Wanaharakati wanaotetea makahaba, wataanza kutetea na mashoga kwa kigezo cha faragha, tuwapinge kwa nguvu zote

Nlikuwa najifikiria hapa.
Mama yako anajiuza pale Tandika,mama yako mdogo anajiuza pale mwananyamala
Dada yako anajiuza kimboka. Rafiki yako anajiuza pale river side

Baba yako anapakuliwa Zanzibar mdogo wako wa kiume ni shoga Sinza na classmate wako nae ni shoga yupo hapo kinondoni

Mtoto wako ulomzaa saiv ana niaka 14 tayari ameshaanza ushoga? Na yule bint yako unaempenda sana na ulijinyima sana kula na kuvaa ukamsomesha pale st Marry kamaliza chuo mlimani ila anajiuza kwenye bar mbali mbali hapa mjini. Hivi utajisikiaje? Utafanya niniii?

Chukulia wewe ndo mwanaume /mwanamke kamili si shoga/malaya

HUmu ungeandika nini? ungeonaje huu uziii?
Ungewachukuliaje wanaharakati? Ungemchukuliaje mkuu wa wilaya?
 
Hivi mahakamani watashtakiwa kwa kosa gani? Kama haki ikitendeka watashinda. Walikuwa kwenye faragha na wala sio kujiuza. Hata kama ni kujiuza, mbona sijasikia mtu kashtakiwa kwa kuuza figo yake?
 
Hakuna mnachoweza mashoga wapo mtaani nyie mnapambana nao mitandaoni hii nchi sijui kwanin wajinga ndo wanaongoza werevu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah ushoga unakuwa kwa Kasi sana enzi zetu mpaka unafika miaka 30 na miaka yote haujawahi kumuona huyo shoga sikuizi mashoga mpaka shinyanga lyabukande huko wapo hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiii
 
Mnashindwa kupambana na mashoga na wasagaji walio serikalini mnakimbizana na watu ambao jamii imeshindwa kuwasaida!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nlikuwa najifikiria hapa.
Mama yako anajiuza pale Tandika,mama yako mdogo anajiuza pale mwananyamala
Dada yako anajiuza kimboka. Rafiki yako anajiuza pale river side

Baba yako anapakuliwa Zanzibar mdogo wako wa kiume ni shoga Sinza na classmate wako nae ni shoga yupo hapo kinondoni

Mtoto wako ulomzaa saiv ana niaka 14 tayari ameshaanza ushoga? Na yule bint yako unaempenda sana na ulijinyima sana kula na kuvaa ukamsomesha pale st Marry kamaliza chuo mlimani ila anajiuza kwenye bar mbali mbali hapa mjini. Hivi utajisikiaje? Utafanya niniii?

Chukulia wewe ndo mwanaume /mwanamke kamili si shoga/malaya

HUmu ungeandika nini? ungeonaje huu uziii?
Ungewachukuliaje wanaharakati? Ungemchukuliaje mkuu wa wilaya?
Nimechekaaa had machozi yanavujaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu wengine wanavyoushikia bango ushoga utafikiri wao wanataka kuwa mashoga wanawaonea wivu mashoga.

Mtu akitaka kuwa shoga mwache awe shoga, wewe inakuuma nini?

Nchi ina matatizo kibao, wakubwa wanapandisha bei ya sukari makusudi, watu wenye albinism wanauawa kwa uchawi na ujinga, bado watu wanaona ushoga ndiyo issue ya muhinu kabisa?
 
Taifa lilikosa muelekeo, wanachi wake ni wa kusamehewa tyuu.
 
Nimechekaaa had machozi yanavujaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo unakuta mama yako muuzaji
Baba yakoo muuzaji
Yan
Unajikuta wewe tu ndo si muuzaji😃😃😃
 
Aende UK huko ndio tamaduni zao huku kwetu hatuna
This logical fallacy is called "argument from tradition".

It is an especially bad one, because the whole thing about Tanzanian tradition is riddled with vague and cobtradicting notions.

Hoja ya kufanya kitu kwa kuwa "ni utamaduni wetu" ni mbaya, kwa sababu kitu kuwa utamaduni wetu hakumaanishi ni kizuri, tuna tamaduni nyingi tu mbaya.

Zaidi, huo utamaduni wa Kitanzania wenyewe haujulikani kwa uwazi na dhahiri hivyo, Tanzania ina tamaduni nyingi amba,o hazijulikani vizuri na nyingine zinapingana.

Hoja ya "utamaduni wetu" ni chaka la kujificha watu wavivu wasioweza kujenga hoja.
 
Nimeona mtandaoni watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wakitetea makahaba waliokamatwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo

Ukahaba ni kinyume na maadili yetu watanzani na umekatazwa kwenye vitabu vyote vya dini

Sasa unapokuta mtetezi wa hao watu wanaofanya vitendo viovu unajiuliza dunia inakwenda wapi?

Wanadai kuwakamata ni kuingilia faragha za watu, sasa hata mashoga basi tusiwakamate kwa sababu ni kuingilia faragha zao pia?

Wengine utawasikia wakisema kuwa wanaojiuza wana maisha magumu, huu ni upumbavu, kwani wamama wanaouza magenge, wanaofanya usafi, wanaolima, kuosha vyombo n.k hawana maisha magumu kuliko hao makahaba?

Tumekataza ushoga na tunaupinga kwa nguvu zote kwa sababu ni kinyume na maadili yetu, kwa nini ukahaba tunashindwa kuukemea?

PIA SOMA
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili

- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri

- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Mhe DC hebu subiri mahakama ifanye kazi yake
 
Ushoga na ukahaba ni vitu tofauti Kahaba anafanya mapenzi biashara shoga anafanya mapenzi kinyume na maumbile huwezi kuzuia ukahaba kwa kudhalilisha wanawake
 
....ukahaba ni kinyume cha maadili yetu watanzania....
Ila sio kinyume cha Sheria...
Sawa?!
 
Ushoga na ukahaba ni vitu tofauti Kahaba anafanya mapenzi biashara shoga anafanya mapenzi kinyume na maumbile huwezi kuzuia ukahaba kwa kudhalilisha wanawake
Vyote ni vitu vilivyo kinyume na maadili, wanavitetea kwa kusema eti ni faragha, mashoga nao watajitetea kwa kusema faragha pia
 
Back
Top Bottom