Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

Wanasema wao wanahela huwa wanakuja kusaidia sekta yetu ya utalii...kwa hiyo hatutapata tena hela yao
Wanaijeria wanachokitafuta tutawapatia, tutafukuza Wanaijeria wote nchini, shauri yao
 
Safi sana, ni muda wa west kutupa kipaumbele watanzania kwa kwenda kuwanyoosha hao wanaijeria huko kwao wanakowasumbua kwa utapeli.

Hii ni fursa wanaijeria wametupa japo wao wanaona wanatutangaza vibaya.
 
We dont have time with criminals, Nigeria is the criminals land... Nigeria is the hideout of criminals in Africa not the state...
group of criminals comes together as the state.

wafikishie huo ujumbe..
 
Hao watapeli wasichukulie tukio moja ku justify tabia za Watanzania wote, hilo tukio mamlaka husika wanalifanyia kazi waache mawenge
Na hata hivyo, mamlaka za Hotel hiyo zimefafanua kwa kirefu namna suala hilo lilivyoshughulikiwa kiuhalisia!

Huyo binti anaonekana na dalili zote za utapeli wa jadi zao.

Maana kila akiambiwa suala lake hilo ni la kijianai, aende mahakamani kutafuta haki, anakataa akidai alipwe madai yake kwa mamilioni nje ya mahakama, vinginevyo ataichafua sifa ya Hotel na ndiyo imekuwa akitishia na kutekeleza hilo.

Huyo Mgambo mtuhumiwa kafunguka na kuweka wazi mazingira aliyoshawishiwa na baadaye kugeukwa na huyo mwanamke.

Ukisikiliza kwa makini pande zote, yaani uongozi wa Hoteli, Mtuhumiwa na huyo dada, kiukweli maelezo ya huyo dada yanaakisi tabia zao za utapeli.

Kile kitendo cha kukataa kata kata kwenda mahakamani kunakotafsiriwa sheria, kinatia shaka juu ya ukweli wa madai yake hayo.
 
Na hata hivyo, mamlaka za Hotel hiyo zimefafanua kwa kirefu namna suala hilo lilivyo kiuhalisia!

Huyo binti anaonekana na dalili zote za utapeli wa jadi zao.

Maana kila akiambiwa suala lake hilo ni la kijianai, aende mahakamani kutafuta haki, anakataa akidai alipwe madai yake kwa mamilioni nje ya mahakama, vinginevyo ataichafua sifa ya Hotel na ndiyo imekuwa akitishia na kutekeleza hilo.

Huyo Mgambo mtuhumiwa kafunguka na kuweka wazi mazingira aliyoshawishiwa na baadaye kugeukwa na huyo mwanamke.

Ukisikiliza kwa makini pande zote, yaani uongozi wa Hoteli, Mtuhumiwa na huyo dada, kiukweli maelezo ya huyo dada yanaakisi tabia zao za utapeli.

Kile kitendo cha kukataa kata kata kwenda mahakamani kunakotafsiriwa sheria, kinatia shaka juu ya ukweli wa madai yake hayo.
Kwanini jamuhuri isimshitaki kwa kuichafua?
 
afadhali sisi wabakaji kuliko wao matapeli ambao wako blacklisted dunia nzima
 
Natamani mabalozi wazinguane kwa kutochukua hatua mpaka wameamua kuchafua nchi kimataifa, halafu ifike mahali tangazo litolewe wa naija wote waondoke TZ.ni matapeli, waongo, waharibifu wa ndoa za matajiri, majizi na wa wauza madawa ya kulevya.YATOKE.
 
Wanasema wao wanahela huwa wanakuja kusaidia sekta yetu ya utalii...kwa hiyo hatutapata tena hela yao
Katika orodha ya watalii wengi wanaongia Tanzania hawapo wasituchoshe
 
🇹🇿Ni muda muafaka wa wale wafuasi wa maria space wanaojidai ni wazakendo kukesha usiku kucha waungane wakawajibu huko kwa maslahi ya nchi

🇹🇿 Ni muda sahihi wa mange kimambi kupunguza muda wa udaku atumie ngeli anayoongea na wazungu huko kuwajibu

🇹🇿 Ni muda sahihi wa bwana kigogo anayejigamba kuwa anaweza kukuandika hadi ukazirai aanze kumwandika huyo kigagula ili dunia na yeye aone aibu

🇹🇿Ni muda sasa wa wale wanaodai uraia wa nchi mbili na tunawasikia kwenye clubhouse , Twitter nk wakiongea kimamtoni sasa nyookeni huko moja kwa moja ili jamii ijue umuhimu wenu kwenye nchi

🇹🇿Ni muda sahihi sasa kwa vijana wa vyama, Uvccm,bavicha, ngome za act, nk acheni propaganda sasa nendeni mkapindue meza huko kwa ajili ya nchi

🇹🇿 Muda sasa kwa wanavyuo, mliosoma medium, mnaletwa na magari ya njano nyumbani wale ambao mama mnamwita mom, na baba daddy , mliosoma chekechea kwa ada ya 10milioni na kuendelea haya nendeni mkakiongee chenyewe sisi st kayumba nia tunayi lakini maneno hayatoki ,umongo unawaza kusema hivi ila mdomo unachanganya na maviswahili
 
Mzee hawa jamaa wameamua kupambana na wabongo wote, huko clubhouse tunadhalilika...wamenichomoa kwenye room yao, wameniita nguruwe wenyewe wanasema "remove it"...nilikuwa najaribu kuwaambia kusema watanzania wote sio wajinga sio sawa
Mkuu wala usijali kama na sisi kwenye group letu la JF wapo waNigeria tuwatoe,
unajua BOKO haramu inawatesa kila siku wanafunzi wanatekwa, ni Mtanzania gani atakwenda huko kwao
yule dada ni malaya na anajiuza tu
 
ulijaribu kuleta diplomasia aka democracy kwa wapumbavu..ungewaambia ukweli tu, DADA YAO NI KAHABA ALIKUJA KUDANGA BAHATI MBAYA BIASHARA HAIKWENDA VIZURI AKAAMUA KURUDI KWENYE KAZI YAO YA ASILI UTAPELI...
Nimekoma kwa kweli, yani nimeitwa nguruwe halafu sijapata nafasi ya kujibu mapigo

IMG_20220418_115005.jpg
 
Back
Top Bottom