Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Wadada wa Kinigeria, Kenya, Uganda, South Africa, Zimbabwe huenda sana Znz kipindi cha High Season kujiuza, tunawajua vema na utapeli wao kwa Wazungu, soko likiwa gumu huamia mitaani,
Hebu wasitutibue sie, wapigwe blacklist hao Makahaba na Matapeli wamechafua sana sekta yetu ya Utalii sasa mwisho wao umefika,
Wamekoroga Sumu wakaionja.
Hebu wasitutibue sie, wapigwe blacklist hao Makahaba na Matapeli wamechafua sana sekta yetu ya Utalii sasa mwisho wao umefika,
Wamekoroga Sumu wakaionja.