1. Kuna malalamiko kuwa mtalii/mgeni kutoka Nigeria alitaka kubakwa.One side of the story, je umesoma upande mwingine wa hiyo hoteli
2. Ameeleza jitihada alizozifanya kutafuta msaada usiku huo bila mafanikio.
3. Nionavyo mimi siyo rahisi (siyo kwamba haiwezekani) kufanya uchunguzi baada ya muda huo wote na kupata ukweli wa malalamiko yaliyotolewa.
4. Ni vizuri kuboresha usalama wa wageni hotelini au nyumba za kulala wageni (hata kama malalamiko haya ni ya kweli au si ya kweli).
5. Kujitetea katika haya malalamiko hakusaidii.