Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni takataka wasiyo natofauti na nguruwe. Mjadala huo unaendelea na kupamba moto na raia hao Wanaijeria wameapa kutokuja Tanzania kutokana na kukithiri kwa utetezi wa matukio ya ubakaji.