mpole hana Pamba Jiji na anaanzia benchi
2. Aziz ki vs Feisal
Aziz alikuja Yanga, wachambuzi wanafiki wakamhadaa Feisal ati hapati heshima Kwa Aziz analipwa pesa nyingi na uweZo Feisal kamzidi
Sasa Fei yupo Azam hata ubingwa wa Muungano hawapati
Aziz anaenda Wydad Kwa usajali wa billion 2.5
3. Dilunga vs Chama
Waliibuka wanaharakati uchwara wakampigania Dilunga dhidi ya Chama
Sasa Dilunga yupo JKT, Chama yupo top team Young Africans akivuta milion28 Kwa mwezi
4. Kichuya/ Miraj Athman vs Miquison
Hawa walikuwa na kupewa sifa nyingi, mwisho wa siku Kichuya yupo zake JKT na Miraj Athman hana hata timu ya ndondondo
5 Yao vs Kibwana
Wanaharakati walibweka wakimtetea Kibwana, Sasa mbichi na mbivi Iko dhahiri
Kipindi kile walikuwa tu wakigombea kiatu nani alisema wanafanana.Uhalisia usemwe
George Mpole na Mayele ilikuwa unafiki na chuki za kipumbavu
Mpole alikuwa anajua kukaa kwenye nafasi lakini mayele alikuwa anakaa kwenye nafasi pamoja na kutafuta mpira lakn pia alikua na uwezo wa kupga mashutSio Kweli, mpole alikuwa akifanya vizuri same kwa mayele kilicho kosekana kwake ni muendelezo tu
Kila mchezaji ana ubora na udhaifu wake, muhimu alikuwa anafungaMpole alikuwa anajua kukaa kwenye nafasi lakini mayele alikuwa anakaa kwenye nafasi pamoja na kutafuta mpira lakn pia alikua na uwezo wa kupga mashut