XII Tz JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 4,351 Reaction score 7,105 Apr 26, 2025 #21 balibabambonahi said: Mchezaji hapewi tu heshima kwa kuwa ni mzawa.Heshma anaitengeneza uwanjani. Click to expand... Hiyo heshima waliyokuwa wakipewa ni kwa sababu walionesha kitu uwanjani
balibabambonahi said: Mchezaji hapewi tu heshima kwa kuwa ni mzawa.Heshma anaitengeneza uwanjani. Click to expand... Hiyo heshima waliyokuwa wakipewa ni kwa sababu walionesha kitu uwanjani
XII Tz JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 4,351 Reaction score 7,105 Apr 26, 2025 #22 gallow bird said: Huwezi linganisha mpole na mayele ndugu, mayele ni kitu kingine Click to expand... Ni maoni yako na yanaheshimika
gallow bird said: Huwezi linganisha mpole na mayele ndugu, mayele ni kitu kingine Click to expand... Ni maoni yako na yanaheshimika
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,841 Reaction score 15,673 Apr 30, 2025 #23 NAGAMAHONGA said: Kipindi kile walikuwa tu wakigombea kiatu nani alisema wanafanana. Click to expand... Ndo hadi magoli halali yakataliwe?
NAGAMAHONGA said: Kipindi kile walikuwa tu wakigombea kiatu nani alisema wanafanana. Click to expand... Ndo hadi magoli halali yakataliwe?
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,841 Reaction score 15,673 Apr 30, 2025 #24 XII Tz said: Hiyo heshima waliyokuwa wakipewa ni kwa sababu walionesha kitu uwanjani Click to expand... George Mpole alikuwa overrated.
XII Tz said: Hiyo heshima waliyokuwa wakipewa ni kwa sababu walionesha kitu uwanjani Click to expand... George Mpole alikuwa overrated.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,920 May 1, 2025 #25 balibabambonahi said: Ndo hadi magoli halali yakataliwe? Click to expand... Kwani si ndio soka lenu